Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kuna mmoja kaanza kujiuma uma hapa kimeenda, kimepanda, kimeshuka kimeshuka.

Anasema anaamini hiki, kile na kingine, anauliza unataka kujua zaidi?

Nikamuuliza swali dogo tu.

Hayo yote unaamini au unajua?

Kasepa hata sijamuona kurudi.
Ukiambiwa ueleze tofauti ya kujua na kuamini hauwezi.
 
Nawaunganisha wote watatu Mkuu Mshana,Samaritan na ww hilo swali hamuwezi jibu mungu kupitia jeshoua amesema jua simama na jua likasimama swali je jua lilisimama ktk vita ya jeshoua?
Nimesitisha mjadala nawe kwenye hili kwakuwa nimegundua huifahamu Bible, Mungu wala ukristo katika uhalisia wake... Kumbuka hii mada wasomaji ni wengi kuliko wachangiaji
 
huniondoi ktk hiyo point
Yoshua 12 "Ndipo yoshua akanena na bwana ktk siku hiyo ambayo bwana aliwatoa waamori mbele ya wana wa israel,akasema mbele ya macho ya israel,wewe jua simama kimya juu ya gibeoni na ww mwezi simama ktk bonde la aiyaloni"

Yoshua 13 "ndipo jua likasimama na mwezi ukatulia

Swali je jua lilisimama ktk vita ya joshua ?
Sijakuzuia...! Hebu soma reply yangu vizuri... Nilichofanya ni kumtukuza Mungu ninayemuamuni... Je hili ni tatizo kwako? Nakushauri endelea na msimamo wako ni haki yako lakini usinione mpumbavu ninapomtukuza Mungu wangu
TUHESHIMIANE KATIKATI YA UKINZANI NA UTOFAUTI WA MAWAZO YETU.. kwakuwa mwisho wa siku inabaki kuwa mitazano inayokosoleka kwa vyovyote vile
 
Mkuu "samehe saba mara sabini",Pia "Faidhaa khatwaba humul jaahilunaa qaluu salamaa" niwie radhi,JAZAAKA ALLAHUL KHEIRI BAAD KHEIR JANNAT NAYIIM na MUNGU AKUBARIKI SIKU ZAKO ZOTE
 
Bora mie sijiui ila sijifanyi kuwa najua,ila wewe hujui ila unajitutumua kuwa unajua.
Hapana,

Anayesema Mungu yupo anasema anajua jibu la maswali yote. Mungu.

Anayebisha Mungu kuwapo na kusema tujifunze mambo ilitujue majibu hajasema anajua .
 
Nimesitisha mjadala nawe kwenye hili kwakuwa nimegundua huifahamu Bible, Mungu wala ukristo katika uhalisia wake... Kumbuka hii mada wasomaji ni wengi kuliko wachangiaji
Sawa maneno yangu kwako ni haya uwongo huwa unapenda kupanda lift ili uwahi juu kuweka fitna kwa watu ili wasifanikiwe lakn ukweli wenyewe huwa unaenda hatua kwa hatua huwa unapanda ngazi ni ngumu kujua ukweli km huna uvumilivu
 
Hapana,

Anayesema Mungu yupo anasema anajua jibu la maswali yote. Mungu.

Anayebisha Mungu kuwapo na kusema tujifunze mambo ilitujue majibu hajasema anajua .
Nani kasema anajua kila kitu? hata wanaosema hakuna Mungu pia basi wanajua kila kitu ndiyo maana husema hakuna Mungu maana kuna wengine pamoja na kutokuamini Mungu ila hawana ujuzi wa kuweza kujua kama yupo ama hayupo.
 
Ukisema unajua Mungu yupo, unajua chanzo cha dunia,unajua chanzo cha uhai,usipojua unaweza kumpigia simu kwenye maombiakakupa majibu, una shortcut ya kujua kila kitu kupitia Mungu, una misahafu yenye majibu yote etc.

Ukibishia kuwapo Mungu kama mimi, hujasema unajua chanzocha dunia, hujasemaunajua chanzo cha uhai ni nini, huna mungu wa kumpigia simukwenye maombi kumuuliza akupe majibu, huna msahafu wa kukupa majibu tayari.

Anayebishia kwamba Mungu yupo ndiye anayekubali kwamba hajui na hana majibu rahisi.

Anayesema Mungu yupo anasema anajua majibu ya yote anayo Mungu, na yeye kwa sababu anamjua Mungu, anayo hayo majibu.
 
Mkuu "samehe saba mara sabini",Pia "Faidhaa khatwaba humul jaahilunaa qaluu salamaa" niwie radhi,JAZAAKA ALLAHUL KHEIRI BAAD KHEIR JANNAT NAYIIM na MUNGU AKUBARIKI SIKU ZAKO ZOTE

Hahahaaaa!!!

Wabillah tawfiq!!

Nyie watu ni Chiboko!!

Aise kwenye swali lako la andiko la Joshua hakuna muamini Mungu atakayekujibu.

Tuliwahi kusema huko nyuma kwamba vitabu vyote vya dini vilitungwa na wanadamu kwa makusudio yao binafsi,na si kama wanavyotudanganya leo.

