Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,501
- 151,731
Ndiyo maana yake.Kwa hiyo tunamwabudu Mzungu na sio Mungu tena?
Katika lugha ya Kiswahili, cha ndani, cha kwetu sisi wenyeji wa Pwani ya Afrika Mashariki, neno "Mzungu" lilitumika kabla ya kuja watu weupe.
Mzungu ni kiumbe fulani hivi cha mastaajabu na uwezo wa juu wa siri kama uchawi, umalaika, au uMungu katika imani zetu za asili zak uamini miungu wengi.
Sasa Wazungu walivyokuja na sayansi zaoza ajabu, tukaamini hawa ndio mizungu wenyewe.
Ndiyo mwanzo wa jina la Mzungu kupewa watu weupe.
Tuliamini wazungu ni miungu, na mpaka leo tunaamini hivyo kupitia dini walizotuletea.
Hapa wameandika kwa uchache sana, ukitafuta habari zaidi utaona ninyosema mimi.
mizungu - Swahili-English Dictionary