Kipi kimemfanya Geofrey Mwambe aliyekuwa Mkurugenzi (Director) wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kuteuliwa kuwa Waziri wa Biashara na Viwanda?

La
Labda dini yake
 
Sidhani kama unaijua visiting TIC.
Godfrey Mwambe Amefanya reform kubwa sana pale TIC-Actually ataisaidia TIC akiwa Bungeni akishirikiana na Prof Mkumbo kwa sababu TIC ilionekana kama inakosesha TRA mapato kitu ambacho ni kunyume na Nia na sababu za uanzishwaji wa TIC.
Jamaa anaamini anachokijua na anakitetea.
Alipishana sana na TRA kuhusu kufunga makampuni kwa ajili ya kodi za zamani!

Huyu atasaidia kutengeneza mazingira Rafiki ya Biashara na viwanda.

He is a very right choice
 
Uzuri ujinga wenu umepevuka kiasi kwamba CHADEMA mnailinganisha na nchi na siyo na vyama vyenzake tena. Hii inaonesha CHADEMA imewazidi akili
 
Mkuu, hoja yako kuhusu Qualification vs Exposure ina uzito sana. Baadhi ya nafasi ni heri hata kuajiri CEO toka nje ya nchi kuliko kuwapa wanasiasa. Wanasiasa wanaweza kuwa na bidii na nia nzuri lakini wakakosa 'exposure' na hilo likapunguza ufanisi kwa kiasi kikubwa. Kwa kweli hata wizara ya Utalii haifai kuongozwa na wanasiasa. Ingefaa kuajiri CEO mwenye 'field experience' halafu anawekewa vijana wa 'kitengo' wafuatilie nyendo zake kwa maslahi ya taifa.
 

Kulikuwa na jamaa kadhaa humohumo walikuwa wanampiga vita kwa sababu ya utendaji wake mzuri wa kazi., sasa Rais ana mbinu za jinsi ya kupata ukweli!!! Hence stop the hullabaloos! Period.
 
U-TISS tu ndo unambeba
 

Kaka Uwezo wa Akili yako mkubwa sana
Have a Good wkend
 
Rais anachagua watu wa kumsaidia yeye kutekeleza ilani na aliyowaahidi watanzania. Suala la nani anajulikana wapi halina umuhimu, hata kama waziri hajulikani akishateuliwa atajulikana. Rais hachagui watu wa kupiga dili anachagua watendaji.


Mawazo yako yanaonyesha ulivyo mufilisi kabisa. Hujui majukumu ya waziri wala wizara.

Yaani unataka Rais kabla hajateua aanze kufikirisha kichwa nani anafahamika wapi! Thinking ya ajabu kabisa.
 

Sio kweli TIC kashindwa kufanya vizuri
Kuhusu kutetea Tra wasifunge Biashara ni kweli
 
Kipi kimewafanya hao wengine wateuliwe katika wizara zao?
 

Before kuwa DC manyoni alitokea wapi? Ila hapo kwa JK upo sahihi sana. JK alijua sana nani akae wapi pamoja na kuzivuta cream zilizokuwa nje.
 
Mtoa hoja umeongeza UFIKIRI....

Ninachosikia ni kuwa huyo Geoffrey Mwambe ni mtu dedicated na open minded Sana....
Wako wanaosema kuwa kipindi chake alichokaa TIC amefanya reformation yenye tija na hwenda ndio maana mpaka mh.Rais akaamua akihamishie ofisini kwake.....

Ok mkuu nimeguswa kwa uchokonozi wako wa kuendelea kulijenga TAIFA ili liwe bora zaidi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…