Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Hapana.

Ninapojibu kwa maswali, huwa natumia kitu kinaitwa "Socratic Method" si kwa sababu ya kuogopa mtego.

Socratic method - Wikipedia

Hata Yesu, tunaambiwa kwenye maandiko, alipoulizwa na watu kama walipe kodi kwa Kaizari au wasilipe, aliwaonesha sarafu na kuwajibu kwa swali, akiwauliza sarafu hii ina picha ya nani?

Lengo lake lilikuwa si kuepuka mtego.

Lengo lake lilikuwa kwafanya waliouliza swali wapate jibu kwa mwanga mzuri zaidi wa kuona kwamba kama sarafu ina picha ya Kaisari, basi ni mali halali kumlipa Kaisari.

Sasa angekuwepo Yesu anajibu watu kwa maswali hivyo, ili wapate mwanga mzuri zaidi, ungesema anakwepa maswali anaogopa mtego?
Una mwamini Yesu?
 
Uko sahihi kama hii ndio tafsiri sahihi ya akili sasa kwanini kuna watu wanataka ithibati za kuwepo kwa Mungu wakati Mungu ni kama akili ambayo ipo lakini haionekani wala kupimika!? Bali hujidhihiri kwa matendo ya ufahamu kulingana na mazingira yaliyopo?
Je watafurahia na kukubaliana na jibu lako hili?
Ha haaa kumbe ulikua unamtega Kiranga aangukie hapa eh
 
Kiranga ulihitaji nikuonyeshe ulipoandika miungu wengine wapo. Nimekuwekea post namba 2585.

Umewaita wanaoamini uwepo wa Mungu wajinga, unaweza jibu post namba 2522?
Usitake kuleta michezo ya kitoto.

Post namba 2585 ni yako. Une edit na kutoa ki snippet cha post yangu ya awali bila muktadha.

Toa pist yangu niliyoandika kirefu.

Nikiandika kuna midoli mingi iliyotengenezwa na watu, katika midoli hiyo kuna midoli inatoa sauti, midili inatembea...

Halafu wewe ukaninukuu kwamba nimeandika "kuna midoli inatoa sauti, midoli inatembea" kwa kunifanya nionekane sijaweka muktadha kwamba midoli hii imetengenezwa na watu, utakuwa sawa?

Freaking bloody half birdbrained nincompoop.
 
Hapa uliandika midoli au miungu?

Majority ya watu hapawanaamini Mungu wa Biblia/Quran, ambaye yupokatikaset ya miungu wenye hizo characteristics za kujua yote, kuweza yote na kuwa na upendo wote.

Lakini sio miungu hao tu, wapo wengine zaidi.

Nimekuuliza wewe Mungu unayesema yupo ni yupi? Unaogopa kujibu.

Jiwe hilo sfa zakeni.

1. Liwe limeumbwa na Mungu wenu huyo.

2. Liwe zitokiasihuyo Mungu wenu hawezi kulibeba.

Huyo Mungu wenu anaweza kuliumba hilo jiwe?

Hujajibu.
 
Usitake kuleta michezo ya kitoto.

Post namba 2585 ni yako. Une edit na kutoa ki snippet cha post yangu ya awali bila muktadha.

Toa pist yangu niliyoandika kirefu.

Nikiandika kuna midoli mingi iliyotengenezwa na watu, katika midoli hiyo kuna midoli inatoa sauti, midili inatembea...

Halafu wewe ukaninukuu kwamba nimeandika "kuna midoli inatoa sauti, midoli inatembea" kwa kunifanya nionekane sijaweka muktadha kwamba midoli hii imetengenezwa na watu, utakuwa sawa?

Freaking bloody half birdbrained nincompoop.

Nikirudi kwenye huu mfano wako, wewe umesema hakuna mdoli kabisa.
 
Mpaka sasa hakuna aliyeweza kuthibitisha kwamba Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na upendo wote yupo.

Kwa sababu hayupo.
 
Naweza kusema Mshana kaolewa na Juma.

Je, mimi kusema hilo kunafanya wewe Mshana kuwa kweli umeolewa na Juma?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tunamjadili Mungu sio ndoa wala Juma.. Mfano wako ni mbilikimo halafu una makengeza
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tunamjadili Mungu sio ndoa wala Juma.. Mfano wako ni mbilikimo halafu una makengeza
Tunamjadili Mungu. Si mbilikimo.

Mfano wako huo ni mbilikimo wa mbilikimo.

Umesema kutaja kitu kunafanya kiwepo.

Nikimtaja mume wako Juma hapo hapo unakuwa umeolewa?
 
Mpaka sasa hakuna aliyeweza kuthibitisha kwamba Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na upendo wote yupo.

Kwa sababu hayupo.
Na sio kwamba wewe hauwezi kuthibitisha kutokuwepo kwake kwa sababu yupo? maana kama hayupo unashindwaje kuthibitisha kuwa hayupo?
 
Simjui wala kumuamini.

Kwa sababu hayupo.

Naijua dhana potofu ya kuwepo kwake na kuonesha kwa nini ni potofu.
Suala la kuwepo au kutokuwepo na dhana potofu hiyo ni mada nyengine.

Hauwezi kusema kusema kitu fulani kipo au hakipo bila kukijua,hata wewe unayesema Mungu hayupo ni baada ya kumjua kwanza ndiyo ukaweza kusema hayupo ni dhana tu.
 
Back
Top Bottom