Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Hahaha vile unamuheshimu inabidi tu ukwepe kujadiliana nae kilichopo mezani

Huwa sina mazoea ya kubishana na watu juu ya imani zao [mambo wanayoyafikiri vichwani mwao].

Unajua maana ya imani wewe?

So sijakwepa chochote kisa namheshimu mtu. I’m more than capable to hold my own against anybody, anywhere, and anyhow.
 
Mara usiweke link, andika maneno yako mwenyewe, mara mbona huwekilink,wewe unaelewa unataka nini?

Nikikuwekea link Kiingereza unajua kusoma? Unajua hata pa kuanzia?

Au unatapatapa tu kama mfa maji?

Authorship of the Bible - Wikipedia

Who Actually Wrote The Bible?

Quran - Wikipedia

Who Wrote the Quran?
Umerudi palepale kuweka link za wengine na mabandiko ya wengine... Kwani wewe huna msimamo wako binafsi?
Naona wewe mtu kujua kusoma kiingereza ndio kila kitu! INASIKITISHA... kiranga achana na kiingereza nafahamu mpaka lugha ambazo wewe hujui hata herufi yake moja inatamkwaje...
Kwahiyo hapa sio darasa za lugha wala kufundishana kuingia Wikipedia ambayo ndio kila kitu kwako... Kwamba huwezi kujibu kama wewe... Hujiamini mpaka ukimbilie Wikipedia
 
Mwenyewe umesema Mungu humjui,sasa mimi hapo naanzaje kukuthibitishia kitu kabla ya wewe kukijua kwanza?

Akijuacho utamthibitishiaje sasa? Unajua maana ya ‘kujua’ kweli wewe?

Yeye kasema hajui. Wewe kama unakijua mthibitishie ili naye akijue.

Come on now! This ain’t that hard!!
 
Kinachojulikana hakina haja ya kuthibitishwa, kwa sababu kinajulikana.

Kisichojulikana ndicho kinahitaji kuthibitishwa, kwa sababu hakijulikani.

Don't get it twisted, get it perfected, get it corrected.
 
Akijuacho utamthibitishiaje sasa? Unajua maana ya ‘kujua ’ kweli wewe?

Yeye kasema hajui. Wewe kama unakijua mthibitishie ili naye akijue.

Come on now! This ain’t that hard!!
Sijui kwanini mnapenda kufanya mambo yawe magumu?

Labda ueleze maana ya kujua.
 
Umerudi palepale kuweka link za wengine na mabandiko ya wengine... Kwani wewe huna msimamo wako binafsi?
Naona wewe mtu kujua kusoma kiingereza ndio kila kitu! INASIKITISHA... kiranga achana na kiingereza nafahamu mpaka lugha ambazo wewe hujui hata herufi yake moja inatamkwaje...
Kwahiyo hapa sio darasa za lugha wala kufundishana kuingia Wikipedia ambayo ndio kila kitu kwako... Kwamba huwezi kujibu kama wewe... Hujiamini mpaka ukimbilie Wikipedia
Nishakwambia hujui kama unaenda au unarudi.

Nikiweka link unanilaumu naweza link.

Nisipoweka unanilaumu sijaweka link.
 
Akijuacho utamthibitishiaje sasa? Unajua maana ya ‘kujua’ kweli wewe?

Yeye kasema hajui. Wewe kama unakijua mthibitishie ili naye akijue.

Come on now! This ain’t that hard!!
Hawa washazoea abracadabra na karata tatu.

Ukiweka arguments zao kwenye truth table zina fall apart.

Contradiction, fallacy, tautology, circular argument, deus ex machina, non sequitur.

Pure unadulterated ignorance.

Cognitive dissonance.

Diarrhea of the mind.

Delusions of grandeur.

God of the gaps.

Tribal bullshyt.
 
Kinachojulikana hakina haja ya kuthibitishwa, kwa sababu kinajulikana.

Kisichojulikana ndicho kinahitaji kuthibitishwa, kwa sababu hakijulikani.

Don't get it twisted, get it perfected, get it corrected.
Kwahiyo ina maana polisi wanaweza kuja kwako na kukumata kwamba una bangi ndani na haina haja ya kuthibitisha kwa sababu bangi inajulikana?
 
Kusema kweli wengi hapa akiwemo mshana mwenyewe hawana hoja. Kiranga ana hoja ambayo amekuwa akiisimamia vyema sana. Anakiri Hamjui Mungu,wanaomjua Mungu anataka wamthibitishie tu ili na yeye amjue. Lkn wanaomjua Mungu wote wanajikanyaga tu. Thibitisheni km Mungu yupo. Vinginevyo mkubaliane na hoja ya kiranga kuwa Mungu hayupo!

