Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,501
- 151,731
No wonder.Inategemea na ladha yake
No wonder.Inategemea na ladha yake
You lick your buggers on a regular schedule.As always..... As usual.....!!!
Too late.You already consented.That's out of topic.....
No. You are on record.That's a personal opinion...
Not more than you. You worship witchcraft.You love fantasy....
You are starting to believe your own lies now.Not real.. You got me wrong ! I neither worship voodoo no practice it .....!!!
Hoja yako ni nini? Kwamba kuamini katika uwepo wa Mungu huenda ni matokeo ya kukosa elimu kama aliyoipata Kiranga?Mkuu Kiranga,
Kuamini Kwako Uwepo Wa Mungu Kuwa Kunajicontradict Ilikuwa Ni Lini?
Na Je, Si Kwamba Ulianza Kuamini ( Kwa Kuwa Umelelewa Katika Familia Ya Kikristo(?) ) Na Kisha Baada Ya Kupata Elimu Ukaona Kuwa Uwepo Wake Unajikanganya?
Na Kama Ungekosa Fursa Ya Kusoma, Hivyo Ukabaki Na Imani Ya Kuambiwa/ Kulelewa Kwayo Ungekuwa Kama Ulivyo Sasa ( Atheist )?
@kiranga hili swali hukuliona?Mkuu,
Mfano Wako Ni Mzuri Sana, Na Je Kama Ulikula Kamasi Utotoni, Then Ukakua Ukiacha Kula Kamasi.
Je, Nikikuuliza Kuhusu Ulaji Wa Kamasi Utasema Haupo Kwa Kuwa Ulikula Utotoni Na Ukaacha?
Kwanini Usiseme Upo, Ila Wewe Sasa Umekua Na Huwezi Kula Tena?
Kunradhi sikuliona swali hili. I blame it on Mshana and his petty back and forth.@kiranga hili swali hukuliona?
Kiranga anamlaumu Mshana..... [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]Kunradhi sikuliona swali hili. I blame it on Mshana and his petty back amd forth.
Asante kwa kulirudisha katika mjadala.
Huyo anayeuliza inaonekana haelewi tofauti ya imani kwamba Mungu yupo, na ukweli kwamba Mungu yupo.
Kama mtu aliamini kwamba Mungu yupo kwa sababu ya kukosa ukomavu wa fikra unaokuja kiasili na utoto, baadaye akaja kuthibitisha Mungu huyo hayupo, kimantiki, ukweli kwamba aliwahi kuamini kitu ambacho hakipo kipo, haukifanyi kitu hicho kiwepo.
Kuna watu walivyokuwa watoto waliamini baba zao ndio watu wenye nguvu kushinda wote duniani.
Wamekua wakubwa wakaacha imani hiyo ya kitoto.
Ukweli kwamba waliamini baba zao ndio watu wenye nguvu kuliko wote duniani, haujawafanya baba zao wawe na nguvu hivyo.
Sijawahi kukanusha kwamba niliwahi kuamini Mungu yupo.
Ninachokanusha ni kwamba Mungu yupo.
Aliyeniuliza swali inaonekana haelewi tofauti ya mawili haya.
Kiranga Je unadhani uhai ulianzaje? Je mifumo yote ambayo ina support uhai ilifanyikaje au ilitokeaje? Hufikiri kuwa kuna chanzo fulani hivi? Je hicho chanzo tukikipa jina "Mungu" kuna tatizo? Na labda katika kukielewa hicho chanzo ndipo wengine wakaja na nadharia ya evolution na wengine wakaja na creation kila upande ukijaribu kuelezea chanzo cha uhai katika namna yake. Kwa upande wangu hizo nadharia zote mbili zina mapungufu tena mengi tu kumuelezea huyo "Mungu" (chanzo)Kunradhi sikuliona swali hili. I blame it on Mshana and his petty back amd forth.
Asante kwa kulirudisha katika mjadala.
Huyo anayeuliza inaonekana haelewi tofauti ya imani kwamba Mungu yupo, na ukweli kwamba Mungu yupo.
Kama mtu aliamini kwamba Mungu yupo kwa sababu ya kukosa ukomavu wa fikra unaokuja kiasili na utoto, baadaye akaja kuthibitisha Mungu huyo hayupo, kimantiki, ukweli kwamba aliwahi kuamini kitu ambacho hakipo kipo, haukifanyi kitu hicho kiwepo.
Kuna watu walivyokuwa watoto waliamini baba zao ndio watu wenye nguvu kushinda wote duniani.
Wamekua wakubwa wakaacha imani hiyo ya kitoto.
Ukweli kwamba waliamini baba zao ndio watu wenye nguvu kuliko wote duniani, haujawafanya baba zao wawe na nguvu hivyo.
Sijawahi kukanusha kwamba niliwahi kuamini Mungu yupo.
Ninachokanusha ni kwamba Mungu yupo.
Aliyeniuliza swali inaonekana haelewi tofauti ya mawili haya.
It's nice to see all your teeth. That's rising above petty.Kiranga anamlaumu Mshana..... [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]