Kwangu mimi ni chapati sizichoki asee af za mama ntilie hapana nimekuwa affected siwez kula chakula ame pika mwingine na simuamin mtu kwenye swala la kupika ata kama nimechoka kuliko kununua bora nipike
View attachment 3568966
Huo unga wa ppf ni mzuri mnoo
View attachment 3568967
Jiona una kula nini show us