Kipi cha ziada kwenye line ya tigo ya 4G

Kipi cha ziada kwenye line ya tigo ya 4G

So hapa tunafanyaje maana 4g iko poa ila pesa ya bundle sasa..mm nilienda tigo shop morogoro hapa wananiambia niwatumie data zangu kwenye Microsoft Excel then nimetuma mpka Leo naona kimya kabisa.
niliambiwa hivo pia. namaliza mwez sasa. hata ukipiga huduma kwa wateja utakaa almost nusu saa then akipokea mtu anakuwa hana majibu.
 
Haina 4G unapo nunua modem yao wiki 2 za mwanzo inakuwa na 4g baadae 3g hata hiyo 3g hakuna speed inatakiwa wajierekebishe (after all who is loosing they are always first to introduce service but no effectiveness)
 
Kupoteza muda wako kqenda kununua lige ya tigo 4g bora ukanunue haloteli.. Tigo hakuna kitu
 
TIGO 4G ipo vizuri jaman mnyonge mnyongen lkn hak yake mpen..... Nashukuru walinipa offer ya 10GB KWA wiki na nimeimaliza leo
 
Zile line ni 64k tofaut na za kawaida ambazo ni 32k.
64k inauwezo wa kuhifadhi namba za simu 500 (500 phonebook entries) ila hizi 32k ni majina 250 tu...
Kuhusu speed ya mtandao mimi naiskia tu theoretically ila sijawah kuprove mimi mwenyewe...
 
TIGO 4G ipo vizuri jaman mnyonge mnyongen lkn hak yake mpen..... Nashukuru walinipa offer ya 10GB KWA wiki na nimeimaliza leo
Nzury ndio ila coverage mbovu... Embu speed test yako mkuu
 
Embu mwenye kujua zile namba za kuweka 4G,3G only anikumbushe nimesahau
 
3G imewashinda wanakimbilia 4G, wangeboresha kwanza ngazi za chini ndipo wasogee mbele. Siongei kiunafiki wala nini Maeneo ya Himo Kilimanjaro kuipata 3G ya Tigo ni shida sana.
4g kiboko ndugu yangu. Mm nashusha movie ya gb 1.4 kwa dk 15
 

Attachments

  • Screenshot_2016-07-02-17-50-05.png
    Screenshot_2016-07-02-17-50-05.png
    90.9 KB · Views: 54
Faida zipo kibao ktk 4G 》kwanza ili uweze kupata speed ya 4G lazima uwe na line ya 4G simu yako pia iwe inauwezo wakusupport 4G na eneo ulilopo liwe na netwotk ya 4G kwahiyo hizi laini zakawaida za 32K haziweza kupata speed ya 4G mapaka ui swap ktk line za 64K yani zenye uwezo wa kusuport 4g 》pia 64K zinauwezo mzuri wakuhifadhi contact nyingi kuliko line za 32K.
Mkuu laini yangu ya tiGO ni 32k but ni 4G. Ila 4G yake inasumbua sana mpaka nimeamua kurudi Halotel
 
Hakuna lolootee kwa spidi ni halotel tu anabamba saa hizi tigo uzushi mwingi mbwembwe nyiiingiii
 
Back
Top Bottom