Kipi kinapendwa na wanawake mbali na Status?

Kipi kinapendwa na wanawake mbali na Status?

mi pia nashindwa kuwaelewa, yani nilihakikisha nimempa kila kitu alichohitaji lakini kuwa nae mbali miezi mitatu tu, nimeachwa.

Pole sana mkuu,Never leave them for just millisecond
 
Thread nyingine zinafaa kuzisoma baada ya saa 4 usiku....

Huwezi kukosa usinginzi hata kidogo, especially ukiwa na bibi pembeni!!
 
We achana na hicho kingreza kwanza bwana!!

Kuna mijitu haiko romantic yaani hata ile ya kujilazimisha, yaani ukisikia "i miss you baby" ujue anataka mgegedo, yaani nitakupiga chenga za mwili utaachia ngazi mwenyewe bila kushurutishwa.

Hahahaha smh! Hebu sema kwanza kuwa romantic kwako ni kuwa aje..?
 
Mmh. Mkuu hawa wadudu hawaelewek unawaweza kumchezeshea ujoka mpaka ajambe na still akakengeuka tena kwa boya tu asie mjuvi wa jando

Kwn unawaita wadudu,wako class gn la kingdom arthropoda
 
Lingine liko busy kama linaumba watu, hata hakumbuki ana beibe, wa nini huyo sasa!

Atoto,akikwambia yuko busy bila kupta muda wa kuongea na ww unachukua uamuz gn.Tililika!!!!
 
Atoto,akikwambia yuko busy bila kupta muda wa kuongea na ww unachukua uamuz gn.Tililika!!!!

Nakupiga chenga za mwili tu, visa haviishi yaani unajikata mwenyewe, alafu utajisifia umenimwaga kumbe nilikumwaga siku nyingi bila wewe kujua.
 
Nakupiga chenga za mwili tu, visa haviishi yaani unajikata mwenyewe, alafu utajisifia umenimwaga kumbe nilikumwaga siku nyingi bila wewe kujua.

Kumbe ndio zenuuuuu eeeeh,kwahyo tukikosa Mawe basiii.
 
Pamoja na hayo hapo juu lakini
-mpe social life
- mpe muda wa kuongea umbea
-mpe loop holes kwa baadhi ya mambo
Kishapo ukikikamata kipochi manyoya kisulubu kisawasawa uone kaa utaachwa...ukiingia huko upole peleka kureeee...ire ni vita mura
sure hawa watu wanapenda sana socialization, wanapenda pia kupiga kaumbea kidogo angalau mara moja kwa siku au kwa wiki, mwache achepuke hata mara moja coz huwezi kumzuia kufanya hivyo, unakuwa mkali kidogo kwa baadhi ya mambo, kwenye mechi all your ability devote hapo ndani hawezi sepa
 
We unae pesa nan uyo kakuacha jaman ebu njo kwangu na pesa zako uone Kama ntakuacha
 
Kweli mkuu mimi hupenda sana utani pia kusikilizwa. Sa unakuta jitu lipo serious kama baba yako. Unapiga chini tuu!
ukiona yuko serious sana unamchezea kidevu atachangamka tu
 
Wanawake tuambieni maana imekuwa taaaaabu kuwaelewa mnachokpenda.Kidume ht uwe na pesa,mpole na mwenye mapenzi ya kweli pia waweza achwa.Valentina,masai dada,Lara0(1) tupeni ya moyoni

Kila mtu ana vigezo vyake........nikikupa vyangu utasema mie jini........wacha tu......
 
ukiona yuko serious sana unamchezea kidevu atachangamka tu

Hahaha so mpaka anipe hiyo nafasi ya kushika kidevu chake?? Nyie mahusiano acheni ni balaaa!!
 
kijana matching in mating inahitaji watu wanao "share common interests" basi.. tofauti na hapo mikwaruzano kila siku labda Mungu tu afanye muujiza.
 
Back
Top Bottom