Kipondo havi kwa shemeji....

Kipondo havi kwa shemeji....

Asee Paw pamoja na kusoma kwa woga woga hii post yako (haikawii kuwa ya kumpa mtu ban) unamaanisha kuwa anyefanya izo mambo ni kaka yako au ndugu wa damu? hebu fanya mpango bana umtoe huko kuzimu shemeji yako na hatakusau!
Shemeji ambaye ni ndugu wa nanihii wangu.
Naamini kwamba mwanaume anayeinua mkono kumpiga mkewe AMEKOSA HOJA mbele ya hoja za mkewe.
Jamii kuhamasika kupinga hivi vitendo ni muhimu
 
je huwa unawatembelea mara kwa mara??
je walishawahi kukuhusisha katika magomvi mengine??
wewe maelewano yako na shemejio yakoje???

nilishamtembelea mara mbili tu na zote sikuwahi kumkuta mumewe mana wao wapo dom na mm naishi dar na kingine huyo jamaa anamaelewano na ndugu wachache sana
 
Shemeji ambaye ni ndugu wa nanihii wangu.
Naamini kwamba mwanaume anayeinua mkono kumpiga mkewe AMEKOSA HOJA mbele ya hoja za mkewe.
Jamii kuhamasika kupinga hivi vitendo ni muhimu

This is surefire to induce one of those trademarked,uncontrollably intense orgasms.

Before you foam at the mouth with vengeful rage, take a deep breath and say wuuuuusaaaa....then count 1,2,3,4,5,6,7,8,9,....then take another deep breath. You should now be okay because after-all, this is meant to be a jokey joke!
 
nilishamtembelea mara mbili tu na zote sikuwahi kumkuta mumewe mana wao wapo dom na mm naishi dar na kingine huyo jamaa anamaelewano na ndugu wachache sana

nadhani pia hapa ni tatizo

kwenye ndoa mara nyingi wana ndoa hupenda kutoa CV za ndugu zao kwa wenza wao kwa mabaya au mazuri kwa hiyo hata unapotembelewa tayari mwenza wako anakuchukulia kama ulivyo au alivyoelezwa ..
 
Swali la msingi ambalo nadhani kijana mpiga mume wa dada yako na baba wa hao wanaokuita mjomba,hiyo ni ndoa ya Kikristu au Kiislamu? Ole uniambie ni ndoa ya Kikristu utakiona cha moto. Swali la nyongeza, ulishawahi kumwuliza dada yako akakuambia siri ya yeye kuendelea kuwepo na mumewe licha ya vipigo?
 
Natamani niwe wakili wake aisee...tena bure kabisa simdai hata shilingi! HUyo jamaa anatakiwa apo alipo moi awe na pingu na ulinzi akitoka tu Keko! khaa

Mi nadharau sana mwanaume anayejidai mwanaume kwa kumpiga mwanamke...mwanamke hapigwi kwa ngumi na mateke hili liko wazi...wana namna zao za kuwapiga au sio DaMie?

hapo red ni kweli wana namna
zao za kuwapiga, na hata kama
ana matatizo yake utaona
anaanza kujirekebisha.
 
Kuna dada etu kaolewa dom lakini tangu kaolewa miaka 3 iliyopita amekuwa akichezea kichapo sana tokakwa mumewe ambaye ni mlevi na mkorofi sana ameshamvunja mkono dada mara mbili kwa kipigo..

Nipo dom kwa mapumziko na nilienda kumtembelea dadangu ambae ana p.o.p mkono wakushoto kwa kipigo cha mumewe nilipo muuliza ni kwa nini iwe hivo na ndugu wanasemaje akasema ndugu washachoka kuamua mana wakati mwingine nao huambulia vitisho kama si kipigo toka kwa njemba hiyo...mbaya zaidi jamaa amegoma hata kutoa talaka...

Sasa wakati tukizungumza na dada mara shem kaingia na kuanza na kejeli na dharau zake kwangu eti tunamfatilia sana na maisha yake n mke wake mara ooh ntaoa uko mzima nilipomwambia ajiheshimu ndo kama kapata sababu nilikua nakunywa chai akachukua ile chai na kunimwagia na maneoo kibao ya kashfa dada kuona vile akaingilia kati maskini kunitetea dah! Alisukumwa na kukanyagwa vibaya aisee nilipata hasira mbaya nilichomfanya huyo jamaa sasa hivi yupo moi nilivunja mguu na mkono....

