mtu watu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,123
- 1,617
Mungu na mungu umethibitishaje huyo mmojawapo hapo?Ndio nimethibitisha uwepo wa Mungu na sio mungu... Je ulihitaji ithibati gani tena?
Mungu na mungu umethibitishaje huyo mmojawapo hapo?Ndio nimethibitisha uwepo wa Mungu na sio mungu... Je ulihitaji ithibati gani tena?
Kutochagua kwangu hakukufanya ushndwe kuthibitisha.Chagua mmoja
Mkuu Mshana ni kweli haufahamu Truth table???[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] at nini? ukiweka argument zao kwenye truth table? Truth table..!?!? [emoji3] [emoji3] [emoji3].. What an ugly brain washed..! Just can't believe it..
BTW only amateurs can be agitated..!, panicked n insult others.... Professionals DON'T!
Na wengi tulio nao humu si wapagani bali ni walio kengeuka imaniKuna wakati nilifikiri hawa watu wasio amini uwepo wa mungu wana uthabiti wa kile wanachokiamini. Hii dhana ilipata mashiko kupitia msimamo wa Kingunge Ngombale Mwiru. Huyu alionekana anao msimamo thabiti hawa pale alipokuwa akila viapo. Yeye alikuwa na swaga za kushika Katiba kama ndio ibada yake kuu. Lakini alioanza kuiona safari ya akhera inakaribia akageuka akarudia ukristo wake na akazikwa kama mkristo.
Haya majaribu na ubishi au ungangari wa baadhi yetu ni pale tunapokuwa hatupo kwenye majaribu. Lakini mitihani ya kimaisha inapoaanza kuwa mikali mja wa mola hurejea kwa Mungu wake!
HakikaNa wengi tulio nao humu si wapagani bali ni walio kengeuka imani
Mungu hajipambanui kwa ukubwa wala udogo wa herufi.Ndio nimethibitisha uwepo wa Mungu na sio mungu... Je ulihitaji ithibati gani tena?
I used to amateur's replies like this one... Sasa umeshapaniki... Kama hii imekupa nafuu jibu sasa kama una AKILI ama huna AKILI...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ameteur reply...! Seriously if you want to argue with a fool.. You just keep quiet... Am I a fool? Not at all that's why you are here in this post.. Wasting your precious time replying..........mtu usie Na akili hata ukijiwa utaelewaje???...they say don't urgue with a fool....
Nachangia kidogo hapa.Mkuu naomba ukitaka kujua hapo kuwa mungu na jeshua kuwa walikuwa wanaongelea kwa macho kuwa jua limesimama Ngoja tucheki andiko hilo kwa lugha ya kiebrania
Jeshua 10:12
Az (ndipo) Ya-ab-ber (akanena) Ya-ho-wo-su-a (Joshua ) Yah-weh (Na Bwana) Ba-yo-wm (katika siku hiyo ambapo) te (aliwatoa) Yah-weh (Bwana) ha-emo-ri (waamori) lip-ne (mbele ya) ba-ne (wana) Yis-ra-el (waisrael) way-yo-mer (akasema) la-e-ne (mbele ya macho yao) Yis-ra-el (israe ) Sha-mesh (wewe jua) ba-i-own (gibeoni) do-wm (simama kimya)
Wa-ya (mwezi) ba-e-meq (ktk bonde) ay-ya-lo-wn (aiyaloni)
Ktk lugha ya kiebrania neno jua ni shamesh kwa kiarabu shams lakn neno kusimama lilitumika hapo juu ni do-wm likiwa limetokana Na neno la kiebrania daw-man likiwa Na Maana stop Au still stand pia kuna neno lingine la kiebrania lenye Maana kusimama heb-amad
Kwa hiyo hapo unaona wazi ni jua lilisimama physical
Andiko hili ndio lilioleta gumzo dunia nzima watu wa zamani walikuwa wanaamini kuwa jua linatembea Ndio maana ktk vita ya jeshua mungu alilisimamisha jua mpaka wa Israel wakashinda vita
Kabla ya karne ya 15 watu walikuwa wanafahamu jua linatembea vile wanavyoliona kwa macho akaja Gallileo akapinga akisema jua halitembei
Kanisa la kipindi hiko RC wakampa hukumu Kwakuwa alikuwa anaonekana anaenda kinyume Na maandiko ya mungu wakamuua kwa ukweli wake mwaka 1992 RC kupitia papa wakatengua hukumu hiyo
Swali je jua lilisimama ktk vita ya jeshua Au mwandishi wa kitabu cha jeshua alivyoona kwa macho jua linatembea nae akadhani linatembea?
