MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
- Thread starter
- #21
hata maji?
Hakuna kiumbe asiyekunywa maji.Namaanisha kilevi
hata maji?
Pamoja na hayo hapo juu lakini
-mpe social life
- mpe muda wa kuongea umbea
-mpe loop holes kwa baadhi ya mambo
Kishapo ukikikamata kipochi manyoya kisulubu kisawasawa uone kaa utaachwa...ukiingia huko upole peleka kureeee...ire ni vita mura
Kweli mkuu mimi hupenda sana utani pia kusikilizwa. Sa unakuta jitu lipo serious kama baba yako. Unapiga chini tuu!
mmmmh!!mbn hamuwambii ukweli kp unachokipenda ili usikikose!????
Kila mwanamke anacho kitu anachopenda mimi siwezi wasemea wao mimi nimeongelea kibinafsi.
Wanawake tuambieni maana imekuwa taaaaabu kuwaelewa mnachokpenda.Kidume ht uwe na pesa,mpole na mwenye mapenzi ya kweli pia waweza achwa.Valentina,masai dada,Lara0(1) tupeni ya moyoni
Wanawake tuambieni maana imekuwa taaaaabu kuwaelewa mnachokpenda.Kidume ht uwe na pesa,mpole na mwenye mapenzi ya kweli pia waweza achwa.Valentina,masai dada,Lara0(1) tupeni ya moyoni
Wanawake wanapenda maneno mazur ata kama ya uongo,kubembelezwa,vizawadi vingivingi,kubwa kabsa uwe mjuz wa kukaza nati unapokuwa kifuan kwake yaan kumpunyua kiufundi zaid Kwa muda usiopungua dakika 45,ukitimiza ivyo utaskia watu jamaa anatumia dawa uyo....haiwezekan demu kudata kiasi icho..
tatizo lao ni wepesi kukusahau kwa muda, hasa wanapokuwa mbali.
mimi mbali na kazi ya mtu i mean ajishughulishe na kitu napenda ATTENTION napenda mtu anijal anipe muda wake
mtu akikuuliza tu nikufanyie nini wakati wa sex TAYARI YU RADHI KUSPEND MUDA NA WEWE MPAKA URIDHKE
utumbo muraaaaaaa!!!!
Tunapenda dyu.dyu zaidi...na pesa ya kubadili mboga pia uwe nayo.
Kama unavyo vyote ulivyovitaja hapo juu huwez achwa labda uwe unalako jambo
na wanapolalamika na kulialia ndo wanamaanisha nn