Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Andiko nimekupa kuonyesha mungu hajui hata mfumo wa jua kanisa limekubali na ww ht ukipinga haibadilishi ukweli vingnevyo maneno yako ni sawa kuchukua tani 1 za sukari uweke ktk habari usitegemee bahari kuwa tamu

Unayaamini hayo maandiko uliyonipa?
 
Hahahaaaa!!!

Wabillah tawfiq!!

Nyie watu ni Chiboko!!

Aise kwenye swali lako la andiko la Joshua hakuna muamini Mungu atakayekujibu.

Tuliwahi kusema huko nyuma kwamba vitabu vyote vya d

ini vilitungwa na wanadamu kwa makusudio yao binafsi,na si kama wanavyotudanganya leo.

Ndiyo maana mahala pengi Mungu huyohuyo anapewa sifa za kibinadamu,

Mara eti akaupenda ulimwengu na kumtoa mwanae wa pekee,(utadhani mwanzo
hakuupenda.)

Ni mwenye wivu na hivyo usiwe na miungu wengine,

Oooh!! Mara akasirike.

Kwenye Quran kuna mahala panasema malaika walipomtembelea Allah walimkuta anaumwa
macho,ajabu hii!!

Zamani watu waliamini ktk idea
za kina Clouds Ptolemy za
Geocentric theory,

na watunga biblia wakakopi na
kupest idea hiyo hivyohivyo hapo kwa Joshua.

Sasa ujio wa akili kubwa za kinaNicholaus Copernicus naidea zao za Heliocentric theory zimewaacha uchi watunga biblia hapo.

Mungu mjuzi wa yote hakujua
kuwa huko mbeleni and
iko hili la jua kuamrishwa
lisimame litaleta contradiction!?

Yaani hivi ni vituko show kuzidi
hata vya Masanja mkandamizaji.

Na ili uzikubali inakubidi uwe
umevuta bangi gunia zima!

Mkuu Buyamba ni ngumu kukubali ukweli km huna uvumilivu maana unauma hasa kwa ile sehemu ambayo inakupa furaha maishani maisha yao yote wametegemea hapo ukisema ukweli wanaumia andiko lipo wazi kila mtu kaliona
Watachofanya ni kutetea Imani zao penye uongo pana
lazimishwa pawe na ukweli hapo
Andiko moja hali imekuwa hivyo tukileta Habari nyingine za
uwongo km kupaa,kuzaliwa bila
Ya baba,kufa Na kufufuka patakuwa pagumu

Kulil haqqa waa inkaana murraa napotumia biblia Au quran si km naziamini hapana bali kutoa kutu ktk akili zao inakuwa km lubrication
 
Napotumia biblia Au quran sio km naziamini bali ni km lubricant ya kuondoa kutu ktk akili yako
Na hakuna aneyestaajabia nukuu zako.Ni Mbwembwe Tu

Kwani wanasheria wangapi wanaijua katiba na sheria zilizomo na bado wanakula rushwa.!?

Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma na Kuelimika.
 
Na hakuna aneyestaajabia nukuu zako.Ni Mbwembwe Tu

Kwani wanasheria wangapi wanaijua katiba na sheria zilizomo na bado wanakula rushwa.!?

Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma na Kuelimika.

Hilo ndio tatizo la kudandia gari kwa mbele maneno yk yanaonyesha busara Na hekima huna mm na samaritan mjadala wetu umeanzia mbali km ungekuwa Na busara ungetusaidia kutupa elimu ktk lile jambo tungekuona unazo busara lkn si kudonoa donoa yy ameuliza mm nimemjibu km unayo hoja Mkuu weka mezani watu watakuelewa
 
Nashukuru mkuu. Tunaweza kutofautiana misimamo, itikadi, elimu, imani n.k lakini sitadharau utu wako.

Kumcha Mungu ni chanzo cha hekima.
Kiwango cha ufahamu na kuelimika hupimwa kwenye hekima ya matokeo ya tofauti za kimtazamo na tafakuri ya majibu katika maandishi yetu..
 
