Kipi kinapendwa na wanawake mbali na Status?

Kipi kinapendwa na wanawake mbali na Status?

Hahaha so mpaka anipe hiyo nafasi ya kushika kidevu chake?? Nyie mahusiano acheni ni balaaa!!
unajua hata sisi pia wengi tunavutiwa sana na wanawake wacheshi, so ukikuta mwanaume serious sana katika mazingira ya kawaida hawezi akawa amenuna all the time akiwa kwa mpenzi wake lazima kuna time ya jokes coz zinaimarisha sana mapenzi.
 
Hahaaaaaa!! Naona umeniamulia na huo ukorofi, wakati hapo nimejikaza angalau kapost kawe na upole kidogo.

Serious kwani unalipa mishahara? Hasamehewi mtu, unatupa kuleee unaangalia application nyingine.

niweke kwenye shortlist ready for interview
 
Yaani sio pesa tu ndio umalize!! Na vingine viambatane

Ngoja nikuulize. Hivi mki-post picha zenu zile za kubetua midomo au migongo insta, na tuki-double tap, hiyo si ni pia kuwa romantic?
 
Wanawake tuambieni maana imekuwa taaaaabu kuwaelewa mnachokpenda.Kidume ht uwe na pesa,mpole na mwenye mapenzi ya kweli pia waweza achwa.Valentina,masai dada,Lara0(1) tupeni ya moyoni

Mwanaume anayechallenge, Asiyeshoboka, anayejua nafasi yake ya uanaume wake hata kama mpenzi wako kakuzidi kipato au elimu. Etc
 
Kumsugua vizuri tu akakojoa mpaka bao likaruka juu hiyo ndio dawa yao hamna nyingine zaidi ya hiyo..... Ukiwa na hela na status kama himfikishi ni kazi bure
 
Back
Top Bottom