Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

syllogism..."introduction to philosophical analysis"PL100
namkumbuka fundi wa falsafa udsm,Dr Adolph Mihanjo.

Shukurani kuturudisha darasani. Mengine tukiyasemawenyewe hapa yanaweza kuonekana uzushi.

syllogism
[sil-uh-jiz-uh m]
See more synonyms on Thesaurus.com
noun
  1. Logic. an argument the conclusion of which is supported by two premises, of which one (major premise) contains the term (major term) that is the predicate of the conclusion, and the other (minor premise) contains the term (minor term) that is the subject of the conclusion; common to both premises is a term (middle term) that is excluded from the conclusion. A typical form is “All A is C; all B is A; therefore all B is C.”
  2. deductive reasoning.
  3. an extremely subtle, sophisticated, or deceptive argument.

Jamaa anataka kulazimisha kwamba, kwa kuwa nakubali quantum physics, kitu kisichoonekana kwa macho, basi nakubali mambo ya roho yasiyoonekana kwa macho.

Kwa sababu quantum physics na mambo ya roho, yote hayaonekani kwa macho.

Na mimi namwambia, kwa sababu wewe ni mwanamme, ambaye ni mtu, na mwanamke naye ni mtu.

Basi wewe ni mwanamke!

Kwa sababu wewe ni mtu na mwanamke naye ni mtu!
 
Ila kuhusu ulimwengu wa roho na suala la uchawi kubali upo usikatae
Mbona hutaki kujibu maswali yangu unataka yako tu?

Umekubali kwamba wewe ni mwanamke kwa sababu wanawake ni watu na wewe ni mtu?
 
Nimeamua kuishia njiani maana watu wameanza ubishi mapema sana
 
Sio sawa
Ila uchawi upo au haupo mbona haujibu unapiga chenga tu mkuu
Uchawi ni nini?

Mababu zetu walipoona wazungu wanakuja na gramophone inapiga muziki waliona uchawi.

Walivyoona redio inatangaza habari, waliona uchawi.

Wangekuwepo leo na kuona ndege zinapaaangani, na sisi tunawasiliana moja kwa moja kwenye internet dunia nzima, wangeona uchawi.

Muandishi maarufu wa Science Fiction, Arthur C.Clarke, alikuwa na msemowake "Any sufficiently advanced technology is indistinguishable from magic".

Sasa wewe unajuaje kwamba huo unaofikiri ni uchawi ni uchawi kweli, ana sikarata tatu tu, ugonjwa wa akili au chemistry ambayo hujaijua?

Kuna watu walikamatwa wanacheza uchi Kenya, wiki chache zilizopita, watu wakasema uchawi.

Wamekamatwa wakiwa wameiba gari, ikadaiwa kwamba mwenye gari aliweka uchawi kwenye gari, wakawehuka, wakaanza kucheza uchi.

Watu wanaopenda kuamini uchawi wakasemahilo linathibitisha uchawi.

Nikasema, hilo ni changa la macho. Baadaye ikaja kugundulikani mpango umepangwa na mganga wa kienyeji apate kiki.

Soma zaidi hapa

Police arrest fake thieves, witch doctors for stage-managing Mombasa incident - Nairobi News

Juzi hapa tumesikia habari za mtu eti kashindwa kutua mzigo alioiba, mpaka mwenye mali akaja.

Kumbe ni uzushi na njama tupu, jamaa alihojiwa mpaka Clouds FMikaonekana ni mpango tu umesukwa.

Sasa wewe unajuaje hayo unyoaminini uchawi, na sikitu kingine tofauti?

Kuna watu kibao wana matatizo ya umasikini, magonjwa ya akili ambayo hata majina yake hatuyajui.Ukimkuta mtu kaanguka uchi,badala ya kuchunguza ujue sababu, kwa nini unakimbilia kusema uchawi?
 
Sasa hapa unabishana na mtu anayefanya makosa hayo kimantiki bila kujua.

Halafu unamuonesha makosa yake, anazidisha ubishi!

Ubishi wake ni dalili kuwa hata hicho anachokiamini [kuhusu mungu] hakielewi.

Na nimekuja kugundua wengi wao wako hivyo. Hawakielewi wanachokiamini. Hawaelewi ni kitu gani.

Kwa sababu, mtu anayeelewa imani, hususan hii ya mungu, sidhani kama ataanza kubishana kuhusu uwepo halisi wa huyo mungu.