Napotumia biblia Au quran sio km naziamini bali ni km lubricant ya kuondoa kutu ktk akili yako

Sasa huko unafika mbali mkuu, kwamba akili yangu ina kutu? Sio neno kwa kuwa huo ni mtazamo wako.

Hata hivyo, sishangai sana kwa sababu umediriki kusema Mungu amedanganya na umeshindwa kuthibitisha alivyodanganya. Lakini bado siwezi kusema akili yako inakutu.
 
Dunia ya ulimwengu inaendeshwa na kanuni na taratibu zake! Bila kusahau sheria... Zipo kanuni na taratibu za kiasili na zipo sheria za kutungwa na binadamu kukidhi matakwa ya jamii ama jambo fulani

Kwa kwenye mchezo wa ngumi ama soka kuna adhabu zake unapovunja sheria na kanuni za mchezo na utaadhibiwa.. Kuna baadhi huzivunja kwa bahati mbaya lakini wengi ni kutokana kuzidiwa maarifa kimchezo...
Bondia Tyson enzi zake alizidiwa kimchezo na bondia mwenzake Evander... Kwakuwa Tyson alijiamini sana kuwa yeye ni The unbeatable... Kitendo kile kilimuudhi sana mpaka kupelekea kujisahau na kumng'ata mwenzie sikio..
Hapa jamvini tunabishana kwa hoja ila ukishaona mtu ameanza kutaharuki na kuanza kukejeli kutukana ana kukashifu... FURAHI kisha mezea kwakuwa tayari ushindi ni wako... Mtu wa jinsi hiyo unakuwa umeshampa vitasa vya kutosha vya hoja ...
Sasa cha kufanya ni hiki... Mpuuze ama mpe muda taharuki likitulia endelea kumshindilia vitasa vingine mpaka akimbie ulingo
 
Sasa huko unafika mbali mkuu, kwamba akili yangu ina kutu? Sio neno kwa kuwa huo ni mtazamo wako.

Hata hivyo, sishangai sana kwa sababu umediriki kusema Mungu amedanganya na umeshindwa kuthibitisha alivyodanganya. Lakini bado siwezi kusema akili yako
inakutu.

Mkuu Samaritan nakupongeza kwa busara lakn mpk tulipo fika hapa tuwaachie wengine nafasi ya kujadili

Nimekupa andiko ktk kitabu cha jeshua kuonyesha kuwa mungu amedanganya hana uelewa kuhusu mfumo wa jua ndio alisema yeye alisimamisha jua

Kwakuwa watu wa zamani
walivyoangalia jua walivyoona linatembea wakajua linatembea kweli na mungu nae akaona hivyo lakn kiuhalisia si kweli jua lipo limesimama siki zote

Nikakuletea mfano wa Gallileo alipokuja yy kwenye karne ya 15 alisema jamani jua alitembei dunia ndio inayotembea

Basi kanisa la kipindi kile lilikuwa na mamlaka ya kiserikali na kidini wakamuambia atengue nadharia yake la sivyo watampa hukumu Gallileo alikataa aliona bora kufa kuliko kusema jua linatembea Basi wakampa hukumu ya kifo

Lakini 1992 kanisa lile lilitengua hukumu yake na likaomba radhi Kwakuwa Gallileo alikuwa sawa

Mm nimeleta andiko kuwa Je jua lilisimama ktk vita ya jeshua lakn sijapata majibu mpk muda huu,huenda na ww hukupata majibu kulingana Na maelezo yng
Hivyo tukancel mjadala ili tujifunze kwa wengne hapa ni mahala pa kujifunza na si pakutafuta mshindi

Ila kumbuka uongo unapenda kupanda lift ili uwahi kufika juu na ulete fitna ktk maisha ili watu wasielewane na ndicho kinachoendelea duniani kwa sasa lakn ukweli Unaenda hatua kwa hatua unapanda ngazi
 
Dunia ya ulimwengu inaendeshwa na kanuni na taratibu zake! Bila kusahau sheria... Zipo kanuni na taratibu za kiasili na zipo sheria za kutungwa na binadamu kukidhi matakwa ya jamii ama jambo fulani

Kwa kwenye mchezo wa ngumi ama soka kuna adhabu zake
unapovunja sheria na kanuni za mchezo na utaadhibiwa.. Kuna
baadhi huzivunja kwa bahati
mbaya lakini wengi ni kutokana
kuzidiwa maarifa kimchezo...
Bondia Tyson enzi zake alizidiwa kimchezo na bondia
mwenzake Evander... Kwakuwa
Tyson alijiamini sana kuwa yeye
ni The unbeatable... Kitendo kile
kilimuudhi sana mpaka
kupelekea kujisahau na
kumng'ata mwenzie sikio..
Hapa jamvini tunabishana kwa
hoja ila ukishaona mtu ameanza
kutaharuki na kuanza kukejeli
kutukana ana kukashifu...
FURAHI kisha mezea kwakuwa
tayari ushindi ni wako... Mtu wa
jinsi hiyo unakuwa umeshampa
vitasa vya kutosha vya hoja ...

Sasa cha kufanya ni hiki... Mpuuze ama mpe muda
taharuki likitulia endelea
kumshindilia vitasa vingine
mpaka akimbie ulingo

Mkuu Ndio Maana nilisema ww una Grandisity clinical feature ya mania Hilo ni tatizo hatari
 
Mkuu Samaritan nakupongeza kwa busara yako nadiriki kusema Ww ni mfano wa kuigwa km watu watajifunza kupitia ww wataelewa mengi mvumilivu Na unajibu kwa ustadi lakn mpk tulipo fika hapa tuwaachie wengine nafasi ya kujadili

Nimekupa andiko ktk kitabu cha jeshua kuonyesha kuwa mungu amedanganya hana uelewa kuhusu mfumo wa jua ndio alisema yeye alisimamisha jua

Kwakuwa watu wa zamani
walivyoangalia jua walivyoona linatembea wakajua linatembea kweli na mungu nae akaona hivyo lakn kiuhalisia si kweli jua lipo limesimama siki zote

Nikakuletea mfano wa Gallileo alipokuja yy kwenye karne ya 15 alisema jamani jua alitembei dunia ndio inayotembea

Basi kanisa la kipindi kile lilikuwa na mamlaka ya kiserikali na kidini wakamuambia atengue nadharia yake la sivyo watampa hukumu Gallileo alikataa aliona bora kufa kuliko kusema jua linatembea Basi wakampa hukumu ya kifo

Lakini 1992 kanisa lile lilitengua hukumu yake na likaomba radhi Kwakuwa Gallileo alikuwa sawa

Mm nimeleta andiko kuwa Je jua lilisimama ktk vita ya jeshua lakn sijapata majibu mpk muda huu,huenda na ww hukupata majibu kulingana Na maelezo yng
Hivyo tukancel mjadala ili tujifunze kwa wengne hapa ni mahala pa kujifunza na si pakutafuta mshindi

Ila kumbuka uongo unapenda kupanda lift ili uwahi kufika juu na ulete fitna ktk maisha ili watu wasielewane na ndicho kinachoendelea duniani kwa sasa lakn ukweli Unaenda hatua kwa hatua unapanda ngazi

Mkuu iko hivi, Kitabu cha Joshua nimekisoma na hiyo habari iliyoandikwa kwamba jua lilisimama, naifaham vizuri sana.
Pili, kwamba Papa aliomba radhi kwa kitendo cha kuuwawa kwa Gallileo sio kigeni, nafaham pia.

Hoja iko hapa, nimekuomba urekebishe usemi wako kwamba maandiko yamesema jua lilisimama na wewe kwa mtazamo wako unaona ni kama maandiko yamedanganya, pia ukasema kanisa limeomba msamaha ukimaanisha ni ushahidi wa kuungama kwamba makosa yalifanywa na kanisa. Kwa muktadha huo ukathibitisha kwamba Mungu amedanganya.

