Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kama mimi navyotumia kwenye nini sasa? Maana wewe unadai hakuna Mungu(ni tofauti na mimi) ndiyo nakuuliza umetumiaje hivyo viungo na hadi ukaweza kujua hakuna Mungu?
Usichokiona, usichokisikia, usichokihisi, usichokinusa, usichokionja....

Kwanini nifanye guessing kwamba kipo... ? (Kwani nifanye imagination??)

Unaweza kujua ladha chungwa kwa kuamini????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- Uongeaji wake
-Facial expression

Asiyeona na kusikia.. hawezi kumjua mtu mwenye hasira.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo maana yake tunamuangalia mtu mwenye uongeaji wake na uso wake ndio kunatufanya tujue kuwa huyu mtu atakuwa na hasira.sasa njia hii inatofauti gani na yule anayetizama ulimwengu au binaadamu na akasema kuna aliyeunda huu ulimwengu au huyu binaadamu? Na ndiyo anaitwa Mungu?

Kwa sababu hata hiyo hasira tunachokiona ni athari zake ndio zinazotufanya tujue huyu mtu ana hasira.
 
Usichokiona, usichokisikia, usichokihisi, usichokinusa, usichokionja....

Kwanini nifanye guessing kwamba kipo... ? (Kwani nifanye imagination??)

Unaweza kujua ladha chungwa kwa kuamini????

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuuliza umetumiaje hivyo viungo? Hata chai usiyoionja huwezi kujua kama ina sukari au haina sharti uionje,kama hujaonja huwezi kusema haina sukari.
 
Kwa hiyo maana yake tunamuangalia mtu mwenye uongeaji wake na uso wake ndio kunatufanya tujue kuwa huyu mtu atakuwa na hasira.sasa njia hii inatofauti gani na yule anayetizama ulimwengu au binaadamu na akasema kuna aliyeunda huu ulimwengu au huyu binaadamu? Na ndiyo anaitwa Mungu?

Kwa sababu hata hiyo hasira tunachokiona ni athari zake ndio zinazotufanya tujue huyu mtu ana hasira.
Hapo unakuwa umeotea .... ila bado haujui kama unachootea ni kweli.....

Umejuaje kwamba ulimwengu umeundwa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma vizuri... hapo, nimeorodhesha viungo????

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala hapa sio kuorodhesha maana vinajulikana hivyo viungo,swali langu umevitumiaje hadi ukajua kutokuwepo kwa Mungu? Mfano nikitaka kujua kutokuwepo kwa sukari kwenye chai nitaionja hiyo chai kwa kuinywa,sasa siwezi kusema tu chai haina sukari kwa sababu haionjeki.
 
#3254 nimeweka wazi hapo kabisa..hauna uwezo wa kuelezea kitu nje ya fahamu zako 5.... kwanin unatumia imani kumdescribe Mungu.... kwanin hausemi unamjua.... kwa vile umetumia milango 5 ya fahamu????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado mkuu kuotea na kuamini ni vitu viwili tofauti.

Mimi naamini Mungu yupo na hivyo ndio navyojua kuwa Mungu yupo.
Sasa hauoni kwamba umeangalia ulimwengu ukaotea kwamba Mungu yupo.... na mnaenda mbali zaidi na kusema Mungu huyo ataenda kuchoma watu waliotenda maovu... kwann msiishie kusema Mungu yupo alafu basi.... mnayatoa wapi hayo mengine yote yanayomuhusu huyo mnaedai ameumba ulimwengu na kila kitu pamoja na yeye mwenyewe....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri.

Kabla ya kukujibu naomba kwanza nikuulize,mfano kwa mtu mwenye hasira huwa tunatumia kiungo gani kuweza kujua uwepo wa hasira kwa mtu?
Vizuri ndio jibu gani?
Nyie ndiye mlioonja utamu wake sasa tuambieni ladha yake ipoje?

Ebu jibia hayo maswali kwanza

Sent using unknown device
 
Suala hapa sio kuorodhesha maana vinajulikana hivyo viungo,swali langu umevitumiaje hadi ukajua kutokuwepo kwa Mungu? Mfano nikitaka kujua kutokuwepo kwa sukari kwenye chai nitaionja hiyo chai kwa kuinywa,sasa siwezi kusema tu chai haina sukari kwa sababu haionjeki.
Chai Ili uionje lazima iwepo

Sasa kama haipo utaionja vipi na utawezaje kujua ladha yake wakati haipo?

Kama mungu anaonjwa inatakiwa awepo ili tumle au tumnywe ndio tutaweza kujua ladha yake, sasa hayupo wewe tutawezaje kujua ladha yake wakati hayupo? unaanza kuhoji kua umevitumiaje viungo vyako mpaka umejua kutokuwepo kwake hivi utatumiaje viungo ambavyo vipo kutest vitu visivyokuwepo??

Ebu niambie kitu gani kisichokuwepo ambacho tunaweza kutumia viungo vyetu kujua hakipo??

Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom