Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

...

quote-clarke-s-third-law-any-sufficiently-advanced-technology-is-indistinguishable-from-magic-arthur-c-clarke-219641.jpg

Clarke's Third Law: "Any sufficiently advanced technology is indistinguishable from magic."

Magic ipo.
 
Utajuaje hii ni magic na hii ni sufficiently advanced technology?

Kabla hatujafika huko, lazima kwanza tukubaliane kwamba magic ipo na ni vitu viwili tofauti.
Kama hiyo kanuni ni kweli, inaondoa kutokuwepo kwa magic.
 
Kabla hatujafika huko, lazima kwanza tukubaliane kwamba magic ipo na ni vitu viwili tofauti.
Kama hiyo kanuni ni kweli, inaondoa kutokuwepo kwa magic.
Magic ni nini?

Mtu asiyejua redio inafanyaje kazi, na anayesema kiboksi kinachotoa sauti ni magic, anawezaje kujuakwamba hichoanachokiita magic si magic na ni teknolojia tu?

Kanuni inakwambia unaweza kusema mtu mchawi, kumbe anatumia advanced psychology na chemistry tu kufanya advanced technology!
 
Weka nukuu verbatim nilipoandika hivyo uone kama hutaumbuka hapa kwa kupinda maneno.

Nuance please.

Half birdbrained nincompoop.

Consistence

Kilatini, shambulio la kumshambulia mtu, badala ya hoja za mtu, linaitwa "ad hominem".

ad ho·mi·nem
ˌad ˈhämənəm/
adverb & adjective
  1. 1.
    (of an argument or reaction) directed against a person rather than the position they are maintaining.
    "vicious ad hominem attacks"
  2. 2.
    relating to or associated with a particular person.
    "the office was created ad hominem for Fenton"
Ad hominem - Wikipedia

Kiujumla, wasomi na wachambuzi wa mambo hujiepusha na mashambulio ya aina hii, hususan kama hayana uhusiano wa moja kwa moja na hoja.

Sahambulio hili linaonesha utovu wa nidhamu ya majibizano ya kisomi, na linaonesha anayeshambulia anatapatapa baada ya kushindwa kwa hoja, analeta viroja.

Kutumia shambulio la "ad hominem", katika mabishano ya watu waliosoma, kwa mfano, mtu anasema dunia inazunguka jua, halafu badala ya kupinga hoja yake,ukaonesha jua linazunguka dunia, ukasema wewe mtu mwenyewe unajifuta makamasi kwenye shati, unaweza kuambiwa kwamba unakimbia kujibu hoja. Mtu anaweza kujifutia makamasi kwenye shati, akawa mchafu, lakini hoja yake ikawa sahihi.

Sisemi Ngurumo hakosei.

Ninachosema ni kwamba, kama mnataka kushambulia uthabiti wa hoja za Ngurumo, ziwekeni hapa.

Wekeni makala zake, mzichambue moja baada ya nyingine, kwa kuangalia facts, kwa kuangalia evidence, kwa kuangalia logical consistency.

Sio kwa kusema mambo yake personal ambayo kwanza hata hatujui kama ni kweli, na hata kama ni kweli, yanaweza yakawa hayana uhusiano wowote na hoja anazoandika.

Wekeni makala zake mzichambue hapa.

Personal attacks is the refuge of the weak debater.
 
Magic ni nini?

Mtu asiyejua redio inafanyaje kazi, na anayesema kiboksi kinachotoa sauti ni magic, anawezaje kujuakwamba hichoanachokiita magic si magic na ni teknolojia tu?

Kanuni inakwambia unaweza kusema mtu mchawi, kumbe anatumia advanced psychology na chemistry tu kufanya advanced technology!

Kwa mujibu wa hii kanuni, uchawi upo au haupo?
 
Consistence
There is no inconsistency in calling a half birdbrained nincompoop a half birdbrained nincompoop.

After squarely showing why that half birdbrained nincompoop is a half birdbrained nincompoop.

That is not an ad hominem attack.

That is just being truthful.

An ad hominem attack is refusing to discuss the facts and resorting to personal attacks.

I finish discussing the facts first, until you have no facts to discuss.

Then I unleash an onslaught of personal attacks that will smack you to smithereens.

Don't get it twisted, get it perfected.
 
Mie naweka nukuu zako tu hapa..

"Personal attacks is the refuge of the weak debater."
 
Mie naweka nukuu zako tu hapa..

"Personal attacks is the refuge of the weak debater."
You can't distinguish a personal attack from a fact.

I can't debate with you on the substantial matters, because you are allover the map.

1. You believe in a god you can't explain.
2. You do not want to engage in a nuanced discussion.

I will just trash you squarely for the highfalutin nonentity you truly are.
 
Fact gani unaziongelea hapa?

kuniita "half birdbrained nincompoop" ndio fact?
 
Unaweza kuthibitisha haya yapo na singano na hadithi tu?

Kwa hiyo kwa sababu Samaritan hawezi kuthibitisha uchawi haupo inamaanisha haupo?
Kwenye hiyo kanuni uliyoinukuu hajapinga. Kama isingekuwa hivyo, angesema magic ni sawa na advanced technology.
 
Kwa hiyo kwa sababu Samaritan hawezi kuthibitisha uchawi haupo inamaanisha haupo?
Kwenye hiyo kanuni uliyoinukuu hajapinga. Kama isingekuwa hivyo, angesema magic ni sawa na advanced technology.
Huwezi kuthibitisha uchawi upo, kwa sababu haupo.

Sijasema uchawi haupo kwa sababu Samaritan hawezi kuuthibitisha upo.

Unaelewa tofauti?
 
Back
Top Bottom