Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,362
- 154,637
Wewe unafikiri niupi na kwa nini?Huu Uthibitisho wa uwepo wa Mungu unaodai sasa ivi kwa kila Mtu
Ni ule wa kuoneshwa Mungu? au
Ni ule wa Dhana ya Uwepo wake?
Wewe unafikiri niupi na kwa nini?Huu Uthibitisho wa uwepo wa Mungu unaodai sasa ivi kwa kila Mtu
Ni ule wa kuoneshwa Mungu? au
Ni ule wa Dhana ya Uwepo wake?
Hujathibitisha, umesema unathibitisha bila kuthibitisha.Mimi Mshana Jr kwa ID na username yangu hii ya mtandao wa Jamiiforums, nathibitisha kwa kiranga na member wengine wote kuwa Mungu mkuu mwenye enzi yote yupo na sio habari za kutunga wala za kufikirika.... Nimethibitisha mimi mwenyewe mbele ya Jukwaa hili kitengo cha Intelligence..
Huwezi kuthibitisha Mungu wako yupo.
Kwa sababu hayupo.
Kuwapo kwakisiwa ambacho lazima upande boat niuthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo hayupo.Kama kuna kisiwa, na hicho kisiwa unaambiwa lazima upande boat kukifikia, hiyo ndio njia pekee ya kukifikia kisiwa na kukifaham.
Anakuja mtu anasema hicho kisiwa hakipo, kana kwamba haitoshi hataki kupanda boat kama inavyotakiwa ili kukifikia hicho kisiwa.
Anasema yeye anasafiri kwa ndege tu mambo ya boat hayawezi.
Huyo mtu akiendelea kutaka kuthibitishiwa uwepo wa hicho kisiwa huku hataki kusikia habari za boat atakua haelewi anachokitaka.
Mungu ni Imani, kama hauamini katika imani, unaachana na mambo ya Mungu, waachie wanaoamini.
Umethibitisha tarehe ya leo ya kwamba Mungu yupo na atakuwepo milele! Jina lake lihimidiwe!Mimi Mshana Jr kwa ID na username yangu hii ya mtandao wa Jamiiforums, nathibitisha kwa kiranga na member wengine wote kuwa Mungu mkuu mwenye enzi yote yupo na sio habari za kutunga wala za kufikirika.... Nimethibitisha mimi mwenyewe mbele ya Jukwaa hili kitengo cha Intelligence..
Kumbe hupigi magoti eeeeeeh!Mweeh mchaga na kupiga magoti wapi na wapi jamani kama sio adhabu hiyo?
Hizo ithibati zako ni hallucinations zako binafsi..! zangu mimi ni halisi.... Kwakuwa wewe baada ya kusema hivyo huna back up yoyote.... Yaani jambo linaanzia kwako na kuishia kwako... Lakini hili ninalothibitisha mimi sio langu pekeyangu ni la wengi tena wengi hasaHujathibitisha, umesema unathibitisha bila kuthibitisha.
Mimi nikisema nathibitisha Mshana kaolewa na mume wake anaitwa Juma, hilo linathibitisha Mshana kaolewa na mume wake anaitwa Juma?
Sasa wewe backup yako nini? Umethibitisha wapi kwamba Mungu yupo?Hizo ithibati zako ni hallucinations zako binafsi..! zangu mimi ni halisi.... Kwakuwa wewe baada ya kusema hivyo huna back up yoyote.... Yaani jambo linaanzia kwako na kuishia kwako... Lakini hili ninalothibitisha mimi sio langu pekeyangu ni la wengi tena wengi hasa
Ni kama hueleweki upande upi kati ya hizo unaposimamia katika hoja zako..! Pindi unapotaka kumkokota Mtu ili usishindwe.Wewe unafikiri niupi na kwa nini?
Nani kasema sielewi?Ni kama hueleweki upande upi kati ya hizo unaposimamia katika hoja zako..! Pindi unapotaka kumkokota Mtu ili usishindwe.
Nakumbuka kati ya nukuu fulani zilizopita ulijaribu kuweka wazi kuwa huitaji kuoneshwa Mungu na kuwazodoa wanaojaribu kujenga hoja zao katika kufikiri hivyo kwamba wewe unahitaji hilo.
Lakini bado kwenye dhana ya uwepo wake..ulipogundua kuwa unaohojiana nao hawadai kutofungamana na vitabu unavyodai vina contradiction
Njia unayotumia kuwakwepa ni kama unahitaji uoneshwe uyo Mungu
Kwa ufupi hueleweki..ni kama ulijipanga Mahususi kuwanyoosha wale wa vitabuni Tu
Hivyo wengine wanaoamini Mungu nje ya vile vitabu kwako inakuwa ni Mtihani kufanya nao mjadala. Au nakosea?
Kuwapo kwakisiwa ambacho lazima upande boat niuthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo hayupo.
Angekuwepo usingelazimika kupanda boat, ungeweza hata kuruka hewani bila boat ukafika.
Wapi nimesema mwenye hizosifa tatu tu?Unaelewa maana ya mfano?
Hata hivyo jambo moja uko sahihi "...Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo hayupo..." mungu mwenye hizo sifa tatu tu hayupo.
Ndivyo unavyothibitisha Mungu yupo hivyo?Zile nukuu za Bible huwa unatoa wapi? Kuzimu?
Hjathibitisha Mungu yupo.Nina ithibati zangu binafsi.. Hapa nimekuuliza kuhusu nukuu za Bible unazopenda sana kuzitumia
Nimethibitisha tena kwa hakika kabisa... Ila hujakubaliana na ithibati yangu... Sasa hilo sio tatizo langu ni lako....Hjathibitisha Mungu yupo.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, angekuwepo, asingehitaji kuwepona kitabu cha kumuelezea.
Wote tungemjua na kumkubali bila utata na bila kitabu.
Kwamba kuna vitabu vya kumuelezea Mungu na tunabishana kuhusu huyo Mungu hapa ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.
Ni hadithi za vitabuni zilizotungwa na watu.
Na mimi nimethibitisha umeolewa na mume wako anaitwa Juma.Nimethibitisha tena kwa hakika kabisa... Ila hujakubaliana na ithibati yangu... Sasa hilo sio tatizo langu ni lako....