Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kwa ukweli Mungu hayupo.

Ila ukiamua kutynga hadithi kwamba yupo, kwa muktadha wa hadithi unaweza kusema yupo.

Ndiyo maana huwezi kuthibitisha Mungu yupo nje ya habari za imani na hadithi.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo factually.
Pai ukiamua kuyatizama mazingira kwa mtazamo wa hakuna Mungu pia utaona hakuna Mungu,ni jambo ambalo lipo wazi kabisa. Na ndiyo maana wakati wewe ubashangaa inawezekana vp watu kuamini Mungu? na wao hukushangaa ni vp mtu anaweza kuona hakuna Mungu?

Ni kama vile mpo sayari tofauti kila mmoja hutafsiri mambo kivyake.
 
Ni wewe mwenyewe ndio uliyosema ni ngumu kujua imani ya mtu,kwa hivyo hata wewe hauwezi kujua kuwa mtu fulani ni mlevi,mzinzi au muuji kwa sababu haamini Mungu.

Na ndiyo maana nikasema hizo sababu ni mtazamo tu binafsi na hasa ukizingatia wewe mwenyewe bado unajiuliza ni kwanini watu wenye kujua kiingereza na wenye access na internet ila wanaamini kuwa kuna Mungu?
Ngumu kujua maana yake huwezi kujua?

Mtu akisema ni ngumu kujua chemical composition ya nyota, maana yake huwezi kujua chemical composition ya nyota?

Baada ya kusema ni ngumu kujuaimani ya mtu sijaelezea namna ambavyo tunaweza kupima imani za watu kwa matendo yao?
 
Pai ukiamua kuyatizama mazingira kwa mtazamo wa hakuna Mungu pia utaona hakuna Mungu,ni jambo ambalo lipo wazi kabisa. Na ndiyo maana wakati wewe ubashangaa inawezekana vp watu kuamini Mungu? na wao hukushangaa ni vp mtu anaweza kuona hakuna Mungu?

Ni kama vile mpo sayari tofauti kila mmoja hutafsiri mambo kivyake.
Tofauti ipo kubwa sana.

Kuamini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo hakupo logically consistent na ulimwengu tunaouona.

Kutoamini yupo kuko logically consistent na ulimwengu tunaouona.

Kuamini Mungu huyo yupo kunafanya kuwepo contradictions nyingi sana.

Kutoamini Mungu huyo yupo hakufanyi contradiction yoyote.

Kwa sababu hayupo.
 
Ngumu kujua maana yake huwezi kujua?

Mtu akisema ni ngumu kujua chemical composition ya nyota, maana yake huwezi kujua chemical composition ya nyota?

Baada ya kusema ni ngumu kujuaimani ya mtu sijaelezea namna ambavyo tunaweza kupima imani za watu kwa matendo yao?
Kupima imani ya mtu ni kitu kingine kabisa,unaweza kujua mtu mwenyewe imani ya juu kabisa kiwango cha kuwa tayari kufa kwa ajiri ya Mungu na wengine wana kiwango cha chini kabisa kiasi cha hata cha kuuwa mtu.
 
Tofauti ipo kubwa sana.

Kuamini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo hakupo logically consistent na ulimwengu tunaouona.

Kutoamini yupo kuko logically consistent na ulimwengu tunaouona.

Kuamini Mungu huyo yupo kunafanya kuwepo contradictions nyingi sana.

Kutoamini Mungu huyo yupo hakufanyi contradiction yoyote.

Kwa sababu hayupo.
Na hivyo ndivyo uonavyo wewe na ndiyo maana unashangaa wanaoamini Mungu,na wanaoamini pia hukushangaa pia.
 
Kupima imani ya mtu ni kitu kingine kabisa,unaweza kujua mtu mwenyewe imani ya juu kabisa kiwango cha kuwa tayari kufa kwa ajiri ya Mungu na wengine wana kiwango cha chini kabisa kiasi cha hata cha kuuwa mtu.
Ukiwa na imani kubwa au ndogo kuhusu Mungu, kama hayupo hayupo, kama yupo yupo, imani haibadilishiukweli.

