Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Hawa washazoea abracadabra na karata tatu.

Ukiweka arguments zao kwenye truth table zina fall apart.

Contradiction, fallacy, tautology, circular argument, deus ex machina, non sequitur.

Pure unadulterated ignorance.

Cognitive dissonance.

Diarrhea of the mind.

Delusions of grandeur.

God of the gaps.

Tribal bullshyt.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] at nini? ukiweka argument zao kwenye truth table? Truth table..!?!? [emoji3] [emoji3] [emoji3].. What an ugly brain washed..! Just can't believe it..
BTW only amateurs can be agitated..!, panicked n insult others.... Professionals DON'T!
 
Kusema kweli wengi hapa akiwemo mshana mwenyewe hawana hoja. Kiranga ana hoja ambayo amekuwa akiisimamia vyema sana. Anakiri Hamjui Mungu,wanaomjua Mungu anataka wamthibitishie tu ili na yeye amjue. Lkn wanaomjua Mungu wote wanajikanyaga tu. Thibitisheni km Mungu yupo. Vinginevyo mkubaliane na hoja ya kiranga kuwa Mungu hayupo!

Na anajenga hoja kutoka kwenye sifa hizo hizo wanazozisema wafia Mungu. Mungu mwenye uweza wa yote,mwenye upendo wote,aliwezaje kuumba Dunia ambayo mema na mabaya yanawezekana!?? Kulikuwa na ugumu gani wakati yeye ni mwenye uwezo wote,kuumba Dunia yenye mema tu!??
Kwakuwa umenitaja naomba nikuulize swali rahisi sana kama wewe magode una AKILI ama huna AKILI
 
Hujathibitisha Mungu wako yupo, kwa sababu hayupo.

Kuna shida kubwa zaidi kumbe.
Nimeshaandika hapa mara kadhaa kwamba sipo hapa kuthibitisha uwepo wa Mungu, na hilo sio jukumu langu.

Nikarudia kwamba hauwezi kutenganisha Mungu na Imani.
Wewe umeamua kutoamini, sasa ntaanzaje kuzungumzia mambo ya imani na asiyeamini?
Unapoendelea kunitaka kuthibitisha uwepo wa Mungu nashindwa kukuelewa.

Huo ni uamuzi wako na mtazamo wako kama ambavyo mwingine anaweza kutofautiana na wewe.
 
Kwa hiyo kama mtu hajui bangi ni nini hawezi kuthibitishiwa kwamba nyumbani kwake kunabangi, hata kama ipo kweli?

Hata kama chemical formula ya bangi kaielewa, ila anasema hakuna kitu chenye chemical formula hiyo duniani?

Nilitaka uone tofauti ya kujua kitu na kuthibitisha uwepo wa kitu.
 
Mungu akiwa kaandikwa kwa sifa mia moja, ikatokea moja tu ina contradiction, 99 nyingine zikosawa, huyo Mungu tayari ana contradiction.

Unaelewa hilo?

Mungu anatakiwa asiwe na contradiction kabisa!

Nilichukua sehem ya maandishi yako uliyoyaandika mwenyewe bila kunukuu uzi wote ukaja juu kwamba nimechukua sehem tu.

Lakini wewe unafanya kitu kilekile, mbaya zaidi hakuna kwenye Biblia huo mstari unaotaja sifa tatu tu unazoziimba hapa za upendo wote, uwezo wote na kujua yote. Hauwezi kunionyesha.

Kubwa zaidi, hizo sio sifa pekee za Mungu na Biblia imejaa sifa nyingi tu za Mungu.

Biblia hiyohiyo inatambua kwamba wapo ambao hataamini uwepo wa Mungu (miongoni mwao ni wewe) hilo sio tatizo.

Biblia hiyohiyo imeandikwa bila imani hauwezi kumpendeza Mungu, lazima kwanza uamini kwamba yupo.

Sasa unapotaka kuthibitishiwa uwepo wa Mungu bila kuamini tena kwa kuchukua sehem ya maandishi ya Biblia na kutengeneza dhana ya mungu unaemtaka wewe inashangaza.