Sasa kimbembe kimekuja ndugu wa huyo shemeji na wangu kuna bifu kubwa na kibaya zaidi baadhi ya ndugu upande wangu wanaunga mkono upande wa pili eti kwa nini naingilia ndoa za watu...kesi iko polisi na kesho kuna kikao hapa hom kizito....hebu nambieni waungwana nisimamie wapi' na je nilichokifanya ni kosa?
unahitaji pongezi-watu jamii hiyo hayo ndio malipo yao-naami atakapo pona ndipo atakapo behave vizuri nakuishi vyema na wife wake nakuheshimu kila mtu
 
Niliposoma heading nilidhani inazungumzia mtu ninayemfahamu, lakini seems matatizo yanafanana.
Shemeji yangu wa kike amenasa kwenye tundu bovu, na ndoa haina hata nusu mwaka lakini jamaa yake anamtenda kama msimuliaji anavyobainisha kwa dada yake. Ila shemeji yangu ameamua kufa na tai shingoni ( Jamaa anapiga wala hajali kama mkewe ana kiumbe tumboni)

Tatizo lililopo kwenye jamii ni namna hawa akina mama wanavyojua kuficha maovu ya watesaji wao ambapo huishia either kujeruhiwa ama kufa ama kupata ulemavu kabisa. Sheria ya ndoa ipo wazi kabisa kuhusu hizi brutality zinazoendelea kwenye bedrooms zetu. Women (and men) you must step out and speak it loud ili muweze kuokoa ndoa zenu na maisha yenu.

Ahaaaaaaaaaaaaaaaa

ndio maana na wewe unatoa ban namna ile, unajua nilikua najiuliza huyu PAW katoka wapi na ana genes gani katili hivi... kumbe iko kwenye blood!!!

Nampa pole sana shem wako na membaz wote uliowalamba ban
 
Yaani wewe una akili, sijui uko wapi nikunulie kinywaji ukipendacho...
 
Ahaaaaaaaaaaaaaaaa

ndio maana na wewe unatoa ban namna ile, unajua nilikua najiuliza huyu PAW katoka wapi na ana genes gani katili hivi... kumbe iko kwenye blood!!!

Nampa pole sana shem wako na membaz wote uliowalamba ban

MTN umeona eeh? Yani huyu kaiweka siku yangu fresh sijui nimtafute wapi nimpe kinywaji...BTW WEWE JAMBO?
 
Ahaaaaaaaaaaaaaaaa

ndio maana na wewe unatoa ban namna ile, unajua nilikua najiuliza huyu PAW katoka wapi na ana genes gani katili hivi... kumbe iko kwenye blood!!!

Nampa pole sana shem wako na membaz wote uliowalamba ban
Shemeji na mumewe siyo ndugu zangu wa damu mkuu.
Mimi ni mtiifu wa taratibu, kanuni na sheria zilizopo.
Tukirejea kwenye mada, ni wazi wanandoa wengi wanahitaji clinic za ndoa zao ili waweze kuenenda na dhana nzima ya mke na mume ama sivyo kila siku tutakuwa tunapata masimulizi yanayofanana hasa ya kuumizana na kusalitiana. This must stop iwapo wahanga watakubali kufunguka na kuzungumza ili wapate msaada.
Jamii inapaswa pia kuwasaidia wahanga hasa akina mama ambao hawana sauti wala majukwaa ya kusemea masaibu yao.

Kuhusu Ukatili:
Sidhani kama Invisible na team yake walikuwa wanasaka jitu moja katili kwa kazi ya kuwa moderator, Bali uwezo wa kupambanua, kuchuja na kufanya maamuzi sahihi kwa mujibu wa kanuni na taratibu za JF.
 
mkwe my son akikupiga,aisee nitakuja tumchangie kumdunda hadi akome! kama amekushindwa hata kama kosa lako si akurudishe kwenu,ebooo! halafu na yeye namchukua home namtandika viboko manake hajakua. mwanaume muoga na dhaifu ndo anampiga mkewe. halafu anategemea heshimiwe na kupendwa na mkewe!
mkwe hapo ndipo ninapozidi kukulove...
Toka lini talaka ikabembelezwa jamani!
Kuna mdada naye alikuwa anakula vichapo vya kutosha kila wakisuluhisha jamaa hasikii, bidada akavua pete la ndoa akalitupilia mbali. Akamwambia kama pete ndio identity ya ndoa basi pete yako hiyooo.
 
