mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 977
- 176
Ulichokifanya ni zaidi ya sahihi. Ingekuwa mimi ndiyo wewe nadhani angekuwa keshapata kilema cha maisha. I'd have sucker punched that muthafukka like a punching bag.
Na iweje dada yako avumilie kutwangwa namna hiyo? Why can't she just up and leave? Has she reported any of these incidents to the police?
Tabia kama hizi za kupiga wake sio njema kabisa...
Ulitakiwa kuvunja miguu na mikono mara mbili ya alivomfanyia dada yenu...
Na dada yenu hatakiwi kusubiri talaka ndio aondoke hapo...
ubaya haulipwi kwa ubaya sangara. Kwani hakukuwa na namna nyingine ya kumaliza tatizo?
alisharipoti hadi polisi bt jamaa anajulikana kwa ukorofi wake eti hadi polisi wanamgwaya ukimshtaki hachukui hata dakika kumi ndani naskia watu wanamwogopa sana eti kisa alishauaga mtu kipindi cha nyuma....dada alikua hata akitoroka kurudi hom anafatwa hata usiku wa manane na ole wake atakaemzuia...
Ubaya walipwa kwa ubaya...
Ndio maana kuna hukumu siku ya mwisho...tenda mema uone kama utapelekwa motoni...
ubaya haulipwi kwa ubaya sangara. Kwani hakukuwa na namna nyingine ya kumaliza tatizo?
sikubishii maana roho zinatofautiana.
ubaya haulipwi kwa ubaya sangara. Kwani hakukuwa na namna nyingine ya kumaliza tatizo?