Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga Je unadhani uhai ulianzaje? Je mifumo yote ambayo ina support uhai ilifanyikaje au ilitokeaje? Hufikiri kuwa kuna chanzo fulani hivi? Je hicho chanzo tukikipa jina "Mungu" kuna tatizo? Na labda katika kukielewa hicho chanzo ndipo wengine wakaja na nadharia ya evolution na wengine wakaja na creation kila upande ukijaribu kuelezea chanzo cha uhai katika namna yake. Kwa upande wangu hizo nadharia zote mbili zina mapungufu tena mengi tu kumuelezea huyo "Mungu" (chanzo)

au wewe mkuu unaamini (sijui niseme unajua?) kuwa hamna chanzo kabisa?
Kama chanzo cha uhai ni the second law of thermodynamics, utasema the second law of thermodynamics ni Mungu wako?
 
Katika muktadha huo tujiulize kwanza law ni nini?
Law a statement of fact, deduced from observation, to the effect that a particular natural or scientific phenomenon always occurs if certain conditions are present.

kisha tuitazame hiyo second law of thermodynamics inasema nini
Thermodynamics states that "in all energy exchanges, if no energy enters or leaves the system, the potential energy of the state will always be less than that of the initial state."

ukitafakari utaona kuwa hiyo law ni utaratibu au kanuni fulani ambayo imekubalika kisayansi ikielezea hayo mambo ya energy exchange. Sasa tujiulize huo utaratibu ulitokea tu? Hakuna nguvu (Mungu) fulani ambayo imeweka hiyo law (utaratibu au kanuni) ili uhai uwezekane? Hufikiri kwamba huenda kuna nguvu (Mungu) yenye uwezo wa kufanya huo utaratibu uwepo? Yaani Mungu alitumia hiyo mechanism katika uumbaji?

Kiranga kwanini unajiminya katika mawanda ya kufikiri na unataka kuishia kwenye law peke yake pasipo kujiongeza hata kidogo tu? Yaan unataka kusema law ndiyo chanzo cha uhai Kiranga kweli!? Ninachosema hapa huu uhai wetu na kila kitu kilichopo kina chanzo (Mungu) chake ambacho uwezo wetu kama binaadamu bado haujafika katika viwango vya kukielezea vizuri pasipo contradiction zozote. Mapungufu yaliyopo katika hizi imani haimaanishi kuwa Mungu hayupo ila Mungu anayeelezewa katika hizi imani hayupo maana anaji contradict sana.
 
Katika muktadha huo tujiulize kwanza law ni nini?
Law a statement of fact, deduced from observation, to the effect that a particular natural or scientific phenomenon always occurs if certain conditions are present.

kisha tuitazame hiyo second law of thermodynamics inasema nini
Thermodynamics states that "in all energy exchanges, if no energy enters or leaves the system, the potential energy of the state will always be less than that of the initial state."

ukitafakari utaona kuwa hiyo law ni utaratibu au kanuni fulani ambayo imekubalika kisayansi ikielezea hayo mambo ya energy exchange. Sasa tujiulize huo utaratibu ulitokea tu? Hakuna nguvu (Mungu) fulani ambayo imeweka hiyo law (utaratibu au kanuni) ili uhai uwezekane? Hufikiri kwamba huenda kuna nguvu (Mungu) yenye uwezo wa kufanya huo utaratibu uwepo? Yaani Mungu alitumia hiyo mechanism katika uumbaji?

Kwa nini unaruka kutoka nguvu na kulazimisha hiyo nguvu kuwa Mungu? Kwa nini unaiita nguvu "alitumia" kama nguvu ina nafsi?

Kwa nini unalazimisha kuiita nguvu Mungu kabla hujaichunguza na kuijua vizuri, wakati unaweza kuichunguza na kujua zaidi?

Umeme ni nguvu, unaweza kusema "umeme aliwasha taa?". Hicho ni Kiswahili au Kijaluo?

Kwa nini unalazimisha nguvu iwe Mungu hata kabla hujaijua hiyo nguvu vizuri?

Zaidi, Mungu ninayemuanzia hapa ni Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote. Unajiridhishaje hiyo nguvu si Mungu tu, bali ni Mungu mwenye sifa hizo?

Kiranga kwanini unajiminya katika mawanda ya kufikiri na unataka kuishia kwenye law peke yake pasipo kujiongeza hata kidogo tu?

Wapi nimejiminya katika law pekee? Unajua kusoma? Unaweza kunipa nukuu nilipojiminya katika law pekee?

Yaan unataka kusema law ndiyo chanzo cha uhai Kiranga kweli!?

Wwapi nimesema hilo? Hivi wewe una brain capacity ya ku explore a hypothetical proposition without the misconception of making that hypothetical proposition as a statement of categorical unmitigated worldview?

Unaelewa tofauti ya vitu viwili hivi?

Unaelewa tofauti ya hypothetical proposition for the sake of exploring an idea on the one hand from a statement of categorical unmitigated worldview?

Unaelewa kwamba unapojadiliana na mimi kila neno lina uzito na umuhimu wake, na ukikosa kuelewa neno moja tu, unaweza kukosa kuelewa maana ya post au thread nzima?

Unaelewa kwamba wewe ushafanya kosa hili na huelewi kwamba nikikwambia "if the flat earth society is right, then the antipodes are not the antipodes" sijakuambia the flat earth society is right?

Ninachosema hapa huu uhai wetu na kila kitu kilichopo kina chanzo (Mungu) chake ambacho uwezo wetu kama binaadamu bado haujafika katika viwango vya kukielezea vizuri pasipo contradiction zozote. Mapungufu yaliyopo katika hizi imani haimaanishi kuwa Mungu hayupo ila Mungu anayeelezewa katika hizi imani hayupo maana anaji contradict sana.

Unaelewa kwamba habari nzima ya "chanzo" ni kilema kinachotokana na umasikini wetu wa asili wa kuwa katika uwiano wa kati katika ulimwengu?

Unaelewa kwamba ukizama kwa kina sana katika misingi ya ulimwengu huu, muda haupo, muda ni kitu tunachokiona hapa juu juu tu kwa uwiano wa kitu kimoja na kingine (msome Einstein katika Relativity), na kama huko chini kabisa kwenye fizikia ya kwanta, muda haupo, suala zima la "chanzo hiki kimeleta hili" halipo?

Unaelewa hayo?
 
Kwa nini unaruka kutoka nguvu na kulazimisha hiyo nguvu kuwa Mungu? Kwa nini unaiita nguvu "alitumia" kama nguvu ina nafsi?

Kwa nini unalazimisha kuiita nguvu Mungu kabla hujaichunguza na kuijua vizuri, wakati unaweza kuichunguza na kujua zaidi?

Umeme ni nguvu, unaweza kusema "umeme aliwasha taa?". Hicho ni Kiswahili au Kijaluo?

Kwa nini unalazimisha nguvu iwe Mungu hata kabla hujaijua hiyo nguvu vizuri?

Zaidi, Mungu ninayemuanzia hapa ni Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote. Unajiridhishaje hiyo nguvu si Mungu tu, bali ni Mungu mwenye sifa hizo?

Wapi nimejiminya katika law pekee? Unajua kusoma? Unaweza kunipa nukuu nilipojiminya katika law pekee?

Wwapi nimesema hilo? Hivi wewe una brain capacity ya ku explore a hypothetical proposition without the misconception of making that hypothetical proposition as a statement of categorical unmitigated worldview?

Unaelewa tofauti ya vitu viwili hivi?

Unaelewa tofauti ya hypothetical proposition for the sake of exploring an idea on the one hand from a statement of categorical unmitigated worldview?

Unaelewa kwamba unapojadiliana na mimi kila neno lina uzito na umuhimu wake, na ukikosa kuelewa neno moja tu, unaweza kukosa kuelewa maana ya post au thread nzima?

Unaelewa kwamba wewe ushafanya kosa hili na huelewi kwamba nikikwambia "if the flat earth society is right, then the antipodes are not the antipodes" sijakuambia the flat earth society is right?