Kumbuka mtu yoyote aliyekufa Kabla ya Gallileo kusema nadharia yake kuwa jua lipo limesimama alikufa akijua jua linatembea Na Ndio mwandishi wa kitabu cha jeshoua kafa akijua hilo
Mungu akubariki sana Che mittoga! Binafsi nimejifunza jambo moja kubwa sana hapa na kupata ufunuo wa ajabu.. Vitu vinaelezeka kwa tafsiri ya lugha rahisi kabisa bila hata kuweka links za ajabu ajabu na bila hata ya kufafanua kama ulivyofanya hapa....Nachangia kidogo hapa.
Katika sayansi ya mahusiano ya Jua na Dunia, mara zote Lugha inayotumika inaliweka Jua kama mtenda (subject) na Dunia kama mtendewa (object)
Kuanzia zamani hadi leo, wasomi wa mambo ya nyota na anga, pamoja na kuthibitisha kuwa Dunia ndio inayotembea, lakini katika matumizi lugha wanaelekeza kuona kuwa jua ndilo linalotembea.
Jambo hili tunalithibitisha hata leo wabobezi wa maswala ya sayansi za anga, lugha wanayotumia ni katika kueleza mwendo wa Jua katika mahusiano yake na dunia tunaona sentesi kama.
(1) Jua litachomoza saa moja asubuhi
(2) Jua litazama saa kumi na mbili jioni.
(3) Tarehe moja mwezi wa tatu hadi tarehe sita mwezi wa nne Jua litatembea katika mstari wa Ikweta.
Nk.
Toka zamani hadi hii leo, Jua ndilo linaloelezwa kutenda katika miondoko yote ya dunia. Hiyo ni lugha inayotumia na ndiyo inayotumika katika Biblia hadi sasa.
Katika sentesi tatu hapo juu, wewe ulitaka isemwe hivi,
(1) Dunia italizunguka jua na kusababisha jua kuonekana saa moja asubuhi.
(2) dunia italitazunguka jua na kusababisha jua kuto onekana kwa kuzama saa kumi na mbili jioni.
Hivyo basi kitendo cha jua kuwekwa kama mtenda yaani Subject katika lugha ya mahusiano wa kimwenendo wa jua na dunia kinakubalika hadi leo na wanasayansi wote.
Wote wanazitamka hizo sentesi tatu za mwanzi na sio mbili za baadae, hivyo ndivyo ilivyokubalika
Angalia hizi vishazi hivi vya Kiingereza.
(1) Sun Rise[emoji736]
(2) Sun Set [emoji736]
Na sio
(1) Earth Rise[emoji735]
(2) Earth Set [emoji735]
Katika lugha zote, dunia haitembei bali Jua.
Hivyo basi katika Vita ya Joshua pamoja ya kwamba Dunia ndio iliyosimama kisayansi lakini kama tunavyotumia leo, Jua ndilo lililokuwa mtenda (subject) katika tukio hilo.
Hata kama sasa dunia itasimama na kusababisha jua kuonekana bila kujongea, watu watazungumza kuwa Jua limesimama.
Hivyo ndugu mpendwa katika Bwana,
Lugha hiyo ni lugha tu inayotumika na imekubalika na wanasayansi wote, nao pia wanaitumia kuelezea mwenendo wa sayari Jua na dunia
Ukitaka kuthibitisha, kuanzia leo hii, sikiliza maelezo ya utabiri wa hali ya hewa katika vyombo vyote vya habari duniani na katika lugha zote.
Wote wanazungumza kwa kuliweka jua kama mtenda wa mwenendo wa dunia.
Biblia nayo imefanya vivyo hivyo, kwani ni hao hao Wanasayansi waliofasiri lugha ya Biblia ndio waliokubali sentensi hiyo iwekwe kama inavyotumika.
Alamsik
Nachangia kidogo hapa.
Katika sayansi ya mahusiano ya Jua na Dunia, mara zote Lugha inayotumika inaliweka Jua kama mtenda (subject) na Dunia kama mtendewa (object)
Kuanzia zamani hadi leo, wasomi wa mambo ya nyota na anga, pamoja na kuthibitisha
kuwa Dunia ndio inayotembea,
lakini katika matumizi lugha
wanaelekeza kuona kuwa jua
ndilo linalotembea.