Na anajenga hoja kutoka kwenye sifa hizo hizo wanazozisema wafia Mungu. Mungu mwenye uweza wa yote,mwenye upendo wote,aliwezaje kuumba Dunia ambayo mema na mabaya yanawezekana!?? Kulikuwa na ugumu gani wakati yeye ni mwenye uwezo wote,kuumba Dunia yenye mema tu!??
 
Kwahiyo ina maana polisi wanaweza kuja kwako na kukumata kwamba una bangi ndani na haina haja ya kuthibitisha kwa sababu bangi inajulikana?

Ninachokupendea wewe ni mwanafunzi wangu mzuri sana, mifano yangu unairudia, ingawa unaonekana huielewi.

Nishatoa mfanowa polisi na uchunguzi wa nyumba za washutumiwa.

Polisi, wanaosema kwangu kuna bangi,wao wanaosema ipo, wana wajibu wa kuthibitisha kwamba ipo.

Watakuja na search warrant, na mjumbe, na mashaihidi, na mbwa, watatafuta mpaka waipate.

Wao, wanaosemaipo, wana wajibu wa kuthibitisha kwamba ipo.

Mimi ninayesema haipo, kazi yangu ni kuwa challenge wathibitishe ipo.

Ndiyo maana mtu hatakiwi ku prove kwamba hana bangi, anayesema mtu ana bangi ndiye anatakiwa ku prove hiyo bangi ipo.

Vivyo hivyo, mnaosema Mungu yupo, mna wajibu w aku prove kwamba yupo.

Tunaobisha tnatakiwa kuwaomba proof tu.

Na hamjaprove.

Kwa sababu hayupo.
 
Sawa teacher ila haujajibu swali nililokuuliza,umesema kinachojulikana hakithibitishwi kwa sababu kinajulikana. Ndiyo maana nikakuuliza kwamba polisi wanaweza kuja kwako na kukumata kwamba una bangi ndani na haina haja ya kuthibitisha kwa sababu bangi inajulikana?
 
Nawe eleza maana ya ‘ndiyo’, eleza maana ya ‘maana’, eleza maana ya ‘nikwambia’ na kadhalika!
Nadhani ushajua ni wapi ulipo boronga.

Mie natumia neno "kujua" kama linavyotumika katika maongezi ya kila siku,sasa nyie wajuzi sana mngetoa somo ili kama tunakosea kutumia neno "kujua" tujisahishe.
 
Kwahiyo ina maana polisi wanaweza kuja kwako na kukumata kwamba una bangi ndani na haina haja ya kuthibitisha kwa sababu bangi inajulikana?
Hapana, itabidi wathibitishe.

Kama wewe inavyokubidi uthibitishe Mungu yupo.

Ninaposema kwamba kinachokjulikana hakihitaji uthibitisho kwa muktadha wa polisi hapo, haijajulikana kwamba nyumba ina bangi, ndiyo maana hilo linahitaji uthibitisho.

Ukisema kwa kuwa bangi inajulikana, basi nyumba lazima ina bangi, ni sawa na kusema kwa kuwa kuna wanaume wameolewa na wanaume wengine, basi Tz Mbongo naye kaolewa na Juma.

Kitu ambacho inawezekana kabisa si kweli.

Anayesema Tz Mbongo kaolewa na Juma, inabidi athibitishe.

Anaweza kuwa mhariri wa fake news tu.

Ndiyo maana habari za Mungu kuwepo nazo zinahitaji uthibitisho.

Zinaweza kuwa fake news kama habari za kwamba Tz Mbongo kaolewa na Juma.
 
Ndiyo maana nikakwambia siwezi kukuthibitishia uwepo wa Mungu ikiwa humjui huyo Mungu,wewe unataka nikuthibitishie kama Mungu yupo(ni sawa na polisi kuthibitisha kama ndani ya nyumba yako kuna bangi) ila ajabu unasema hata huyo Mungu humjui(hujui bangi ni nini).
 
Kwa hiyo kama mtu hajui bangi ni nini hawezi kuthibitishiwa kwamba nyumbani kwake kunabangi, hata kama ipo kweli?

Hata kama chemical formula ya bangi kaielewa, ila anasema hakuna kitu chenye chemical formula hiyo duniani?
 
Nishakwambia hujui kama unaenda au unarudi.

Nikiweka link unanilaumu naweza link.

Nisipoweka unanilaumu sijaweka link.
Hakuna nilipokulaumu bali kukukumbusha... Ungebaki na msimamo mmoja nisingekuyumbusha kisha nawe ukayumba...
 
Back
Top Bottom