Kipondo havi kwa shemeji....

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Kuna dada etu kaolewa dom lakini tangu kaolewa miaka 3 iliyopita amekuwa akichezea kichapo sana tokakwa mumewe ambaye ni mlevi na mkorofi sana ameshamvunja mkono dada mara mbili kwa kipigo..

Nipo dom kwa mapumziko na nilienda kumtembelea dadangu ambae ana p.o.p mkono wakushoto kwa kipigo cha mumewe nilipo muuliza ni kwa nini iwe hivo na ndugu wanasemaje akasema ndugu washachoka kuamua mana wakati mwingine nao huambulia vitisho kama si kipigo toka kwa njemba hiyo...mbaya zaidi jamaa amegoma hata kutoa talaka...

Sasa wakati tukizungumza na dada mara shem kaingia na kuanza na kejeli na dharau zake kwangu eti tunamfatilia sana na maisha yake n mke wake mara ooh ntaoa uko mzima nilipomwambia ajiheshimu ndo kama kapata sababu nilikua nakunywa chai akachukua ile chai na kunimwagia na maneoo kibao ya kashfa dada kuona vile akaingilia kati maskini kunitetea dah! Alisukumwa na kukanyagwa vibaya aisee nilipata hasira mbaya nilichomfanya huyo jamaa sasa hivi yupo moi nilivunja mguu na mkono....

Sasa kimbembe kimekuja ndugu wa huyo shemeji na wangu kuna bifu kubwa na kibaya zaidi baadhi ya ndugu upande wangu wanaunga mkono upande wa pili eti kwa nini naingilia ndoa za watu...kesi iko polisi na kesho kuna kikao hapa hom kizito....hebu nambieni waungwana nisimamie wapi' na je nilichokifanya ni kosa?
 
Ulichokifanya ni zaidi ya sahihi. Ingekuwa mimi ndiyo wewe nadhani angekuwa keshapata kilema cha maisha. I'd have sucker punched that muthafukka like a punching bag.

Na iweje dada yako avumilie kutwangwa namna hiyo? Why can't she just up and leave? Has she reported any of these incidents to the police?
 
alisharipoti hadi polisi bt jamaa anajulikana kwa ukorofi wake eti hadi polisi wanamgwaya ukimshtaki hachukui hata dakika kumi ndani naskia watu wanamwogopa sana eti kisa alishauaga mtu kipindi cha nyuma....dada alikua hata akitoroka kurudi hom anafatwa hata usiku wa manane na ole wake atakaemzuia...
 
Tabia kama hizi za kupiga wake sio njema kabisa...
Ulitakiwa kuvunja miguu na mikono mara mbili ya alivomfanyia dada yenu...
Na dada yenu hatakiwi kusubiri talaka ndio aondoke hapo...
 
Amenyanyasa sana ndugu zangu huyu ***** zake....akafikiri wote wakuja
 
Mbona ulivyofanya ndio inatakiwa kwa wanaume wenye tabia kama hzo.
 
Tabia kama hizi za kupiga wake sio njema kabisa...
Ulitakiwa kuvunja miguu na mikono mara mbili ya alivomfanyia dada yenu...
Na dada yenu hatakiwi kusubiri talaka ndio aondoke hapo...

ubaya haulipwi kwa ubaya sangara. Kwani hakukuwa na namna nyingine ya kumaliza tatizo?
 
Uko sahihi kbs,tena nakusifu kwan ulikua mvumilivu sn na ukamuadhibu kidogo km hivyo,mshauri dada yenu atoke kwa huyo mumewe katili,kwa style ya huyo mume ipo cku mtaitwa kumzika ndugu yenu,hongera kwa ulichomfanyia huyo shetan wa kiume.
 
daaa safi sana ungelipga sana ili llikose hata nguvu ya kupigana kabisa, mshenzi sana yeye anapompiga mwenzake anaona raha yeye kapigwa ndo anajifanya kuumia. na hao ndugu mbona uwa akimpiga dada yako hawafanyi vikao vya familia au yeye wanadhani uwa haumii.
na huyo dada yako kwanini asiende mahakamani akasaka haki yake daaah.
 
alisharipoti hadi polisi bt jamaa anajulikana kwa ukorofi wake eti hadi polisi wanamgwaya ukimshtaki hachukui hata dakika kumi ndani naskia watu wanamwogopa sana eti kisa alishauaga mtu kipindi cha nyuma....dada alikua hata akitoroka kurudi hom anafatwa hata usiku wa manane na ole wake atakaemzuia...

That don't make no doggone sense!

Next time he does it again make sure you whup his ass to a pulp. That's the only way he's gonna learn.
 
ubaya haulipwi kwa ubaya sangara. Kwani hakukuwa na namna nyingine ya kumaliza tatizo?

mkuu unanyongo kweli yaani mtu akumwangie chai kama haitoshi amtwange dada yako na matusi juu halfu nimchekee tena anabahati ningekuwa mimi pengine ningekuwa na mada kesi maana kuvunja mguu peke yake haitoshi hata sisi tuna wake hutufanyi u**** huu..
 
Mi nadhani umefanya kitu ulichostahiri kufanya kwa kipindi husika, kama huyo shem wako alifikia hatua ya kukumwagia chai then baada ya sis wako kuingilia akaamua kumpa kibano na wewe upo pale, ni dhahiri kuwa unatakiwa kumshughurikia, hasahasa ukizingatia yeye ni haambiliki na anajiona mbabe.........btw ilikuwa ni self defence kwani usingejua jinsi ambavyo angemuumiza sister wako.....next tym lamba na meno kabisa ashindwe kutabasamu..........huuu unyanyasaji kwa akina mama unatakiwa kupingwa kwa nguvu zote, hakuna tofauti na utumwa.
 
Siyo kosa, as long as ulichokieleza ndiyo ukweli wenyewe.. Kukubali ndugu yako anyanyaswe eti kisa ameolewa ndiyo kosa!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom