kumwmbia mtu wako ili akufanye usikikose???
Mimi mbali na status napenda USAFIIIIIIII!
Pamoja na hayo hapo juu lakini
-mpe social life
- mpe muda wa kuongea umbea
-mpe loop holes kwa baadhi ya mambo
Kishapo ukikikamata kipochi manyoya kisulubu kisawasawa uone kaa utaachwa...ukiingia huko upole peleka kureeee...ire ni vita mura
Kweli mkuu mimi hupenda sana utani pia kusikilizwa. Sa unakuta jitu lipo serious kama baba yako. Unapiga chini tuu!
Lingine liko busy kama linaumba watu, hata hakumbuki ana beibe, wa nini huyo sasa!
Ukorofi huu. Msamehe tu, labda ndio kaumbwa hivyo. Mwenyewe niko serious balaa, hakuna masikhara muda wote.
Wanawake wanapenda maneno mazur ata kama ya uongo,kubembelezwa,vizawadi vingivingi,kubwa kabsa uwe mjuz wa kukaza nati unapokuwa kifuan kwake yaan kumpunyua kiufundi zaid Kwa muda usiopungua dakika 45,ukitimiza ivyo utaskia watu jamaa anatumia dawa uyo....haiwezekan demu kudata kiasi icho..
Serious kwani unalipa mishahara? Hasamehewi mtu, unatupa kuleee unaangalia application nyingine.
Pamoja na hayo hapo juu lakini
-mpe social life
- mpe muda wa kuongea umbea
-mpe loop holes kwa baadhi ya mambo
Kishapo ukikikamata kipochi manyoya kisulubu kisawasawa uone kaa utaachwa...ukiingia huko upole peleka kureeee...ire ni vita mura
Usafi upi? Hebu fafanua.
Aisee! Kwa hiyo sisi tusiojua utani tufanyaje? Hata sisi tunahitaji wenza ujue. Kuwa serious si kupenda kwetu.
Lingine liko busy kama linaumba watu, hata hakumbuki ana beibe, wa nini huyo sasa!
mim najiulizaga inakuwaje mtu anakuwa busy kias hicho? Je akitaka kwenda haja ana mu delegate nani aende kwa niaba yake? Yaann hata mtu awe biz kias gan reception ataenda mwenyewe
kunyoa sehemu zote za siri kila baada ya siku mbili, kichwani saloo kila weekend, kuvaa smart hapa sipendi arudie nguo mara mbili, ni vizuri akiwa anapendelea nguo nyeupe kwa 85%, viatu awe na peya kadhaa ili asirudie alichovaa jana kabla hakijafanyiwa usafi, soksi awe na za kutosha, na malashi kwa mbali, hapo mm ndo nimeozaa,tho kuna mengine muhim.
Khaaaaaah!! Msisingizie ndivyo mlivyoumbwa bwana weeee, we km hauko romantic wht do u expect?
Not being romantic, doesn't necessarily mean i can't love and make a chick happy. Wacha hizi stereotypes bana.
Mmh. Mkuu hawa wadudu hawaelewek unawaweza kumchezeshea ujoka mpaka ajambe na still akakengeuka tena kwa boya tu asie mjuvi wa jando
khaaaaaaa??ulitaka wacheke au wanune??? una matatzo ww