Hilo sio hitimisho sahihi, ndio maana nilitoa mfano hapa kwamba endapo utakutana na maandiko yenye maelezo ya Kiranga ukayasoma, itakua sahihi kuhitimisha kwamba Kiranga hayupo? (Sikupata jibu ikaleta mlolongo mrefu sana wa majibizano kufikia hatua ya Kiranga kusema hawezi jibizana na mimi uelewa wangu mdogo).

Naomba uelewe kwamba, tatizo langu halipo kwenye maandiko au maelezo uliyoyaleta kama rejea, la hasha. lipo kwenye kauli yako ya awali kwamba Mungu amedanganya ( Ina maana ni kitendo ambacho umekishuhudia kwamba kimefanya na huyo mhusika unaemtuhumu) ndio maana nilikua nakuuliza mara kadhaa, una uhakika Mungu amedanganya? Ili tupate ushuhuda kutoka kwako jinsi ilivyotokea.
 
Dunia ya ulimwengu inaendeshwa na kanuni na taratibu zake! Bila kusahau sheria... Zipo kanuni na taratibu za kiasili na zipo sheria za kutungwa na binadamu kukidhi matakwa ya jamii ama jambo fulani

Kwa kwenye mchezo wa ngumi ama soka kuna adhabu zake unapovunja sheria na kanuni za mchezo na utaadhibiwa.. Kuna baadhi huzivunja kwa bahati mbaya lakini wengi ni kutokana kuzidiwa maarifa kimchezo...
Bondia Tyson enzi zake alizidiwa kimchezo na bondia mwenzake Evander... Kwakuwa Tyson alijiamini sana kuwa yeye ni The unbeatable... Kitendo kile kilimuudhi sana mpaka kupelekea kujisahau na kumng'ata mwenzie sikio..
Hapa jamvini tunabishana kwa hoja ila ukishaona mtu ameanza kutaharuki na kuanza kukejeli kutukana ana kukashifu... FURAHI kisha mezea kwakuwa tayari ushindi ni wako... Mtu wa jinsi hiyo unakuwa umeshampa vitasa vya kutosha vya hoja ...
Sasa cha kufanya ni hiki... Mpuuze ama mpe muda taharuki likitulia endelea kumshindilia vitasa vingine mpaka akimbie ulingo

"We Might Be The Master Of Our Own Thoughts Still We Are The Slaves Of Our Own Emotions"

Sikumbuki mwandishi
 
Sasa huko unafika mbali mkuu, kwamba akili yangu ina kutu? Sio neno kwa kuwa huo ni mtazamo wako.

Hata hivyo, sishangai sana kwa sababu umediriki kusema Mungu amedanganya na umeshindwa kuthibitisha alivyodanganya. Lakini bado siwezi kusema akili yako
inakutu.

Kusema kutu Mkuu sijakutana nimetumia lugha ya picha kuwa ww biblia Ndio inaikubali sana kushinda chochote mm nikitumia
Biblia nakuwa km naweka lubricant ili upate kuelewa zaidi Maana km sijatumia maneno ya vitabu hutakataa maneno yng
 
Mkuu iko hivi, Kitabu cha Joshua nimekisoma na hiyo habari iliyoandikwa kwamba jua lilisimama, naifaham vizuri sana.
Pili, kwamba Papa aliomba radhi kwa kitendo cha kuuwawa kwa Gallileo sio kigeni, nafaham pia.

Hoja iko hapa, nimekuomba urekebishe usemi wako kwamba maandiko yamesema jua
lilisimama na wewe kwa
mtazamo wako unaona ni
maandiko yamedanganya,
ukasema kanisa limeomba
msamaha ukimaanisha ni
ushahidi wa kuungama kwamba
makosa yalifanywa na kanisa.
Kwa muktadha huo ukathibitisha
kwamba Mungu amedanganya.

