Kwanza unatakiwa kufahamu je simu inauwezo waku support 4g ya tigo? Kunan simu zingine zinauwezo wa LTE yani 4g lakini ikashindwa kupata speed ya 4g kutoka tigo kwahiyo mfahamu kua sio simu zote zenyeuwezo wa 4g zitaweza kupata speed hiyo. hayo nimatatizo ya frequnce za 4g ya tigo na frequnce ya model iliotengenezewa simu yako kua tofauti. Kwani model zingine za simu hutengenezwa kwamatumizi ya nchi flan ndio maana unaweza ukawa uko marekani simu ika support 4g ya pale marekani lakini ukiwa nje ya nchi usiipate speed hiyo.nikutokana na frequnce ya ile simu jinsk ilivyo tengenezwa nikwa baadhi ya nchi flan sio zote . kuna njia rahisi takuweza kujua kama simu yako inauwezo waku support 4g kutoka tigo kwanza bonyeza *#06# kuna Imei number zitatokea zikisha tokea fungua link hii hapa
www.tigo.co.tz/4g kisha shuka chini utaona kibox chakuandika zile imei number hapo utaandika tarakimu 8tu yani mfano utaandika (3566979706) automatic database yatigo itakujulisha kama simu inauwezo au la. Hiyo ni link yakampuni ya tigo yakujua kama simu inauwezo wakusuport 4g