JembePoli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,324
- 999
Mgegedo heavy, attention, pesa, appreciation
Aisee umenyosha maelezo ningekuwa mwalimu ningekupa vema kubwa.
Mgegedo heavy, attention, pesa, appreciation
Yatakuwepo ila kapesa kakiwepo ndo inakuwa heavy mahabaKama mgegedo kwa xn,attention,appreciation bla pesa Mapenzi hakuna.
Aisee umenyosha maelezo ningekuwa mwalimu ningekupa vema kubwa.
Yatakuwepo ila kapesa kakiwepo ndo inakuwa heavy mahaba
love and money are two sides of the same coin
Ewaaaaaaaaaa pesa "haileti furaha" ila "inaongeza furaha"Kwahyo kapesa kakiwepo,Mapenzi yanakuwa mahaba nigaragaze!!!!
Ewaaaaaaaaaa pesa "haileti furaha" ila "inaongeza furaha"
mimi mbali na kazi ya mtu i mean ajishughulishe na kitu napenda ATTENTION napenda mtu anijal anipe muda wake
mtu akikuuliza tu nikufanyie nini wakati wa sex TAYARI YU RADHI KUSPEND MUDA NA WEWE MPAKA URIDHKE
Hao siku hz wajanja hawataji.
sitaki kabisa kusikia kitu mwanamke duh!
MLALUKO JR, ni wajanja kwa kutokuja ststus waitakayo, maana wakitaja watakosa mawindo maana wanawake ni wengi mno kuliko wanaume kwa hv sasa,
unapiga puli sio
Kumbe bwana semeji kuna muda huwa yale maroroso huyafikirii eeeh? Afadhali maana nilikuwa na mawazo mdogo wangu cute b asijekuwa analala kasimama kila siku kama jana.
Huh? Lemme see....sinyoi kila baada ya siku mbili, no way. I see my barber every weekend. I rock 2 pairs of pants from Monday to Saturday, hazifuliwi mpaka wiki iishe. Viatu navaa pair moja pia all week, havichafuki. Soksi pair 3 tu wiki nzima. Situmii marashi ya aina yoyote, i don't smell funny. The club i support is white, so you already know the drill.
You mean to tell me that brother isn't lucky in the line?
Kumbe wewe unanifaa.
a u sure? Hutokimbia??
status ipi? Usafi sawa
status namaanisha who a u? Or yo image in the community