Wewe hata ukiwa na imanikubwa vipi kwamba wewe sasa hivi ni Jeff Bezos, bilionea mkubwa wa dunia, imani hiyo,kamaweweni Nyangema wa kitaa kwetu tu, haikufanyi uwe Jeff Bezos.

Ndiyo maana mimi najikita katika facts, imani unaruhusiwa hata wewe kuamini kwamba ni Mungu.

Lakini, hilo halikufanyiuwe Mungu.

Let's talk facts.
 
Na hivyo ndivyo uonavyo wewe na ndiyo maana unashangaa wanaoamini Mungu,na wanaoamini pia hukushangaa pia.
Hapana, hivyo si nionavyo mimi tu, huo ndio ukweli.

Usiushushe ukweli kwaksuema ni nionavyo mimi tu.
 
Vitabu vinavyosemwa kuwa ni vya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuhitaji ufafanuzi ni ushahidi mwingine Mungu huyo hayupo.

Angekuwepo, siyo tu vitabu vyake visingehitaji ufafanuzi, tusingehitaji hata vitabu kumuelewa.
Kwani mkuu kabla ya wakoloni kipindi hicho wazee wetu walitumia vitabu kuabudu?
 
Sababu ni nyingi sana.

Hata Papa anaweza kuwa kiongozi msomi haamini Mungu na anajua Kiingereza mpaka Kilatini lakini ana sababu zake za kuendeleza imani ya Mungu.

Kwanza kabisa.

1. Ni vigumu kujua imani ya mtu, kwa matendo yao utawajua, hata hao wanaosema wanaamini Mungu, imani yao inatia shaka, wengi ni walevi, wazinzi, wezi, wajivuni etc. Mambo ambayo mnasema Mungu anakataza. Mpaka hapo tukisema wanaamini Mungu unawezea kauli hiyo shaka.

2. Watu wengine wanasema wanaamini Mungu kwa uvivu tu. Kusema unaamini Mungu ni kama maji yanayoshuka mlima. Huulizwi sana, huwakwazi wapendwa wako kwenye familia, huhatarishi kazi yako, huonekani mtu wa ajabu. Katika maisha yenye matatizo mengi, wengi wanaamua kusema hivyo wasipate maswali mengi, hata pale wanapoona stories za Mungu hazi add up.

3.Wengine wanajua Kiingereza lakini hawana uwezo/ access wakufuatilia arguments za kuwepo na kutokuwepo Mungu.

4. Wengine wanajua Kiingereza na wanaweza kufuatilia arguments, lakini wameshajikubalisha kwamba suala la kuamini Mungu ni la imani, sila argument, kwa hiyo wameamua kuamini tu.

5.Wengine wanaona kwamba hata kama Mungu hayupo, ni vizuri watu wenye fikra ndefu kusema yupo, ili isije kuwa vurugu watu wasio na simile wakigundua Mungu hayupo na kukosa sababu ya kuishi kwa adabu.

6. Wengine wana maslahi. Viongozi wa makanisa, serikali, mashirika, sehemu yoyote inayokusanya watu wengi, wanaona ni rahisi kuwaongoza watu kama wanaamini Mungu yupo, zaidi ya wale ambao hawaamini Mungu yupo.

7. Wengine wamelelewa katika kuamini Mungu na washakunywa sana maji ya bendera, hata wakijua Mungu hayupo, wataona kashakuwa sehemu kuwa sana ya maisha yao, hawawezi kubadili imani uzeeni.

8. Wengine wanaona Mungu ni dhana ya maana, kwa sababu inatumika kama kichaka cha kuficha ujinga wote wa watu, swali lolote ambalo hatujui jibu lake, tunalipachika kwenye kichaka cha Mungu. Hivyo, watu wanaonekana wanajua mambo. Ukimuondoa Mungu ujinga wetu unatonekana ulivyo mkubwa, na hiliwengine wanaona si jambo zuri.

9. Wengine wanaona mawazo ya kutokuwapo Mungu ni ya hatari na yataleta maangamizi makubwa. Ili kuepuka maangamizi haya, imani ya Mungu ni bora iendelezwe. Hata kama hayupo na wanajua hayupo.