Ndiyo maana mahala pengi Mungu huyohuyo anapewa sifa za kibinadamu,

Mara eti akaupenda ulimwengu na kumtoa mwanae wa pekee,(utadhani mwanzo hakuupenda.)

Ni mwenye wivu na hivyo usiwe na miungu wengine,

Oooh!! Mara akasirike.

Kwenye Quran kuna mahala panasema malaika walipomtembelea Allah walimkuta anaumwa macho,ajabu hii!!

Zamani watu waliamini ktk idea za kina Clouds Ptolemy za Geocentric theory,

na watunga biblia wakakopi na kupest idea hiyo hivyohivyo hapo kwa Joshua.

Sasa ujio wa akili kubwa za kina Nicholaus Copernicus na idea zao za Heliocentric theory zimewaacha uchi watunga biblia hapo.

Mungu mjuzi wa yote hakujua kuwa huko mbeleni andiko hili la jua kuamrishwa lisimame litaleta contradiction!?

Yaani hivi ni vituko show kuzidi hata vya Masanja mkandamizaji.

Na ili uzikubali inakubidi uwe umevuta bangi gunia zima!
 
Hapana,

Ukisema unajua Mungu yupo, unajua chanzo cha dunia,unajua chanzo cha uhai,usipojua unaweza kumpigia simu kwenye maombiakakupa majibu, una shortcut ya kujua kila kitu kupitia Mungu, una misahafu yenye majibu yote etc.

Ukibishia kuwapo Mungu kama mimi, hujasema unajua chanzocha dunia, hujasemaunajua chanzo cha uhai ni nini, huna mungu wa kumpigia simukwenye maombi kumuuliza akupe majibu, huna msahafu wa kukupa majibu tayari.

Anayebishia kwamba Mungu yupo ndiye anayekubali kwamba hajui na hana majibu rahisi.

Anayesema Mungu yupo anasema anajua majibu ya yote anayo Mungu, na yeye kwa sababu anamjua Mungu, anayo hayo majibu.
Basi watu wanaoamini Mungu wangekuwa wanajua hata siku zao za kufa ni lini,maana wanajua kila kitu kama unavyosema. Nimekwambia kuna watu hawaamini Mungu ila hiyo haifanyi kusema hakuna Mungu ila nyie wenye kujua kila kitu ndio mnajua kuwa hakuna Mungu.
 
Hapana, wanasemawanajua mpango mzima wa kufa maana yake ni nini, ni njia ya kurudi kwa Mungu kwenda kuishi milele, hivyo kifo sikitu muhimu sana, muhimu ni uzima wa milele.

Wasioamini Mungu kama mimi hatusemi ujinga ambao hauthibitishiki kama huo.

Hatujawahikudai Mungu huyo yupo na kuna maisha baada ya kifo.
 
Narudia tena.

Kama watu wenye kuamini Mungu wangekuwa wanadai wanajua kila kitu kama unavyosema wewe,basi wangejua lini watakufa.
 
Narudia tena.

Kama watu wenye kuamini Mungu wangekuwa wanadai wanajua kila kitu kama unavyosema wewe,basi wangejua lini watakufa.
Si suala muhimu, kwa sababu watakuambia wanajua mpango mzima.

Kufa ni kama kujamba tu, wengine hata kujiua wanajiua iliwawahikwenda kukutana na Mungu.

Anayesema anajua aliyeumba ulimwengu na anayesema hajui, nani anasema anajua zaidi hapo?
 
Sizungumzii watu kujiua au kujua kuna nini baada ya kufa bali nazungumzia mtu kujua siku yake ya kufa,hili si jambo dogo hivi unafikiri watu wangekuwa wanajua ni lini wanakufa hali ingekuwaje?

Mara zote hapa mnasema kuwa imani ya Mungu ilianzishwa kipindi cha ujinga watu walikuwa hawajui mambo mengi na ndiyo wakawa wanatoa jibu la Mungu kwa yale mambo wasioyajua.

Hivyo leo hii hakuna sababu ya kendelea kuamini Mungu kwa sababu mambo mengi yanajulikana.
 
Reciprocity.

Googke that.

Hutakiwi kunutaka nikujibu wewe maswali yako tu. Wakati wewe hunijibu mimi.

Utakuwa mtu wa chini kuliko malaya.

Hata malaya anapotaka hela, huwa kuna huduma anatoa.

Wewe unashindwa na malaya?

Unataka kujibiwa wakati hutaki kujibu?

Hilo jina la Samaritan hulifanyii haki.

Samaritan wametoa mfano mkubwa wa kufanya mambo bila kutegemea kufanyiwa chochote.

Wewe unataka kujibuwa bila kujibu.

Badilisha jina lako.

Jiite "Less Than A Whore".

Sio Samaritan.

I will curse you out as "Less Than A Whore" everytime you want me to answer you without you answering me.

That is the only way to deal with leeching worms like you.

Nashukuru mkuu. Tunaweza kutofautiana misimamo, itikadi, elimu, imani n.k lakini sitadharau utu wako.

Kumcha Mungu ni chanzo cha hekima.
 
Back
Top Bottom