Kipanya: Waandishi wa habari wanasubiri takwimu za covid-19

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,587
215,181
1589793486443.png


Wasichoelewa ni kuwa takwimu zinatolewa J2 kanisani na mwenye mamlaka. Wengine wote W amepata sellotape midomoni.
 
Hamna korona, Tena mkome kabisa kuzipima maiti. Korona iko Kenya, hapa tuna ugonjwa wa changamoto ya kushindwa kupumua.
Mwanangu aliumwa Corona akala malimao akapona..
Bundi alienda Madagascar kucheza sinema za animation Wala sio kuleta kikombe Cha Loliondo kwa ajili yangu
Napata picha kwanini ndege ya rais ilitumwa Madagascar watu wakajua madawa yanaenda kuletwa kwaajili ya wananchi.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom