Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Yaan usije ukatolea quran kielezee uumbaji yaan hicho ndio totally shizophrenia yaan quran hata mtu alivyoumba kinaongopa
Screenshot_2018-05-29-23-19-34.png
Screenshot_2018-05-29-23-24-15.png
Screenshot_2018-05-29-23-25-02.png
 
siku nyingine usije chukulia hicho kitabu .poa...hapo mekupa screen short usome kiufupi ..sio suala la kiimani hapo ni science tupu ....na hapo yaonyesha uwezo wa mungu kwan hicho kitabu ni cha miaka iyooooooo afu watu wanakuja ku prove ukweli wake miaka hii
 
Kiingereza = access to a lot of information on the subject.

Sasa tunataka kujadiliana kuhusu uwepo wa Mungu na watu ambao hata Kiingereza ni cha manati,ni sawa sawa na utake kusolve hesabu za string theory, wakati hata kujumlisha hujui.
Nimekuuliza ni watu wa wapi ambao hawajui kiingereza? maana kutokujua kwao kiingereza hushindwa kupata maarifa mengi ambayo yapo kwenye lugha ya kiingereza na hatimaye hadi zama hizi bado wanaendelea kuamini Mungu.
 
siku nyingine usije chukulia hicho kitabu .poa...hapo mekupa screen short usome kiufupi ..sio suala la kiimani hapo ni science tupu ....na hapo yaonyesha uwezo wa mungu kwan hicho kitabu ni cha miaka iyooooooo afu watu wanakuja ku prove ukweli wake miaka hii
Hayo mashairi hakuna la ziada hapo kitabu kina uwongo nikuthibitishie
 
Mkuu quran ni mashairi hakuna kitabu mule uzuri wake ni kwa kiarabu ukitafsiri majanga matupu hawasomi wanaimba kama nyimbo
hayo mashair unayosema ..yamejibu na yanajibu kila swali la mwanadamu.yameandikwa karne zilizopita ila ukiyasoma utazani yameandikwa leo..acha chuki kama kweli wataka kufaham kitu bhc usikichukie kiangalie kilivyo kisha pima kama ni uwongo ama kweli
 
Hizo habari za uwongo sina muda nazo kama unaamini ya kweli chukua moja uje nazo hapa
mie nilijua wataka kujifunza kumbe wataka kubishana bhc..[emoji1] [emoji1] hutaki mambo ya imani nakupa fact za science ambazo ndio waziamini nazo hutaki..
 
Kwanzia hao eithist na Non-believer Nawaonea huruma sana watakapofariki na kukutana na Mungu waliompinga na kumpuuza.

Mungu ni Mungu tu.
 
thibitisha
Ukisoma wassamai watwariq ktk aya zifuatazo
aya ya 5 :Embu jitazame mwanadamu ameumbwa kwa kitu gani
aya ya 6:ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kichupa
aya 7:yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu
swali je sperm zinazalishwa ktk mifupa ya mgongo na mbavu?
 
mie nilijua wataka kujifunza kumbe wataka kubishana bhc..[emoji1] [emoji1] hutaki mambo ya imani nakupa fact za science ambazo ndio waziamini nazo hutaki..
Quran ni mashairi na uzuri wake upo kwa kiarabu ukitafsiri majanga pale mtu anaposoma kwa kughani kwa sauti nzuri kama rasit,nahwandi,girka,bayat,siqa,ajemi, hapo ndipo mnapolewa sio msome mjue maana weng wanasoma ht maana hawajui
 
Ukisoma wassamai watwariq ktk aya zifuatazo
aya ya 5 :Embu jitazame mwanadamu ameumbwa kwa kitu gani
aya ya 6:ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kichupa
aya 7:yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu
swali je sperm zinazalishwa ktk mifupa ya mgongo na mbavu?
umesoma nilichokutumia kwani kimeeleza kila kitu..ebu niambie ww uumbwaji wa binadamu ukoje afu tulinganishe na screen short niliokupa..hapo tutaenda sawa
 
Ukisoma wassamai watwariq ktk aya zifuatazo
aya ya 5 :Embu jitazame mwanadamu ameumbwa kwa kitu gani
aya ya 6:ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kichupa
aya 7:yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu
swali je sperm zinazalishwa ktk mifupa ya mgongo na mbavu?
Screenshot_2018-05-30-00-05-23.png
Screenshot_2018-05-30-00-05-56.png
 
Quran ni mashairi na uzuri wake upo kwa kiarabu ukitafsiri majanga pale mtu anaposoma kwa kughani kwa sauti nzuri kama rasit,nahwandi,girka,bayat,siqa,ajemi, hapo ndipo mnapolewa sio msome mjue maana weng wanasoma ht maana hawajui
haya tafsir nshakupa ya hizo aya ulizonipa..broh hicho kitabu nikikuambia kina majibu ya kila swali lako unielewe...
 
Kanisa limeshathibitisha kuwa Gallileo alikuwa right ndio maana wakaomba msamaha ukijifanya hiyo habari huijuhi me sio langu kalishtaki kanisa vingnevyo maneno yako sawa uweke tani 1 ya sukari ktk bahari usitegemee bahari iwe tamu

Aliyesema Mungu kadanganya nikamuuliza mara kadhaa akasema ndio Mungu kadanganya ni kanisa au ni wewe?

Umejinasibu hapa kwamba Mungu amedanganya, thibitisha.

Mara zote unakuja na kanisa limeomba msamaha, unataka kutuambia Mungu ndio aliomba msamaha kama hichi ndio kigezo chako cha Mungu kudanganya hapo awali?

Usilete habari nyingi. Nilishtaki kanisa kwa lipi? Umejuaje mie ni mfuasi wa hilo unaloliita kanisa?

Nikisema umeshindwa kuthibitisha kwamba Mungu amedanganya nakosea?
 
Amkeni nyinyi. Mbona hamjitambui?
Hivi mzungu kama kweli anakupenda h atakupa biblia?. Ndio maana inagawiwa kama njugu hadi vijijini. Mmeshindwa kujua maana ya maisha, mnapata kasumba. Mmelishwa takataka junk foods, pharmaceutical drugs, mnajali maghorofa na magari kuliko living beings. Thats why mnaugua cancer na kisukari ambazo ni just symptoms za takataka mlizolishwa, mmedanganywa juu ya ebola,bangi,hiv,global warming na mambo mengine feki na vyombo vya habari ndio kichocheo. Amkeni waafrika. Pineal gland yenu imetekwa, thats why hamjui mpinge kipi na msapoti kipi. Vitabu vya kweli si biblia wala quran. Vitabu na elimu ya kweli vimefichwa na babilon. The church is just faking. Wewe kama huamini baki kama ulivyo sio lazima unielewe.

Mtu aliwekwa na mother nature kwa ajili ya dunia ni mtu mweusi (an african) na vyote alivyonavyo vi sawa ndio mana hadhuriki kirahisi.
 
Sehemu karibia zote ambako dini zilianzia ndiko pametawaliwa na vita,mfano Israel na Palestina.

Lakini pia Damascuss (Syria), Iraq (Babeli ya zamani) na hata miaka ya hivi karibuni huko Misri.

Magaidi wa dunia wa leo hii wanaua huku wakiwa wamejificha nyuma ya dini,mfano Bokoharam, Alishabab,Ant-Baraka na Seleka kule Afrika ya kati,bila kusahau kundi la Al-qaeda.

Kusema nibadili jina langu kisa hicho ukisemacho ni sawa na kumwambia Mwanachadema aache kuishabikia Yanga kisa inatumia rangi za jezi zenye mfanano na wa rangi za Chama cha Mapinduzi,

Unasahau kuwa rangi za kijani na njano zimekuwepo hata kabla ya kuwepo kwa Yanga,Chadema na Ccm.

Kama wenye majina ya Emmanuel ndiyo wanatakiwa kuwa wafuasi wa biblia maana yake wewe hukupaswa kuwa miongoni mwa washabikia
dini.

Kwa kumbukumbu zangu hakuna kitabu cha dini chenye jina Mshana Jr ndani yake.

Na kwa kuwa vitabu hivyohivyo vinavyosema maana ya Emmanuel ni hiyo uliyosema,ndiyo vimeleta contradictions za uwepo wa Mungu,basi ni ngumu kuiamini hiyo maana.

Labda utumie kitabu kingine kisicho na mkanganyiko,nami ntapima.
nafikiri una tatizo kubwa la kimtazamo na kiuhalisia kwenye mijadala migumu... Unaulizwa A unajibu C..... Hebu pitia usome tena nilichoandika mimi na ulichojibu wewe... Lakini pengine kwakuwa hicho ndio kiwango chako cha ufahamu kilipofikia hutaweza kuona tofauti
 
Ukimwambia mtu njia hiyo usipite kuna simba lazima umpe njia mbadala ili aendelee na safari yake vingnevyo maneno yako hayana faida
Simba anahusikaje na njia!? Bado unazidi kupotoka... Kwa tafsiri yako njia yenye simba basi haifai kupita... Hii ndio tafsiri yako
Sasa kwa tafsiri yako hii utamshauri atumie mbinu kupita au utamshauri abadili njia? Kama hakuna mbadala je? Aahirishe safari mpaka simba atakapoondoka? Kwani hiyo njia ni uchochoro na simba ni jabali? Tuwe tunaenda na mifano yenye kuakisi uhalisia na sio kujiandikia tu
 
Back
Top Bottom