Napata picha kwanini ndege ya rais ilitumwa Madagascar watu wakajua madawa yanaenda kuletwa kwaajili ya wananchi.Hamna korona, Tena mkome kabisa kuzipima maiti. Korona iko Kenya, hapa tuna ugonjwa wa changamoto ya kushindwa kupumua.
Mwanangu aliumwa Corona akala malimao akapona..
Bundi alienda Madagascar kucheza sinema za animation Wala sio kuleta kikombe Cha Loliondo kwa ajili yangu
Msanii Kipanya ameendelea kuweka juhudi zake kwa wizara yetu ya Afya jameni, wenye uelewa mtujuze nini alimaanisha hapo. View attachment 1453784
In God we Trust
Majibu gani tena wataka.Msanii Kipanya ameendelea kuweka juhudi zake kwa wizara yetu ya Afya jameni, wenye uelewa mtujuze nini alimaanisha hapo. View attachment 1453784
In God we Trust
Majibu gani tena wataka.
Kajifukize, kula malimao.
Unataka kuleta ya Ndugulile hapa, NO!
Ndugulile
Majibu gani tena wataka.
Kajifukize, kula malimao.
Unataka kuleta ya Ndugulile hapa, NO!
Vipi ile dawa ya Madagascar haifai tena??!!---- gharama na tambo zote za kwenda kuchukua hiyo dawa ni za bure??
Ref kutoka kwenye koroshow
In God we Trust
Wengi walikuwepo, Sasa wako wapi?
Corona bado nipo, ninapanda kwenye chatiii