Jambo hili tunalithibitisha hata
leo wabobezi wa maswala ya
sayansi za anga, lugha
wanayotumia ni katika kueleza
mwendo wa Jua katika
mahusiano yake na dunia
tunaona sentesi
(1) Jua litachomoza saa moja
asubuhi
(2) Jua litazama saa kumi na mbili
(3) Tarehe moja mwezi wa tatu
hadi tarehe sita mwezi wa nne
Jua litatembea katika mstari wa Ikweta.
N
Toka zamani hadi hii leo, Jua ndilo linaloelezwa kutenda
miondoko yote ya dunia. Hiyo ni
lugha inayotumia na ndiyo
inayotumika katika Biblia hadi
Katika sentesi tatu hapo juu,
wewe ulitaka isemwe
(1) Dunia italizunguka jua na kusababisha jua kuonekana saa
moja
(2) dunia italitazunguka jua na kusababisha jua kuto onekana
kwa kuzama saa kumi na mbili
Hivyo basi kitendo cha jua kuwekwa kama mtenda yaani
Subject katika lugha ya
mahusiano wa kimwenendo wa
jua na dunia kinakubalika hadi
leo na wanasayansi
Wote wanazitamka hizo sentesi
tatu za mwanzi na sio mbili za
baadae, hivyo ndivyo
ilivyokubalik
Angalia hizi vishazi hivi vya
(1) Sun Rise[emoji736]
(2) Sun Set [emoji736]
Na sio
(1) Earth Rise[emoji735]
(2) Earth Set [emoji735]
Katika lugha zote, dunia haitembei bali Jua.
Hivyo basi katika Vita ya Joshua
pamoja ya kwamba Dunia ndioiliyosimama kisayansi lakini
kama tunavyotumia leo, Jua ndilo lililokuwa mtenda (subject)
katika tukio hilo.
Hata kama sasa dunia itasimama na kusababisha jua
kuonekana bila kujongea, watu watazungumza kuwa Jua
limesimama.
Hivyo ndugu mpendwa katika
Bwana
Lugha hiyo ni lugha tu
inayotumika na imekubalika na
wanasayansi wote, nao pia
wanaitumia kuelezea mwenendo
wa sayari Jua na
Ukitaka kuthibitisha, kuanzia leo hii, sikiliza maelezo ya utabiri wa
hali ya hewa katika vyombo
vyote vya habari duniani na
katika lugha zote.
Wote wanazungumza kwa kuliweka jua kama mtenda wa
mwenendo wa
Dunia
Biblia nayo imefanya vivyo
hivyo, kwani ni hao hao
Wanasayansi waliofasiri lugha
ya Biblia ndio waliokubali
sentensi hiyo iwekwe kama
Alamsik
Mkuu mshana Jr.Mungu akubariki sana Che mittoga! Binafsi nimejifunza jambo moja kubwa sana hapa na kupata ufunuo wa ajabu.. Vitu vinaelezeka kwa tafsiri ya lugha rahisi kabisa bila hata kuweka links za ajabu ajabu na bila hata ya kufafanua kama ulivyofanya hapa....
Pamoja na upinzani mkuu juu ya uwepo na uwezo wa Mungu.. Mwisho wa siku tunarejea kukiri uwepo wake pasina shaka yoyote
Barikiwa tena!
Nimekupata viuri vizuri sana Che mittoga.... [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mkuu mshana Jr.
Wewe ni mmoja kati ya watu wanaotufundisha nadharia adimu sana hapa JF.
Mimi binafsi nimejifunza mambo mengi sana toka kwako, hasa kuhusu ule ulimwengu usioonekana kwa macho ya nyama.
Ila nahuzunika unavyopoteza mda kujibishana na baadhi watu ambao ama hawana ufahamu wa elimu unayoitoa au wanafanya hivyo kwa makusudi ili kujitambulisha kwa jamii inayowasikiliza.
Ujue kuwa iko Sayansi ya Ubishi, na kuna Wabobezi wa Ubishi.
Mbishi hataki kujifunza jambo jipya.
Mbishi ni mjuaji wa kila kitu, hivyo unapojitahidi sana kumwelimisha, inakuwa kama unatwanga maji kwenye kinu.
Lengo lao ni kusumbua tu na mara nyingi wanaielewa vizuri sana dhana unayowaelimisha ila kwakuwa wao wamechagua kubisha basi watabisha tu.
Usijiumize kujaribu kumwelimisha mbishi kwani Ubishi kwa sasa ni fani kama fani nyingine.
Mbona mimi nakuelewa sana unavyo tuelimisha.Nimekupata viuri vizuri sana Che mittoga.... [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]