Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,906
Mbona unajizungusha tu hapa?Nimeeleza kwamba najua Mungu huyo hayupo. Kwa sababu dhana ya kuwepo kwake ina contradiction.
Umeelewa hilo?
Hayo ya kwamba hayupo yanakuja baada ya kumjua kwanza.
Yani unapingana na ukweli na ndiyo maana hadi ukakana kuwa et hata Baba ako humjui.