Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kivipi? Utajuaje huyu ni Mungu kweli na si kulazimisha ndoto zako tu kwamba Mungu yupo?

Nataka uthibitisho ulio factually.

Kama ni ndoto tu kila mtu anaweza kuota zake.
Anajidhihirisha kwenye mambo mengi tu na sio masuala ya ndoto
Mfano Anaponya wagonjwa wanapoombewa
 
Ukiongea uponyaji, unadhihirisha Mungu hayupo.

Angekuwepo, watu wasingekuwa na ugonjwa kabisa ili kuhitaji uponyaji.
 
Ambaye tabia zakeni zipi? Mungu anatajwa kwa characteristics.

Wa Biblia na Quran ana ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote.

Ukisema waliyekuwa wanamuabudu wazee wa zamani kabla ya kuja wazungu na Waarabu bila kutaja tabia zake, inaonekana hata wewe mwenyewe huamini wala kujua kwamba yupo/ alikuwepo.
Tabia zake ni hizohizo za upendo na ukuu..
Mfano Yalipokua yanatokea majanga au ukaame walikua wanafanya matambiko na kwa upendo wake anatuliza na mambo yanakua shwari
 
Kama sijielewi,huo ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mweye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba dunia mabayo inaweza kuwa na kiumbe wake hajielewi.

Wakati naandika post hiyo nilijua tu utakuja kujibu huo utoto wako,ni rahisi tu kujua ni utaandika.
 
Umesema hivyo tu, tena kizembe tu.

Hujathibitisha ilo.
Kipi nithibitishe mbona umekariri neno "uthibitisho" kama nyimbo?

Yani kwa sababu wewe unaamini kuna contradiction basi na wengine wote unataka waamini hivyo,na kuona ndiyo ukweli wenyewe!!!!

Ndiyo maana nakwambia kwa mtazamo wako wewe ndiyo unaona hakuna Mungu.
 
Ambaye tabia zakeni zipi? Mungu anatajwa kwa characteristics.

Wa Biblia na Quran ana ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote.

Ukisema waliyekuwa wanamuabudu wazee wa zamani kabla ya kuja wazungu na Waarabu bila kutaja tabia zake, inaonekana hata wewe mwenyewe huamini wala kujua kwamba yupo/ alikuwepo.
Unagusia Mungu wa Biblia na Qur'an tu na si Beyonce n.k? Na kwanini muda wote unataja hizo sifa tu ni kama unataka kutuaminisha ya kwamba hana sifa zengine.

Kwanini haumuelezei kwenye uumbaji n.k?

Maana inawezekana humjui vizuri na ndiyo maana unasumbua tu hapa.
 
Huu uzi unachekesha sana!

Pia unathibitisha kuwa watu wengi wanaoamini hawakijui hata hicho wanachokiamini ni nini hasa.
 
Sana tu, maana kuna watu humu naona kama vile ndugu zangu nisipowaona siku tatu nafaham kwamba fulani simuoni.

Good deal!

But I’m back now. Better and badder than ever.

From now on it’s all gas no brakes! Gun barrel straight all the way.

Hope to see you around.
 
Nisamehe hapo mkuu,biblia ni maneno ya nani

Maandishi yanayomhusu Mungu.
Lakini unaelewa tofauti ya mtu kufanya jambo na maelezo ya huyo mtu vina tofauti?

Pili, umetumia maneno ya Papa ambae umeita kanisa kuomba msamaha kama kigezo cha Mungu kudanganya.

Ndio maana nikakuuliza, Mungu amedanganya au maelezo uliyosoma kuhusu yeye yamedanganya?
Unayaamini maneno ya Biblia kiasi ya kuyatumia kama chanzo cha hitimisho lako?

Kumbuka ulisema Mungu amedanganya.
 
Yoshua 12
"Ndipo Yoshua akanena na Bwana ktk siku hiyo ambayo Bwana aliwatoa waamori mbele ya wana wa israel,akasema mbele ya macho ya israel,wewe jua simama kimya juu ya gibeoni na ww mwezi simama ktk bonde la aiyalon"
yoshoua 13"ndipo jua likasimama na mwezi

hapo ndipo mungu amedanganya jua lipo limesimama siku zote kwakuwa watu wa zamani walikuwa wanavyoona jua linatembea na mungu wa biblia akasema hivyo alivyokuja Gallileo akapinga hilo ndio kanisa wakamuua kwakuwa alikuwa anaonekana anapingana na mungu lakn 1992 kanisa likaomba msamaha kuwa mungu amedanganya
 
.
ericjeromedickey1-2x.jpg
 
Unajua bado hatujaelewana jambo moja. Naomba twende polepole.

Unaamini au unajua kwamba Mungu amedanganya?

Pili, hayo maneno ya kitabu cha Yoshua una yaamini?

Kanisa unalosema liliomba msamaha kwa kitendo cha kumuua Gallileo, unayaamini maneno yao?

Kumbuka wewe ndio uliandika kwamba Mungu amedanganya. Vinginevyo useme maelezo yako ulimaanisha umenukuu mahali wakisema Mungu amedanganya, hiyo ina maana tofauti sana.
 
Kukiwa jioni mwasema kutakuwa na kianga kwa maana mbingu ni nyekundu na asubuh mwasema leo kutakuwa na dhoruba kwa maana mbingu ni nyekundu tena kumetanda nimeshakuthibitishia uwongo wa mungu wako KULIL HAQA WAINKAANA MURRA sema ukwel ingawa unauma kanisa wenzako wamekubali kuwa mungu amedanganya watu wa zamani walivyoona jua linatembea wakijua linatembea kweli kumbe lipo limesimama na mungu akaona hivyo hajui hata mfumo wa jua halafu ndio ataweza kuumba kama kanisa limekubali ww ht ukipinga haibadilish ukweli vingnevyo maneno yako ni sawa na uchukue tani 1 za sukari uweke ktk bahari usitegemee bahari kuwa tamu
 
Back
Top Bottom