Yaani hili suala ni jepesi mno. Halihitaji kabisa hata akili ya ziada kulielewa. Lakini hawa wenzangu na mimi humu hata pale unapowaambia kwamba wewe huna tatizo na mtu kuamini katika mungu, hawakuelewi!

Na ukileta na yale mambo ya sijui Universal Declaration of Human Rights, hususan ile article 18 [si ajabu hata hawaijui] ndo unazidi kuwachanganya kabisa.

Watu hawajiulizi kwa nini imani ni moja ya haki za msingi za binadamu hadi kutajwa kwenye hilo azimio la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa!

Jibu ni kwamba huwezi kuzuia watu kuamini wanachotaka kuamini kwa sababu imani ni kitu ambacho hutokea kichwani mwa binadamu. Ni yale mambo anayoyafikiria kichwani mwake. Yawe ni ya ukweli au la, hiyo haijalishi sana.

Sasa kama mtu fikra zake zinamtuma kuamini kuwa ng’ombe ndiye mungu wake, mimi nawezaje kumkatalia hilo?

Fikiria, waza, amini unavyotaka kuwa ng’ombe ndiye mungu wako.

Lakini utapoanza kudai kuwa huyo ng’ombe ana uwezo huu na ule, well, hapo ndipo utapoingia kwenye 18 za wengine sasa.
 
Kuna mmoja kaanza kujiuma uma hapa kimeenda, kimepanda, kimeshuka kimeshuka.

Anasema anaamini hiki, kile na kingine, anauliza unataka kujua zaidi?

Nikamuuliza swali dogo tu.

Hayo yote unaamini au unajua?

Kasepa hata sijamuona kurudi.
 
God the Almighty one is great....
huniondoi ktk hiyo point
Yoshua 12 "Ndipo yoshua akanena na bwana ktk siku hiyo ambayo bwana aliwatoa waamori mbele ya wana wa israel,akasema mbele ya macho ya israel,wewe jua simama kimya juu ya gibeoni na ww mwezi simama ktk bonde la aiyaloni"

Yoshua 13 "ndipo jua likasimama na mwezi ukatulia

Swali je jua lilisimama ktk vita ya joshua ?
 
Kuna mmoja kaanza kujiuma uma hapa kimeenda, kimepanda, kimeshuka kimeshuka.

Anasema anaamini hiki, kile na kingine, anauliza unataka kujua zaidi?

Nikamuuliza swali dogo tu.

Hayo yote unaamini au unajua?

Kasepa hata sijamuona kurudi.
Ulininukuu_na jibu langu halikukulenga wewe ila ulipenda kujibiwa.

Hivyo sioni kosa langu.Na wala hukuwa na sababu ya kusema nimekukimbia.

Na kama wewe ni mwerevu ulipaswa kutambua jibu la swali nililoulizwa nimejibu vipi.!

Na kile ulichopaswa kusimamia kwenye kujenga swali lako.

Nilisema nanukuu;
"Naamini katika Mungu muweza Yote"

Hivyo hukupaswa tena kuniuliza juu ya kuamini.

Na tena nikaorodhesha sifa za huyo ninaye muamini.Ambazo ni,

Nguvu zote na udhaifu wote

Upendo wote na Ubaya wote

Akili yote na ujinga wote nk

Ni kwamba nazijua hizo sifa.

Sasa unapokuja na kuniuliza kaswali kako kakurudia nichojibu ulitaka nikujibu vipi?

Zaidi ya kushangaa welewa wako.!?
 
Wewe hata hujui kamaunajua au unaamini, walatofauti ya kujua na kuamini ni nini.
 
Ukiongea uponyaji, unadhihirisha Mungu hayupo.

Angekuwepo, watu wasingekuwa na ugonjwa kabisa ili kuhitaji uponyaji.
Mkuu kiranga hivi unaamin katika spiritual power like uchawi,miujiza and so?
If yes hii inatokana na nin(nliwahi kusoma article Moja kwamba Nguvu ya miujiza tunayo wenyewe) hao wachungaji na masheikh wanatupanga tu
If no these miracles zinatokana na nin mfano mtu anamloga mtu asimdai na anasahau,etc
 
Sitaki kuamini, nataka kujua.
 
Unagusia Mungu wa Biblia na Qur'an tu na si Beyonce n.k? Na kwanini muda wote unataja hizo sifa tu ni kama unataka kutuaminisha ya kwamba hana sifa zengine.

Kwanini haumuelezei kwenye uumbaji n.k?

Maana inawezekana humjui vizuri na ndiyo maana unasumbua tu hapa.
We huyo Mungu umemjuaje afu wengine tusimjue?
 
Back
Top Bottom