Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,563
- 152,035
Nimethibitishabhayupi kwa proof by contradiction.Na sio kwamba wewe hauwezi kuthibitisha kutokuwepo kwake kwa sababu yupo? maana kama hayupo unashindwaje kuthibitisha kuwa hayupo?
Angekuwepo kungekuwa hakuna mabaya, kifo, njaa, vita etc.
Imekuwaje Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, uoendo wote ambaye aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kuwepo asiumbe ulimwengu huo na aumbe huu ambao mabaya yanawezekana?
Hujajibu swali hilo.
Huwezi kujibubswali hilo.
Kwa sababu Mungubhuyo hayupo.
Kaandikwa kwa kuungwa ungwa na watu tu.