kadumaster08
Member
- May 30, 2013
- 78
- 15
its too bad and for yo case now i have to volunteer by praying 4u coz wat i think i cant say, (private)
We unae pesa nan uyo kakuacha jaman ebu njo kwangu na pesa zako uone Kama ntakuacha
pesa zangu hautoziacha lakini mimi ndio utaniacha!
Unakuta ana boeka nawe.
Haha c'mon! Go 'head and just blast me, i can take some jabs. I'm the type that never get offended in these streets, 'less you call me a great thinker. Spit it out.
Uhusika ktk jamii km upi!!!???
Pesa tu hamna kingine,ukiwa nazo utaitwa baby tu hata kama una ndevu mpaka mgongoni.
mbona status liko open sana? Eg wewe ni nan? Umesoma nn? Kazini wewe ni nani? Au kifedha uko vip? Hope ni vitu kama ivo
hapa wanga wengi
Hapo nimekuelewa kka,hawa watu co kabsa
na wanapolalamika na kulialia ndo wanamaanisha nn
Hakuna wanga bana. We sema tu hapa ili other brothers wajue wanahitaji nini kumiliki mrembo kama wewe. Ukiniambia mimi tu in private haitakuwa fair.Truth be told, i'm doing fine. My game sell, and it call only get better with age. So let's help others. Be nice.
dawa inaingia
uongo uongo ambao unaweza utetea