ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 3,552
- 5,188
Na ndio maana nikakuuliza tena, kupata uhakika.Nani kasema sielewi?
Maana si mara ya kwanza kwa wewe kuulizwa nilivyo kuuliza.
Ila sema uliharaka Tu kujibu bila kufikiri nililenga nini kutoka kwako
Maana naona unacheza ndani na nje huku ukituchagiza.
Na ndio maana wengi wa watu hutaka kabla ya mjadala wowote ule kuanza ni lazima watu wajue wanaojadiliana wanasimamia kipi.
La sivyo mjadala hauwezi kuwa na Nukta.