Kipi chakula chako pendwa?

Mwaka Fulani kaka angu alikua anatoka mikoani anaenda dar, Sasa alikua amekata tiketi ya mbele kabisa kwa dereva, Kuna msukuma mwenzangu nae walikua nae pale mbele,

Safari imeanza huyo msukuma akaanzaa akaagiza karanga kala akaagiza mayai kalaa akachukua koka cola kanywa akashushia na ndizi, mkuu akalala zake, unaanbiwa ilitokea tafrani humo Yani mnajijipepea harufu haijaisha jamaa kafyatua kombola jingine, acha ikabidi abiria wamukurupue, dereva akasema wanamuonea asogee pale mbele kwake akae, safari ikaendelea mzee mbele kidogo dereva akaanza kulalamika Hali mbaya jamaa anachia makombora ya Iran balaa,
 
😞inachefua tu kusoma hao waliokua nae karibu😎
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…