Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kukiwa jioni mwasema kutakuwa na kianga kwa maana mbingu ni nyekundu na asubuh mwasema leo kutakuwa na dhoruba kwa maana mbingu ni nyekundu tena kumetanda nimeshakuthibitishia uwongo wa mungu wako KULIL HAQA WAINKAANA MURRA sema ukwel ingawa unauma kanisa wenzako wamekubali kuwa mungu amedanganya watu wa zamani walivyoona jua linatembea wakijua linatembea kweli kumbe lipo limesimama na mungu akaona hivyo hajui hata mfumo wa jua halafu ndio ataweza kuumba kama kanisa limekubali ww ht ukipinga haibadilish ukweli vingnevyo maneno yako ni sawa na uchukue tani 1 za sukari uweke ktk bahari usitegemee bahari kuwa tamu

Nashukuru kwa muda wako mkuu.
Huku tunakoelekea naona kabisa ntajikuta nakuonea kwa kosa lisilo kuhusu.

Huyo Mungu unasema hayupo, hapo hapo unasema amedanganya.
Nikajua utatueleza ulivyoshuhudia akidanganya, naona unaleta habari nyingi ambazo napo umegoma kukubali kwamba unaziamini?
 
hivyo ndivyo unavyoona ww ktk hali yoyote utatetea imani yako hata mahala penye uwongo pawe na ukweli ili mradi ionekane hapana uongo kwakuwa hiyo imani ndio yakupa furaha na amani ina maana umeshelekeza akili yako ikubali hayo na kweli ndio yatayokutokea mm siwezi kukupinga siwezi lazimisha njano kuwa blue
Sitetei imani je hilo swali hapo juu unaweza kulijibu?
 
Nukuu ya hizi sifa mkuu
Reciprocity.

Googke that.

Hutakiwi kunutaka nikujibu wewe maswali yako tu. Wakati wewe hunijibu mimi.

Utakuwa mtu wa chini kuliko malaya.

Hata malaya anapotaka hela, huwa kuna huduma anatoa.

Wewe unashindwa na malaya?

Unataka kujibiwa wakati hutaki kujibu?

Hilo jina la Samaritan hulifanyii haki.

Samaritan wametoa mfano mkubwa wa kufanya mambo bila kutegemea kufanyiwa chochote.

Wewe unataka kujibuwa bila kujibu.

Badilisha jina lako.

Jiite "Less Than A Whore".

Sio Samaritan.

I will curse you out as "Less Than A Whore" everytime you want me to answer you without you answering me.

That is the only way to deal with leeching worms like you.
 
Kiranga na wenzako mnaokataa hakuna Mungu wala ulimwengu usioonekana na haya vipi ni maigizo au?[emoji3]
Kigagula kimekamatwa huko baada ya kubwagika na ungo wake

tapatalk_1527757278416.jpeg
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kisu kimegusa mfupa... Maumivu yake hayavumiliki... The nice thing about leech ni kwamba it feeds on blood...!
 
Kiranga na wenzako mnaokataa hakuna Mungu wala ulimwengu usioonekana na haya vipi ni maigizo au?[emoji3]
Kigagula kimekamatwa huko baada ya kubwagika na ungo wake

View attachment 790558
Ulimwengu usioonekana ni nini?

Wewe unaamini chochote unachosoma mtandaoni?

Unaelewa kwamba miezi michache watu walikutwa wanacheza uchi kwa m8najiki ya kwamba wamerogwa baada ya kuiba gari Kenya, ikabainika wamepanga mpango na mganga wa kienyeji kupumbaza watu?

Unaelewa yule jamaa aliyesemwa kashindwa kutua mzigo Mlandizi alikiri zoezi zima lilipangwa?
 
Ulimwengu usioonekana ni nini?

Wewe unaamini chochote unachosoma mtandaoni?
Ulimwengu usioonekana ni ulimwengu usioonekana kwa macho.
Mtandaoni?
Wakati watu tunaona mitaani yanatokea
Mwaka juzi tu tulimfuma mdada usiku ndani ya nyumba ya watu anawanga uchi na masizi yake usoni,
Halafu ni wa mtaa wa nne tu anajulikana
Mkuu usikatae
 
Sasa mimi mtu ninayekubali quantum physics, vitu visivyoonekana kwa macho, utasemaje sikubali ulimwengu usioonekana?

Unaelewa unachoandika?
 
Umetoka kwenye ulimwengu usioonekana umekuja kwenye roho sasa?

Umekubali hoja yako ya mwanzo iliandikwa kizembe?
Sasa kwani ulimwengu wa roho unaonekana?
Nikiuita ulimwengu usioonekana wala sijakosea

Kiufupi umekubali ulimwengu wa roho upo
 
Sasa kwani ulimwengu wa roho unaonekana?
Nikiuita ulimwengu usioonekana wala sijakosea

Kiufupi umekubali ulimwengu wa roho upo
Kama wewe ni mwanamme, mwanamme ni mtu.

Na kuna wanawake, nao ni watu.

Nikikuita wewe ni mwanamke, kwa sababu wanawake ni watu, na wewe ni mtu, nitakuwa sawa?
 
Kama wewe ni mwanamme, mwanamme ni mtu.

Na kuna wanawake, nao ni watu.

Nikikuita wewe ni mwanamke, kwa sababu wanawake ni watu, na wewe ni mtu, nitakuwa sawa?
Ila kuhusu ulimwengu wa roho na suala la uchawi kubali upo usikatae
 
Mungu tunayemzungumza hapa hatumjadili kwa kulalia upande wa dini,

Tunamjadili kutokana na sifa zake ambazo ni mjuzi wa yote,ana upendo wote na uwezo wote.

Sasa kama una Mungu mwingine ambae ni tofauti na mwenye sifa hizo tajwa naomba umtaje hapa na sifa zake ili tumjadili,

Hata kama ni Beyonce ama Maradona ndio Mungu wako tuambie,

Ila usisahau tu kutuwekea sifa zake.

Kwa sababu kinachotambulisha na kutofautisha kitu kimoja na kingine ni sifa zao.

Tuambie, Mungu wako wewe ni yupi ana sifa zipi!?
Mimi pia naamini katika Mungu muweza Yote.

Na sifa zake ni

Nguvu zote na Uduni wote,

Na upendo wote na Ubaya wote

Na akili zote na ujinga wote.

Vipi unataka kujua zaidi.?
 
Mimi pia naamini katika Mungu muweza Yote.

Na sifa zake ni

Nguvu zote na Uduni wote,

Na upendo wote na Ubaya wote

Na akili zote na ujinga wote.

Vipi unataka kujua zaidi.?
Hayo unaamini au unajua?
 
Nashukuru kwa muda wako mkuu.
Huku tunakoelekea naona kabisa ntajikuta nakuonea kwa kosa lisilo kuhusu.

Huyo Mungu unasema hayupo, hapo hapo unasema amedanganya.
Nikajua utatueleza ulivyoshuhudia akidanganya, naona unaleta habari nyingi ambazo napo umegoma kukubali kwamba unaziamini?
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Andiko nimekupa kuonyesha mungu hajui hata mfumo wa jua kanisa limekubali na ww ht ukipinga haibadilishi ukweli vingnevyo maneno yako ni sawa kuchukua tani 1 za sukari uweke ktk habari usitegemee bahari kuwa tamu
 
Sitetei imani je hilo swali hapo juu unaweza kulijibu?
Mkuu hujajibu hilo andiko la joshua mungu anasema ww jua simama kimya na jua likasimama watu wa zamani walijua jua linatembea kwa kulitazama hata mungu wa biblia nae akajua hivyo je ni kweli jua lilisimama ktk vita ya jeshoua? thats why Gallileo alivyokuja akapinga hayo maneno wakamuua kwakuwa ilionekana anapingana na mungu
 
Kama wewe ni mwanamme, mwanamme ni mtu.

Na kuna wanawake, nao ni watu.

Nikikuita wewe ni mwanamke, kwa sababu wanawake ni watu, na wewe ni mtu, nitakuwa sawa?
syllogism..."introduction to philosophical analysis"PL100
namkumbuka fundi wa falsafa udsm,Dr Adolph Mihanjo.
 
Back
Top Bottom