10. Wengine wanaona mifumo mingi wanayoitaka iliyopo sasa imeegemea imani ya Mungu. Wanaokandamiza wanawake watasema dini imepitisha hilo, wanaokandamiza weusi nao wana mistari yao, wanaokandamiza watu tofauti nao wana mistari yao ya dini. Hata watawala wakitaka urahisi kutwawalawanasema "fulani chaguola Mungu". Ukiwaondoela mfumo wa Mungu, mifumo yao mingi sana kandamizi itaanguka na hawataki hilo. Leo mtu wa ISIS anayeua watu kwa jina la dini na kujipatia mafao mengi hivyo, ukimwambia Mungu hayupo,unamuharibia namna yake ya kukandamiza watu. Watu wanaosema "fulani chaguo la Mungu"ukiwaondolea Mungu, unawaharibia msingi wa ukandamizaji wao. Hawa, hata wakijua Mungu hayupo, hawatakubali.
Nimejikuta nawaza jinsi ambavyo nchi ya Saudi Arabia huwa inapiga pesa ndefu kupitia utalii unaoitwa "kwenda kuhiji Makka na Madina".

Hivi hapa hata kama wakijua Mungu hayupo si wataendelea na kuiaminisha dunia kwamba yupo tu ili uchumi wa nchi yao usiyumbe kwa kuwakosa hawa watalii?

Mkuu,hapa umemaliza kila kitu.Asiyeelewa basi aendelee na kutoelewa kwake!!
 
UKifikiri vizuri lazima ujiulize kwa nini Mungu tunaemuabudu tumefundishwa na wazungu.?

Kama sisi wote ni wana wa Mungu (wa wazungu) kwa nini alitangulia kuwafahamisha wao kwanza badala ya wote kwa pamoja.?

Kama Mungu aliituumba wote kwa mfano wake kwa nini wote hatukupa ufahamu kuhusu yeye kwa wakati mmoja.?

Sipingi uwepo wa Mungu ila nawaza tu Mungu tunaemuabudu Makanisani na misikitini sio wa kwetu, ama sio Mungu wa wote...ila kuna jamii unatulazimisha tumuabudu Mungu wao.

......bado nawaza.....
 
Nimejikuta nawaza jinsi ambavyo nchi ya Saudi Arabia huwa inapiga pesa ndefu kupitia utalii unaoitwa "kwenda kuhiji Makka na Madina".

Hivi hapa hata kama wakijua Mungu hayupo si wataendelea na kuiaminisha dunia kwamba yupo tu!?

Mkuu,hapa umemaliza kila kitu.Asiyeelewa basi aendelee na kutoelewa kwake!!
Hao wafalme wafalme wengi wanakuwa wanajua ukweli kwamba Mungu hayupo, ila wanatumia dhana ya Mungu kuzidi kutawala watu tu.

Saudi Arabia nchi ya sheria kali za kidini, lakini kwenye parties za familiaya kifalme wanafanya maasi kibao, wanakunywa pombe, wanapata madawa ya kulevya etc.
 
UKifikiri vizuri lazima ujiulize kwa nini Mungu tunaemuabudu tumefundishwa na wazungu.?

Kama sisi wote ni wana wa Mungu (wa wazungu) kwa nini alitangulia kuwafahamisha wao kwanza badala ya wote kwa pamoja.?

Kama Mungu aliituumba wote kwa mfano wake kwa nini wote hatukupa ufahamu kuhusu yeye kwa wakati mmoja.?

Sipingi uwepo wa Mungu ila nawaza tu Mungu tunaemuabudu Makanisani na misikitini sio wa kwetu, ama sio Mungu wa wote...ila kuna jamii unatulazimisha tumuabudu Mungu wao.

......bado nawaza.....
Kwanza kabisa lazima uelewe kwamba ukichukua neno "Mzungu", ukaondoa "z", unapata neno "Mungu".
 
Hahaha, ni mambo ya kufuatilia vitu tu.

Mambo yako wazi kama vazi la kahaba.
Mkuu hiyo 2184 ni balaa yaan mtu mwenye kuamini mungu akaisoma akatafakari uhuni,ubabe wa watu,dhuluma akalinganisha yanaendelea duniani hana haja ya kupoteza muda kwenda kanisani au msikitini kuomba msaada inaonyesha totally mungu hayupo na ndio hakuna msaada wake
 
Back
Top Bottom