Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,906
Anayewayawaya nani sasa? Mara ngapi mimi na wewe tumejadili hili suala kujua na kuamini?Wewe hujui kuamini ni nini, wala kujua ni nini.
Unawayawaya na kutapatapa tu.
Anayewayawaya nani sasa? Mara ngapi mimi na wewe tumejadili hili suala kujua na kuamini?Wewe hujui kuamini ni nini, wala kujua ni nini.
Unawayawaya na kutapatapa tu.
Tumekadili mara zote hizo kwa sababu hutaki kukubali kwamba unaamini usichojua.Anayewayawaya nani sasa? Mara ngapi mimi na wewe tumejadili hili suala kujua na kuamini?
Kama mie naamini nisichokijua basi na wewe unapinga usichokijua,unapinga kuwepo kwa kitu ambacho hata haukijui.Tumekadili mara zote hizo kwa sababu hutaki kukubali kwamba unaamini usichojua.
Ndiyo maana huwezi juthibitisha Mungu yupo.
huyo mwanasayansi anaitwa nani mkuu?kiranga kuna siku aliniuliza thibitisha kama Mungu na shetani wapo kweli?
duuh nilichoka sana nikasema kumbe kuna watu wa namna hii?
akanikumbusha historia ya mwanasayansi mmoja hivi aliyekuwa anamtafuta Mungu ili ajionee kwa macho...alianza safari ya kuzunguka dunia nzima sasa alifika mahari papo kimya sana alafu kuna bahari kubwa ila cha ajabu kulikuwa na mtoto mdogo kachimba kashimo kadogo pembezoni mwa bahari alaf ana kikopo mkononi anachota maji kwenye bahari anakuja kutia kwenye kale kashimo....mwanasayansi huyo alistaajabu sana kuona vile ikabidi amsogelee yule mtoto na maongezi yalikuwa hivi
mwanasayansi:we mtoto huku unaishi na nani mbona sioni watu wengine?
mtoto:niko pekeyangu
mwanasayansi😱oh ok sasa hapo unafanya nini?
mtoto:nataka hayo maji yote ya baharini niyajaze kwenye kashimo haka nilikochimba
mwanasayansi:we kweli hauna akili unafikiri hayo maji yote yatajaa kwenye kashimo hako?
mtoto:na wewe hauna akili unadhani unachokitafuta utakipata?
mwanasayansi alipigwa na butwaa kusikia hivyo mara kufumba na kufumbua yule mtoto alipotea tu kwa mazingira ya utata.....tangu siku hiyo yule mwanasayansi hakufuatilia tena habari za kumtafuta Mungu
ila binafsi napenda sana kiranga anavyotufanya tufikirie sana juu ya uwepo wa Mungu
UTHIBITISHO WA UWEPO WA MUNGU.Kwanza kabisa, nataka ksema kwamba, mimi sina nia ya ku bughudhi watu wanaoamini Mungu, wanaoamini dini.
Nina kawaida ya kuandika vitu kwa nuance, kama huelewi, kunichanganya ni rahisi sana.
Narudia, sina tatizo na wanaoamini dini, wanaoamini Mungu.
Naelewa imani ni jambo la faragha, ni jambo la uamuzi wa mtu binafsi.
Na zaidi, nikiona watu wanaoamini Mungu na dini wanaonewa, wananyimwa haki yao hiyo ya kimsingi, nitawatetea.
Nitawatetea hata kwenye jambo nisilokubaliana nao, kuhusu wai kuabudu Mungu anbaye sikubali yupo. Kwa sababu kwangu mimi, uhuru wa kuabudu kwa watu wote ni kitu cha msingi kuliko kama wanachoabudu ni kweli au si kweli.
Hivi karibuni rais Kagame wa Rawanda alisema atapiga marufuku makanisa ywenye wachungaji wasio na degree. Nilishutumu kauli ile kwamba inaingikia uhuru wa kuabudu, na watu wanatakiwa wawe na uhuru wa kuabudu kanisa lolote wanalitaka bila vikwazo.
Ungawa sikubali Mungu yupo, natetea uhuru wa juabudu wa watu wanaoamini Mungu yupo.
Mimi napenda uhuru wa kuabudu. Katiba ya Tan,ania inatoa uhuru huu.
Naoenda sana "The Universal Declaration of Human Rights" iliyopitishwa December 10 1948. Hii ni document ya UN inayotoa uhuru wa juabudu, iki nradi watu wasiingikie uhuru wa wengine na kuvunja sheria.
Kwa hiyo, nataka nikuhakikishie, sinatatizo na mtu anayesema ana imani fulani.
Nina tatizo na mtu anayesema anajua ukweli huyo Mungu wake yupo.
Huyu sasa anakuwa kajitoa katika imani, kajiingiza katika fact.
Na akishajiingiza katika fact tu, kanipa ruhusa kumuhoji.
Kwa hiyo ukiniambia niamini ninavyotaka, mimi sitaki kuamini vyovyote, nataka kujua.
Na ukiniambia nikuache unavyoamini, watu wanaoamini sijawahi kutaka kuwagusa, nawagusa wanaosema wanajua Mungu yupo.
Ukisema unaamini tu, that is not so special kwangu. Unaruhusiwa kuamini chochote.
Ukisema unajua Mungu yupo kweli, hapo nakuomba uthibitisho.
Kwa hiyo na wewe unataka kuwafuata babu zako eeeh. Wafuate tuuu.. Aadhibiwi mtu kabla ajaletewa ujumbe. We we ujumbe umeletewa na unatumia nguvu nyingu kuupinga. Sasa nakwambia endelea hivyo hivyo mwisho wake utaujua. Uzuri Mimi na we we tutakufa upende usipende hakuna atakae Baki milele.
Unaelewa kwamba hata hujaelewa swali nililouliza, na hivyo hujaweza kulijibu.
Umejibu kitu tofauti kabisa.
Unaelewa hilo?
Hajaelewa swali na wewe huna hata utashi wa kuuliza sehemu ambayo hajaelewa ni wapi mueleweshwe.Amekujibu kutokana na swali ulilouliza, ila ni wewe tu!
Mkuu AKILI ZAKO HAZINA AKILI.Hajaelewa swali na wewe huna hata utashi wa kuuliza sehemu ambayo hajaelewa ni wapi mueleweshwe.
Angalia swali lako ulilouliza alaf unambie kuna maswali mangapi uliyoyajenga katika sentensi moja. Ngoja nikufundishe kiswahili mkuu.Unaelewa kwamba hata hujaelewa swali nililouliza, na hivyo hujaweza kulijibu.
Umejibu kitu tofauti kabisa.
Unaelewa hilo?
Mkuu umesoma sarufi (matumizi ya Lugha) ?Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kufanyika?
Alishindwa kuumba hivyo?
Endelea kuwa hivyo hivyo katika watu watakao juta na we utakuwepo ukiendeza akili hizo. We letaa kibri unatambia pumzi wewe ngoja ikutokee tuone nani mkweli. Yaani kweli moto unastahili,
Mkuu Mi na upagani mbali mbali. Mi ni Muslim.We dini gani kwanza nisijekuwa naongea na mpagani?
We dini gani kwanza nisijekuwa naongea na mpagani?
Mkuu Mi na upagani mbali mbali. Mi ni Muslim.
Mkuu Mi na upagani mbali mbali. Mi ni Muslim.
Huyu ni Muislamu safi na sio mpagani kama unavyofikiria, na ukitaka kujuwa kuwa huyu ni muislamu fuatilia comments zake no zenye kueleweka na ushahidi kamili.
Yaani ukimchukua Kiranga na mbwa. Mwenye thamani apo ni mbwa Huyo mwengine hana thamani kabisa.Kama kweli ww muislam kwanini unazidi kumpoteza mwenzio Mshana maana unamsifia kwa ujinga wakati ataingia Jehanam KHALIDIINA FIHA ABADA ameshakuwa addicted na uchawi
Huoni hiyo jehanam unayoitaja mwenzako ndio inamngoja kwanini usimshauri halafu unamuona Kiranga ndio ataingia jehanam wakati Kiranga yupo ktk haki ya kutaka kujua habari za kweli
Unajua uchawi kauleta nani?
Nisichokijua ni nini?Kama mie naamini nisichokijua basi na wewe unapinga usichokijua,unapinga kuwepo kwa kitu ambacho hata haukijui.
Unaelewa kwamba ulimwengu ambao kiumbe kimoja kinaweza kuwa na thamani zaidi ya kingine unaonesha kwamba hakuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?Yaani ukimchukua Kiranga na mbwa. Mwenye thamani apo ni mbwa Huyo mwengine hana thamani kabisa.
Yaaani unamfananisha mshana na huyu mkosefu.
Mku huyu kiumbe kapewa macho, masikio, Akili lakini kashindwa kutanabai uwepo wa muumba.
Anashindwa kuelewa kuwa yeye katokana na maji dhaifu kabisa tena yenye kuchupa, akakalishwa kwenye tumbo la mama yake na siku ya kutoka akatoka kupitia sehemu za siri zinazofichwa kwa nguvu zote.
Huyu mtu hata neema ya pumzi hajaiyona na bado anaitumia kupoteza watu hapa kwa ubishi wake.
Na akiendelea hivyoo atayazomba mazambi ya kuwapoteza watu na yake na mafikio yatakuwa ni motonii.