Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,745
- 2,338
Natumia Note 5, Nipo Morogoro town. Kama mida hii nipo karibu kabisa na ofisi zao. Na hii mara nyingi inakuwa hivyo hata nikiwa Dom sehemu yenye coverage ya 4g.
Hadi huwa naamua ku set kwenye 3g only ndio net inakuwa faster.
Hii simu yako haina LTE Only kwa navyojua kama network coverage haijawa covered maeneo mengi lazima network ishuke kuja 3G/2G
Mfano dhahili ni TTCL 4G bila ku Set LTE Only unakamata 3G