Kipi kinapendwa na wanawake mbali na Status?

Kipi kinapendwa na wanawake mbali na Status?

Kwa nini wanaume hawapendi kuambiwa kuhusu pesa? Wakati wenyewe muda wote wanashindana na kupimana uwezo mfano magari nyumba investments nk.
Ni kweli pesa inapokosekana kwa mwanaume, hata uanamme wake unakuwa na mashaka.
1. Uwe na pesa au muonekano wa dalili ya kupata pesa muda si mrefu mfano akili ujasiri au ajira nzuri
2. Uwe ummempania mpenzi wako kuwa malkia wako na uonekane kwa matendo
3. Uwe mtundu wa mahaba. Lakini kwake tu.
 
kinywa, meno, kinywa kusafisha ipasavo akiongea nishamdaka na kiss ahaaaa, kunyoa sehemu zote za siri kila baada ya siku mbili, kichwani saloo kila weekend, kuvaa smart hapa sipendi arudie nguo mara mbili, ni vizuri akiwa anapendelea nguo nyeupe kwa 85%, viatu awe na peya kadhaa ili asirudie alichovaa jana kabla hakijafanyiwa usafi, soksi awe na za kutosha, na malashi kwa mbali, hapo mm ndo nimeozaa,tho kuna mengine muhim.

Nguo nyeupe 85% ?????? Ma trafiki njooni huku.
 
Back
Top Bottom