Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Unachokiita wewe contradiction kinaweza maanisha kitu kingine kwa mwingine.

Swali si kinamaanisha nini, swali ni, ni nini?

Kwa hiyo uandishi unaweza kufanya kitu kiwepo au kisiwepo?

Wapi unatoa hii dhana potofu? Mungu anayedaiwa kuwepo kwadhana fulani, anaweza kuoneshwa kwamba hayupo kwa kuonesha dhana ina contradiction.

Ndicho kilichotokea hapa.

Hao miungu wengine uliosema wapo, unaamini au unajua?

Niliosema wapo au niliosema wamesemwa/ kuandikwa wapo?
 
Kuna kitu kitakachokua kimepelekea uwe na sababu za kuandika hivyo.

Mimi kama sina mume anaenikunja hainiayhiri chochote.

Lakini unachoshini kuna wanaume wenye waume wanaowakunja, hilo lipo.

Unapingana na kanuni ya tatu uliyoinukuu au haupingani nayo kuhusu uwepo wa uchawi?
Kama kila kitu kinachosemwa kipo, kuna mume anaitwa Juma ni mume wako anakukunja.

Na Mungu hayupo, kwa sababu nimesema Mungu hayupo.
 
Kama kila kitu kinachosemwa kipo, kuna mume anaitwa Juma ni mume wako anakukunja.

Na Mungu hayupo, kwa sababu nimesema Mungu hayupo.

Sijasema kila kinachosemwa kipo, msingi wa huo mjadala umeanzia kwenye hii kanuni uliyoileta.

Clarke's Third Law: "Any sufficiently advanced technology is indistinguishable from magic."

Magic ipo au haipo?
 
Ok wewe unajuaje kuwa haupo?
Kwa sababu hauna logical consistency na the observable universe.

Ndiyo maana habari zote zinazosemwa za uchawi, ukizichunguza kwa makini ni habari za ujinga.

Ni karata tatu, ni kiinimacho, ni abracadabra, ni mumbo jumbo, ni mauzauza.

Mtu kadaiwa kushindwa kutua mzigo Mlandizi, wanaopenda kuamini uchawi wakasema uchawi.

Kuja kuchunguza, kumbe ni mpango tu umepangwa.

Wezi wa gari wamekutwa wanacheza uchi nje ya gari waliloiba Mombasa, kwa madai kwamba wamewehuka kwa kuiba gari lenye uchawi. Ikaja kugundulika kwamba walipanga njama na mganga wa kienyeji aongeze wateja.

Ni wizi, ni njama, ni ujinga.

Nishasema kama mchawi yupo aniroge, siku nyingi sana.

Hakuna kilichotokea.
 
Sijasema kila kinachosemwa kipo, msingi wa huo mjadala umeanzia kwenye hii kanuni uliyoileta.

Clarke's Third Law: "Any sufficiently advanced technology is indistinguishable from magic."

Magic ipo au haipo?
Magic ni nini? Na utajuaje hii ni sufficiently developed technology na hii ni magic?
 
Kwa sababu hauna logical consistency na the observable universe.

Ndiyo maana habari zote zinazosemwa za uchawi, ukizichunguza kwa makini ni habari za ujinga.

Ni karata tatu, ni kiinimacho, ni abracadabra, ni mumbo jumbo, ni mauzauza.

Mtu kadaiwa kushindwa kutua mzigo Mlandizi, wanaopenda kuamini uchawi wakasema uchawi.

Kuja kuchunguza, kumbe ni mpango tu umepangwa.

Wezi wa gari wamekutwa wanacheza uchi nje ya gari waliloiba Mombasa, kwa madai kwamba wamewehuka kwa kuiba gari lenye uchawi. Ikaja kugundulika kwamba walipanga njama na mganga wa kienyeji aongeze wateja.

Ni wizi, ni njama, ni ujinga.

Nishasema kama mchawi yupo aniroge, siku nyingi sana.

Hakuna kilichotokea.
Hata dawa zipo feki na hadi madaktali feki pia wapo tumewaona.

Tuulizane maswali ya msingi.

Mimi naomba kukuuliza,hivi ikiwa kweli hakuna uchawi/ushirikina,je inawezekana vp hadi leo bado kuna huduma ya waganga?

Mfano watu wenye kutaka utajiri wa waganga,tiba,kumdhuru mtu,kuondosha matatizo yake n.k

Tuseme uchawi hamna na kwa maana hiyo hizo huduma haziwezi kufanyika kweli,sasa kwa unavyofikiri hadi leo hii watu bado wangekuwa wanaenda kwa waganga tu?
 
Umekwepa kujibu..... Uchawi upo kama ilivyo kwa uwepo wa Mungu... Kwa HAKIKA hivi viwili vipo
Mr. Mshana iko hivi Mungu na uchawi ni issue ya imani, mtu asiyejua au kuamini mambo ya wachawi kwake uchawi haupo kwa ya kwamba hauwezi kufanya kazi kwake na pia hamna anavyoweza thibitisha uchawi.

Kuhusu Mungu pia ni imani, maandiko yanasema imani huja kwa kusikia na badae uthibitika kwa njia kuona, ila sasa wakristo/waislam/ waamini huwa wanahimizwa juu ya imani ili waweze kuthibitisha kile wanachokiamini.

Hivyo Kilanga ata aende wapi hawezi kuja kuthibitisha uwepo/kutokuwepo kwa Mungu mpaka aweze kusurrender. Asante Mungu kwa kunisaidia kukufahamu na kuniokoa na mtego wa kijinga huu wa shetani kama huu wa kilanga.
 
Aaamen barikiwa zaidi
 
Kama kila kitu kinachosemwa kipo, kuna mume anaitwa Juma ni mume wako anakukunja.

Na Mungu hayupo, kwa sababu nimesema Mungu hayupo.

Kwenye huu mfano wako, ina maana watu wa hiyo jamii wanajua maana ya mume na wanajua kwamba Juma ni jina la mwanaume, vile vile wanajua maana ya kukunja na kwamba kuna mtu anaitwa Samaritan yupo wanajua.

Hivyo vitu vyote walivyovitaja vipo na wanafaham vinamaanisha nini ndio maana hawatauliza mume ni nini? Sana sana watataka kujua hizo ni habari za kweli au si za kweli?

Sasa wewe unasema uchawi haupo.
Hilo neno lenyewe uchawi linamaanisha neno linatambulika na lipo. Nimekupa tafsiri ya neno uchawi.

Umewahi kuona jina la tembo mdogo kama sisimizi mwenye mabawa anaitaje? Hauwezi kulikuta kwa sababu hakuna kitu cha aina hiyo.

Elewa tofauti ya hayo mambo mawili.
 
Kiranga ulihitaji nikuonyeshe ulipoandika miungu wengine wapo. Nimekuwekea post namba 2585.

Umewaita wanaoamini uwepo wa Mungu wajinga, unaweza jibu post namba 2522?
 
Back
Top Bottom