MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
- Thread starter
- #141
yani wengine kama wana mashetani!
mashetani tenaaa!!!!
yani wengine kama wana mashetani!
Na kwann madaktar tunapendwa sana wakt walimu wanadharauliwa
Wanadharauliwa na nani? Bila wao wewe ungekuwa daktari?? Sema wewe unawadharau.
Wanadharauliwa na nani? Bila wao wewe ungekuwa daktari?? Sema wewe unawadharau.
mabnt wanapenda madaktar,wanajiskia kujitambulsha mbele z watu km an boyfriend daktar.CHUNGUZA!!!!
Mweeeeeh!! Mbona mie sijawahi wapenda! Alafu sijui nawachukuliaje!!!
Sina uhakika nani alisema hii, ila niliiskia kwenye stand-up. When a man and a woman are arguing on relationship matters, that man will never win. Simply coz most men will try to make sense, and most women just want to argue for whatever reasons.
So brothers, before you take on atoto, you might wanna think again. Don't get fooled by the innocence in her Id.
*Atoto account yangu imekuwa hacked, huyu si mimi.*
Kutojua unawachukuliaje ndio kuwa free na kuwa tayar kuwakubar!
Sina uhakika nani alisema hii, ila niliiskia kwenye stand-up. When a man and a woman are arguing on relationship matters, that man will never win. Simply coz most men will try to make sense, and most women just want to argue for whatever reasons.
So brothers, before you take on atoto, you might wanna think again. Don't get fooled by the innocence in her Id.
*Atoto account yangu imekuwa hacked, huyu si mimi.*
Hapana kwakweli.
Hahahaaaaa! Hata mie naona,
hivi kumbe hii id inaonyesha upole eeh? Ngoja nianze kujifunza upole sasa, khaaaaah siwezi mie unitue paulo, karibu ugali.
Sijakuelewa mkuu.Unataka maoni watoe hao watatu tu ulowataja???Kwahiyo kina Nifah,atoto na wengine wengine hutaki maoni yao???
ndio mana sipendagi hizi habari za ku quote watu
kwani unafkiriaje
Afadhali leo umekiri huwezi upole.
Huo ugali umepika wewe? Na kama sio dona huwa sili. Dah! Miezi kama mi-8 sasa sijagusa ugali aisee.
Khaaaah mie najua kupika chai na uji tu, ugali nimewaachia wapishi, mieizi 8 unakula chipsi tu dogo!!
Dogo??? chips??
![]()