Unaelewa kwamba habari nzima ya "chanzo" ni kilema kinachotokana na umasikini wetu wa asili wa kuwa katika uwiano wa kati katika ulimwengu?

Unaelewa kwamba ukizama kwa kina sana katika misingi ya ulimwengu huu, muda haupo, muda ni kitu tunachokiona hapa juu juu tu kwa uwiano wa kitu kimoja na kingine (msome Einstein katika Relativity), na kama huko chini kabisa kwenye fizikia ya kwanta, muda haupo, suala zima la "chanzo hiki kimeleta hili" halipo?

Unaelewa hayo?
Okay umeandika mengi kwa lugha ngumu kama kawaida yako ili kunichanganya.... Twende taratibu turudi kwenye msingi hasa,

Unachopinga ni nini? Je unatuambia Mungu mwenye sifa zinazoelezewa kwenye vitabu kama biblia na quran hayupo? Au una Mungu hayupo yaani katika sifa zozote zile hayupo?
 
Hii ligi tushaimaliza Na kumkabithi kombe kiranga. sasa ngoja amalize shift yake ya kubeba box aje awatoe mbio.
Hakuna MTU ambae amewahi kujibu hoja za kiranga kikamilifu hapa jf kuhusu imani na dini.
Jamaa huyo ni bingwa wa kukwepa maswali magumu
 
Okay umeandika mengi kwa lugha ngumu kama kawaida yako ili kunichanganya.... Twende taratibu turudi kwenye msingi hasa,

Unachopinga ni nini? Je unatuambia Mungu mwenye sifa zinazoelezewa kwenye vitabu kama biblia na quran hayupo? Au una Mungu hayupo yaani katika sifa zozote zile hayupo?

Kama unaona hapa nimeandika mengi, unaweza kusoma treatise ya philosophy of religion?

Unaweza kusoma "A Philosophy of Religion: An Anthology" (see attached) ukakimaliza na kukichambua?

Tuanze kwenye hizo sifa (ambazo zimevuka Mungu wa Biblia na Quran tu) unakubali kwamba habari za kuwapo kwake huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote zinajipinga kwa namna inayoonesha uongo na kuthibitisha kwamba Mungu huyo si tu hayupo, bali pia hawezekaniki kuwepo?
 
Attachments

Ndiyo nakubali na sababu ziko wazi kuwa sifa anazopewa Mungu kupitia hivyo vitabu zinajipinga na uhalisia wa yale tunayoya experience kwenye maisha yetu kila siku.

Je hapawezi kuwa na Mungu mwenye sifa nyingine tu ambapo tumeshindwa kuzibaini na huenda hapo baadaye baada ya ufahamu wetu juu ya mambo mbali mbali ukiongezeka tutamuelewa vizuri?
 
Inawezekana, lakini, tuchunguze tujue, tusianze kwa kurahisisha habari kwa kusema"lazima kuna nguvu iliyoanzisha mambo, na nguvu hiyo lazima ni Mungu"

Kwa sababu tushaona kwamba, habari nzima ya kuwapo kwa muda, na habari nzima ya kuhitajika kuwapo na chanzo halafu chanzo hicho kikaleta matokeo, ni mambo tunayoyaona katika scale yetu tu ya ulimwengu.

Ukizama katika misingi ya ulimwengu huko katika level ya kwanta, hakuna muda na hakuna haja ya chanzo kuwepo ili matokeo yawepo.

Hatujaweza hata kuanza kuuelewa ulimwengu ulivyo, kwa sababu ubongo wetu unafanya kazi kwa level hii ya ulimwengu tuliyonayo.

Ndiyo maana tunang'ang'ania dhana kama "muda" iwe ya msingi, ndiyo maana tunang'ang'ania dhana kama "cause and effect" iwe ya msingi.

Muda ni mazingaombwe tu tunayoyaona kwa sababu ya scale yetu katika ulimwengu.

Ukiangalia ulimwengu katika msingi wake, muda si kitu cha lazima.

Cause and effect ni kitu tunachokiona katika level yetu tu ya ulimwengu.