Kingasti tatizo wengi huwa hawasemi, laiti kama zingekusanywa data za kweli ni wanawake wangapi ambao wako kwenye ndoa na hawajawahi kunyanyuliwa hata mkono na waume zao ungeshangaa majibu ambayo ungesikia.

mkwe my son akikupiga,aisee nitakuja tumchangie kumdunda hadi akome! kama amekushindwa hata kama kosa lako si akurudishe kwenu,ebooo! halafu na yeye namchukua home namtandika viboko manake hajakua. mwanaume muoga na dhaifu ndo anampiga mkewe. halafu anategemea heshimiwe na kupendwa na mkewe!
 
Shemeji na mumewe siyo ndugu zangu wa damu mkuu.
Mimi ni mtiifu wa taratibu, kanuni na sheria zilizopo.
Tukirejea kwenye mada, ni wazi wanandoa wengi wanahitaji clinic za ndoa zao ili waweze kuenenda na dhana nzima ya mke na mume ama sivyo kila siku tutakuwa tunapata masimulizi yanayofanana hasa ya kuumizana na kusalitiana. This must stop iwapo wahanga watakubali kufunguka na kuzungumza ili wapate msaada.
Jamii inapaswa pia kuwasaidia wahanga hasa akina mama ambao hawana sauti wala majukwaa ya kusemea masaibu yao.

Kuhusu Ukatili:
Sidhani kama Invisible na team yake walikuwa wanasaka jitu moja katili kwa kazi ya kuwa moderator, Bali uwezo wa kupambanua, kuchuja na kufanya maamuzi sahihi kwa mujibu wa kanuni na taratibu za JF.
ooppss, usije nipa ban bure, ngoja nisepe kimyakimya
 
Niliposoma heading nilidhani inazungumzia mtu ninayemfahamu, lakini seems matatizo yanafanana.
Shemeji yangu wa kike amenasa kwenye tundu bovu, na ndoa haina hata nusu mwaka lakini jamaa yake anamtenda kama msimuliaji anavyobainisha kwa dada yake. Ila shemeji yangu ameamua kufa na tai shingoni ( Jamaa anapiga wala hajali kama mkewe ana kiumbe tumboni)

Tatizo lililopo kwenye jamii ni namna hawa akina mama wanavyojua kuficha maovu ya watesaji wao ambapo huishia either kujeruhiwa ama kufa ama kupata ulemavu kabisa. Sheria ya ndoa ipo wazi kabisa kuhusu hizi brutality zinazoendelea kwenye bedrooms zetu. Women (and men) you must step out and speak it loud ili muweze kuokoa ndoa zenu na maisha yenu.

Sasa wewe umemsaidiaje huyo mama?
 
  • Thanks
Reactions: Paw
mkwe my son akikupiga,aisee nitakuja tumchangie kumdunda hadi akome! kama amekushindwa hata kama kosa lako si akurudishe kwenu,ebooo! halafu na yeye namchukua home namtandika viboko manake hajakua. mwanaume muoga na dhaifu ndo anampiga mkewe. halafu anategemea heshimiwe na kupendwa na mkewe!

aisee mkwe ngoja nikuandalie kitenge cha batiki. Lol.
Wanaume wa hivyo ni wavivu wa kufikiri kabisa. Mi najiuliza hadi kipindi cha uchumba alikuwa anamdunda au?
 
mkwe hapo ndipo ninapozidi kukulove...
Toka lini talaka ikabembelezwa jamani!
Kuna mdada naye alikuwa anakula vichapo vya kutosha kila wakisuluhisha jamaa hasikii, bidada akavua pete la ndoa akalitupilia mbali. Akamwambia kama pete ndio identity ya ndoa basi pete yako hiyooo.
kweli umenena ukidai kitu huku unalegeza saut kamwe hupati. Aidha dada yangu mara ya mwisho aliponea amana hosp. baada mlugaruga kupiga ile mbaya hom tukamweleza kuwa tumekuonya ukaona tuna haribu basi linywe we ci alichomoka mwenyewe maana watu tumesusa hatuna muda wa kufatilia warugaruga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom