Hujathibitisha Mungu yupo, na walahuwezi kumuelezea huyo Mungu wako kwa namna iliyo logically consistent na non contradictable.Kiranga nilikuja na mfano rahisi tu unaohusu maelezo ya kumhusu Kiranga, mwisho nikakuuliza swali, haukujibu ukaja na maswali mengine na kiingereza kiiiingi?
Pili, kwenye moja ya post zako, nikakuuliza sifa za hilo unaloliita jiwekubwa sana ni zipi?
Lakini cha msingi zaidi, nikakuomba utoe chanzo ulipozitoa hizo sifa za huyo Mungu, umeishia kutoa maneno yasiyo staha.
Hapo awali ukadiriki kusema nna uelewa mdogo hauwezi kujibizana na mimi.
Sasa umeanza kuja na habari za kukisiakisia kuhusu mimi, nakuuliza, hayo ni maoni yako na ndivyo unavyoamini au unafaham hivyo kuhusu mimi?
Kwanini unajadili kisichopo? Kisichojulikana?
Ukishamtaja maana yake yupo na ndo maana umempa mpaka na jina
Kwa sababu hata kisichopo, usipokijua, kinawezakukuua.Kwanini unajadili kisichopo? Kisichojulikana?
Najua, kwa sababu umeshindwa kumuelezea Mungu wako.
Muelezee kwa namna iliyo logically consistent na isiyoweza kuwa contradicted kama unaweza.
Nikimtaja mume wa Mshana Juma maana yake Mshana kaolewa? Ana mume? Mume wake yupo?Ukishamtaja maana yake yupo na ndo maana umempa mpaka na jina
Hujathibitisha Mungu yupo, na walahuwezi kumuelezea huyo Mungu wako kwa namna iliyo logically consistent na non contradictable.
Kwa sababu hayupo.
Full stop.
Prove kwamba sijui basi, kwa kumuelezea huyo Mungu wako kwa jinsi ambayo iko logically consistent na haiwezi kuwa contradicted.Kumbe hata tofauti ya kujua na kuamini nayo bado unaikisia tu.
Kwa sababu Mungu hayupo.Ulichokiandika hakioani na nilichokiandika.
But ndio uhalisia....
Anyway zana sinunui wala sitengenezi naletewa tu
Kwa mtazamo wako kwakuwa umemtaja wewe... Na si wengine wote.... Jaribu kutofautisha mfano wa Ngabu na huo wako... Labda kama tu umeshindwa kuelewaNikimtaja mume wa Mshana Juma maana yake Mshana kaolewa? Ana mume? Mume wake yupo?
Huyojamaa anatapatapahata maswali ya kuuliza kaishiwa sasa.Kwani visivyopo haviwezi kujadiliwa?
Santa Claus ni kweli huwa anashuka chini kwenye chimney na kuacha zawadi za watoto chini ya mti wa Krismasi?
Kwa hiyo si lazima kila kinachotajwa kiwepo?Kwa mtazamo wako kwakuwa umemtaja wewe... Na si wengine wote.... Jaribu kutofautisha mfano wa Ngabu na huo wako... Labda kama tu umeshindwa kuelewa
Huyojamaa anatapatapahata maswali ya kuuliza kaishiwa sasa.
Anauliza maswali famba.
Hapana tofautisha fikra za mtu mmoja kama hapo kwenye mfano wako na uhalisia wa fikra katika wingi wake....Kwa hiyo si lazima kila kinachotajwa kiwepo?
Kwa sababu nimemtaja mume wa Mshana, nimewezakumtaja kwa jina, Juma.
Wakati kiukwelihayupo.
Hivyo hivyo, unaweza kumtaja Mungu, wakati hayupo.
Umeelewa kwamba si lazima kila anayetajwa awepo?