Hilo sio hitimisho sahihi, ndio
maana nilitoa mfano hapa
kwamba endapo utakutana na
maandiko yenye maelezo ya
Kiranga ukayasoma, itakua
sahihi kuhitimisha kwamba
Kiranga hayupo? (Sikupata jibu
ikaleta mlolongo mrefu sana wa
majibizano kufikia hatua ya
Kiranga kusema hawezi jibizana
na mimi uelewa wangu mdogo).

Naomba uelewe kwamba, tatizo
langu halipo kwenye maandiko
au maelezo uliyoyaleta kama
rejea, la hasha. lipo kwenye
kauli yako ya awali kwamba
Mungu amedanganya ( Ina
maana ni kitendo ambacho
umekishuhudia kwamba
kimefanya na huyo mhusika
unaemtuhumu) ndio maana
nilikua nakuuliza mara kadhaa,
una uhakika Mungu
amedanganya? Ili tupate
ushuhuda kutoka kwako jinsi
ilivyotokea.

Nimekupa ushindi Umekataa naona umeanza mjadala Sawa Labda nikuulize swali Je jua lilisimama km mwandishi wa jeshua anavyoelezea ? Sitaki kuzunguka km circular motion
 
Nimekupa ushindi Umekataa naona umeanza mjadala Sawa Labda nikuulize swali Je jua lilisimama km mwandishi wa jeshua anavyoelezea ? Sitaki kuzunguka km circular motion

Jua halikusimama kama mwandishi anavyoelezea (Hapo tutarudi baadae kwa mjadala mpana). Lakini Je, Mungu ndio Joshua?
Ningekuelewa endapo ungesema Joshua amedanganya.
 
Kusema kutu Mkuu sijakutana nimetumia lugha ya picha kuwa ww biblia Ndio inaikubali sana kushinda chochote mm nikitumia
Biblia nakuwa km naweka lubricant ili upate kuelewa zaidi Maana km sijatumia maneno ya vitabu hutakataa maneno yng

Sawa mkuu, tunaweza kutofautiana kutafsiri kutu, lakini lubrication ikitumika sio tu kuondoa kutu, inafanya vitu vifanye kazi bila msuguano au kwa wepesi, kutu inaashiria uharibifu. Lakini nimekuelewa mkuu.
 
Sawa mkuu, tunaweza kutofautiana kutafsiri kutu, lakini lubrication ikitumika sio tu kuondoa kutu, inafanya vitu vifanye kazi bila msuguano au kwa wepesi, kutu inaashiria uharibifu. Lakini nimekuelwa mkuu.

Hapo nisamehe nilikuwa sina maana mbaya nilikuwa naonyesha hatuwezi kutafuta ushahidi wa maneno bila ya vitabu kwa kuwa unaweza niuliza hayo maneno umeyapata wapi
 
Jua halikusimama kama mwandishi anavyoelezea (Hapo tutarudi baadae kwa mjadala mpana). Lakini Je, Mungu ndio Joshua?
Ningekuelewa endapo ungesema Joshua amedanganya.

Na mm Mkuu nitakupa uthibitisho kuwa mungu usema kupitia manabii neno la mungu analiweka ktk vinywa Vya manabii
 
Hapo nisamehe nilikuwa sina maana mbaya nilikuwa naonyesha hatuwezi kutafuta ushahidi wa maneno bila ya vitabu kwa kuwa unaweza niuliza hayo maneno umeyapata wapi

Tumeshaelewana na kusameheana, hilo jambo la kawaida. Tuendelee kuelimishana mkuu.
 
Na mm Mkuu nitakupa uthibitisho kuwa mungu usema kupitia manabii neno la mungu analiweka ktk vinywa Vya manabii

Inaelekea una taaluma au uwezo ambao mimi sina. Utakua umenipa faida kubwa sana ya kufuatilia huu mjadala endapo utafanikiwa kunipa huo uthibitisho mkuu, karibu.
 
Back
Top Bottom