Contradiction ni maoni au mtazamo wako. Huyo Mungu unaezema "anatakiwa asiwe na contradiction kabisa" yupo kwenye mawazo yako au umemsoma wapi?
 
Hakuna nilipokulaumu bali kukukumbusha... Ungebaki na msimamo mmoja nisingekuyumbusha kisha nawe ukayumba...
Msimamonwangu mara zote umekuwa kuweka link.

Na hujawahi kuniyumbisha.

Ila kichwa chako dish limeyumba.

Kwa hiyo ukiona watu wanayumba ni sawasawa tu.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] at nini? ukiweka argument zao kwenye truth table? Truth table..!?!? [emoji3] [emoji3] [emoji3].. What an ugly brain washed..! Just can't believe it..
BTW only amateurs can be agitated..!, panicked n insult others.... Professionals DON'T!
Thibitisha Mungu yupo.
 
Kuna shida kubwa zaidi kumbe.
Nimeshaandika hapa mara kadhaa kwamba sipo hapa kuthibitisha uwepo wa Mungu, na hilo sio jukumu langu.

Nikarudia kwamba hauwezi kutenganisha Mungu na Imani.
Wewe umeamua kutoamini, sasa ntaanzaje kuzungumzia mambo ya imani na asiyeamini?
Unapoendelea kunitaka kuthibitisha uwepo wa Mungu nashindwa kukuelewa.

Huo ni uamuzi wako na mtazamo wako kama ambavyo mwingine anaweza kutofautiana na wewe.
Huwezi kuthibitisha Mungu wako yupo.

Kwa sababu hayupo.
 
Msimamonwangu mara zote umekuwa kuweka link.

Na hujawahi kuniyumbisha.

Ila kichwa chako dish limeyumba.

Kwa hiyo ukiona watu wanayumba ni sawasawa tu.
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwahiyo unataka kuniambia kiranga unaamini link kuliko ufahamu wa maarifa yako binafsi? Salute kubwa sana! Sasa una tofauti gani na wanaomwamini Mungu? Ndio maana nikasema wewe sio mpagani bali ni mkengeufu wa imani katika Mungu
 
Logical non sequitur.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Wanaoamini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu, wanaamini Mungu wa contradiction.

Hawana tofauti na wanaoamini kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara.

Ni wajinga.

Afadhali kuamini kuna pembetatu ambayo ni duara, ukaachikia hiyo imani kwenye geometry.

Ukiamini huyu Mungu yupo, halafu maisha yako yote ukayaweka katika msingi huo, unaweka maisha yako yote kwenye msingi wa uongo na ujinga.

Na kabla hujasema Albert Einstein aliamini Mungu, soma kwanza ujue alichoamini.

Soma vitabu. Angalia documentaries. Jielimishe. Usijivue nguo hapa tu.

Kitabu gani cha maisha ya Einstein umesoma?

Newton kaishi katika enzi ya giza ya kutaka kutengeneza dhahabu kutika lead. Enzi ambayo hata quantum physics haikujulikana. Kwa nini unataka kumfanya kuhani?

Sayansi hain makuhani.

Kwa nininunataka kuleta makuhani kwenye sayansi?

Nakimbia makuhaninkwenye dini unaniletea makuhani kwenye sayansi?

Unaelewa hoja zangu?
Uje nikufanyie maombi...

Unahitaji maombi ya dharura we msukuma
 
Logical non sequitur.

Thibitisha Mungu yupo.
Hard bitten kiranga... Mungu yupo na yuko Very live! That's why unaandika haya unayoandika... Thibitisha kama sio Mungu aliye hai mweza wa yote usingeandika haya... Thibitisha wewe kama wewe bila kuweka link za wazungu
 
Thibitisha Mungu yupo kwanza.
Mimi Mshana Jr kwa ID na username yangu hii ya mtandao wa Jamiiforums, nathibitisha kwa kiranga na member wengine wote kuwa Mungu mkuu mwenye enzi yote yupo na sio habari za kutunga wala za kufikirika.... Nimethibitisha mimi mwenyewe mbele ya Jukwaa hili kitengo cha Intelligence..
 
Back
Top Bottom