Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,806
- 152,937
Na wewe nataka uniulize maswali kwa kuniadikia kwa alphabet uliyoitunga mwenyewe. Usiandike kwa alphabet iliyotungwa na wengine.Nataka maelezo yako wewe sio wao.
Tena kwa post ya hapa JF ndio kila kitu.hazina mawaa, kwa uchache tu...halafu jumla nitaipata we niachie mimi
Sitaki kusoma hizo faida kwenye mavitabu yawezekana aliyeandika hakuzimaliza, Na pia yawezekana Kafa.!
Nataka wewe ambaye Bado Wamotomoto unapumua.nisije nikamuonea Marehemu kumhoji au vitabu vyake...wakati wengine wapo Hai na Wanafikika kupitia JF
Kwa sababu ulizozitoa mwenyewe.