Ukizama chini kabisa katika quantum physics, cause and effect is neither fundamental, nor necessary.

Habari zako zote za kuhitaji Mungu kuwepo ziko katika msingi wa kwamba muda na cause and effect ni vitu vya lazima.

Si vitu vya lazima.
 
Inawezekana, lakini, tuchunguze tujue, tusianze kwa kurahisisha habari kwa kusema"lazima kuna nguvu iliyoanzisha mambo, na nguvu hiyo lazima ni Mungu"

Kwa sababu tushaona kwamba, habari nzima ya kuwapo kw muda, na habari nzima ya kuhitajika kuwapo na chanzo halafu chanzo hicho kikaleta matokeo, ni mambo tunayoyaona katika scale yetu tu ya ulimwengu.

Ukizama katika misingi ya ulimwengu huko katika level ya kwanta, hakuna muda na hakuna haja ya chanzo kuwepo ili matokeo yawepo.

Hatujaweza hata kuanza kuuelewa ulimwengu ulivyo, kwa sababu ubongo wetu unafanya kazi kwa level hii ya ulimwengu tuliyonayo.

Ndiyo maana tunang'ang'ania dhana kama "muda" iwe ya msingi, ndiyo maana tunang'ang'ania dhana kama "cause and effect" iwe ya msingi.

Muda ni mazingaombwe tu tunayoyaona kwa sababu ya scale yetu katika ulimwengu.

Ukiangalia ulimwengu katika msingi wake, muda si kitu cha lazima.

Cause and effect ni kitu tunachokiona katika level yetu tu ya ulimwengu.

Ukizama chini kabisa katika quantum physics, cause and effect is neither fundamental, nor necessary.

Haari zako zote za kuhitaji Mungu kuwepo ziko katika msingi wa kwamba muda na cause and effect ni vitu vya lazima.

Si vitu vya lazima.
Mkuu Kiranga

Je unaamini kuwa uchawi upoo?
 
Mkuu Kiranga

Je unaamini kuwa uchawi upoo?
Uchawi ni nini mkuu, na utajuaje huu ni uchawi na sio wavelength ambayo haijajulikana tu katika electromagnetic spectrum au fizikia mpya ambayo haijawekwa katika standard model of particle physics?

330px-EM_Spectrum_Properties_edit.svg.png

electromagnetic-spectrum-Fig-34-1-800.jpg
 
Inawezekana, lakini, tuchunguze tujue, tusianze kwa kurahisisha habari kwa kusema"lazima kuna nguvu iliyoanzisha mambo, na nguvu hiyo lazima ni Mungu"

Kwa sababu tushaona kwamba, habari nzima ya kuwapo kw muda, na habari nzima ya kuhitajika kuwapo na chanzo halafu chanzo hicho kikaleta matokeo, ni mambo tunayoyaona katika scale yetu tu ya ulimwengu.

Ukizama katika misingi ya ulimwengu huko katika level ya kwanta, hakuna muda na hakuna haja ya chanzo kuwepo ili matokeo yawepo.

Hatujaweza hata kuanza kuuelewa ulimwengu ulivyo, kwa sababu ubongo wetu unafanya kazi kwa level hii ya ulimwengu tuliyonayo.

Ndiyo maana tunang'ang'ania dhana kama "muda" iwe ya msingi, ndiyo maana tunang'ang'ania dhana kama "cause and effect" iwe ya msingi.

Muda ni mazingaombwe tu tunayoyaona kwa sababu ya scale yetu katika ulimwengu.

Ukiangalia ulimwengu katika msingi wake, muda si kitu cha lazima.

Cause and effect ni kitu tunachokiona katika level yetu tu ya ulimwengu.

Ukizama chini kabisa katika quantum physics, cause and effect is neither fundamental, nor necessary.

Haari zako zote za kuhitaji Mungu kuwepo ziko katika msingi wa kwamba muda na cause and effect ni vitu vya lazima.

Si vitu vya lazima.
Mkuu hiyo document uliyoniwekea hapo sitaimaliza leo sasa ngoja niisome... Ina kurasa zaidi ya 700
 
Back
Top Bottom