Kipi chakula chako pendwa?

inakuaje hii uzoefu mpya
Namanisha mchele wa shamba yaani wakawaida huu unachanganya na basmat ndio unapika wali unakua mtamuuu ๐Ÿ˜‹ na classic kwa muonekano pia
Mimi nafanya hivi sipendi basmat ikipikwa peke ake na pia mchele wa shamba peke ake sipendi napenda hivyo na nimezoea hivyo

Jaribu ni tamuu sana
 
ngoja nitampa code hii mama watoto tuone unavyokua kumbe inafaa kuchanganya
 
Inafaa sana muhimu mchele uwe mzuri
Nimependa ulivyo proud na mke wako
Chukua maua yako๐ŸŒน๐ŸŒน
amina amina mpendwa wangu,since 2013 tupo pamoja so ameshakua zaidi ya mke,ukitaka siri ni moja kabidhi kila kitu kwa Mungu ifante familia yako ya kumcha Mungu watoto watafuata ,maana watoto ni warahisi kuiga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