Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Mbona mimi nakuelewa sana unavyo tuelimisha.
Na huwa nakuwa mjinga ili nijifunze na kama kuna swali nakuuliza kwa kutaka kuelewa hiyo mada.
Mfano, kuna siku nikakuuliza swali.
Mbona waganga wa kienyeji hawaagizi samaki ili wakufanyie dawa ?
Ukajibu.
Samaki hana damu ya kutosha kukidhi hitaji la dawa.
Nikaelewa.
Mshana mwaga nondo sisi wajinga tunataka kujifunza bwana.
Elimu haina mwisho mkuu tumeagizwa kuitafuta hadi CHINA.
Haijalishi elimu hiyo ni elimu dunia au ahera au ya kuzimu au ya kwa lulenge.
Elimu ni elimu tu mkuu, usikatishwe tamaa na wasiokuelewa na kukuita majina ya ajabu ajabu itafikia mda watakuelewa tu.
Mwaga nondo mkuu, hasa za wachawi na mambo yao, binafsi nazipenda sana maana hazipatikani kirahisi.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji120] ila umenichekesha hizo emoji... Umeanza kwa kutembea... Kisha ukaona haitoshi ukatimua mbio huku mwisho ukashukuru
 
Mshana Jr.

Mungu Yupo, Katika ' Imani '.Hao Wanaosema Hayupo Pia Ni Katika ' Imani ',kwamba Wanaamini Hayupo, Iwe Kwa Kuzaliwa Na Imani Hiyo Au Kukengeuka Baada Ya Kuanza Kusoma Theories Za Kuwepo Ama Kutokuwepo Kwa Mungu.

Kiranga Amezaliwa Katika Ukristo, Lakini Baada Ya Kusoma, Amekengeuka!
Ingekuwaje Kama Asingepata Elimu???
Je Angekuwa Anaamini Kuwa Uwepo Wa Mungu Ni Uwongo???

Au Angekuwa Mkristo Safi Tena Huenda Angekuwa Mwanakwaya Au Mzee Kanisa???
 
Maswali yako yote hayathibitishi Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.
 
Maswali yako yote hayathibitishi Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.
Mkuu Kiranga,

Kuamini Kwako Uwepo Wa Mungu Kuwa Kunajicontradict Ilikuwa Ni Lini?

Na Je, Si Kwamba Ulianza Kuamini ( Kwa Kuwa Umelelewa Katika Familia Ya Kikristo(?) ) Na Kisha Baada Ya Kupata Elimu Ukaona Kuwa Uwepo Wake Unajikanganya?

Na Kama Ungekosa Fursa Ya Kusoma, Hivyo Ukabaki Na Imani Ya Kuambiwa/ Kulelewa Kwayo Ungekuwa Kama Ulivyo Sasa ( Atheist )?
 
Kama ulikula kamasi utotoni ulivyokuwa mchanga, hiyo ni sababu ya kuendelea kula kamasi hata leo?
Mkuu,

Mfano Wako Ni Mzuri Sana, Na Je Kama Ulikula Kamasi Utotoni, Then Ukakua Ukiacha Kula Kamasi.

Je, Nikikuuliza Kuhusu Ulaji Wa Kamasi Utasema Haupo Kwa Kuwa Ulikula Utotoni Na Ukaacha?

Kwanini Usiseme Upo, Ila Wewe Sasa Umekua Na Huwezi Kula Tena?
 
Back
Top Bottom