Huu ni wakati wa kumpa timu ya taifa Herve Renard

Betterhalf

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
2,879
2,554
IMG_9665.jpeg

Habari za leo wadau,

Timu yetu ya Taifa yaani Taifa Stars imeanza harakati zake kwenye mashindano ya AFCON 2024 nchini Ivory Coast.

Tumeanza kwa kupoteza mbele ya timu bora Afrika na Wana Nusu Fainali wa Kombe la Dunia mwaka jana.

Pamoja na mambo mengine, lakini sehemu ambayo kama taifa, tumeshindwa kuwa na chaguo sahihi la makocha wetu.

Sitaki nimzungumzie Kocha wa sasa, bali ninatamani tusonge mbele kwa kuwa na Kocha sahihi kwa mtazamo wangu.

Kocha HERVE RENARD amekuwa nguli kwenye soka la Afrika kwa sasa. Akiwa Ivory Coast na Zambia kwa nyakati tofauti, ametwaa Kombe la AFCON na kuonesha uwezo mkubwa kwenye kuujua utamaduni wa waafrika na namna ya kuwatumia wachezaji.

Huyu ni Kocha sahihi ingawa sijajua kwa sasa yupo wapi.

Natamani nimuone akija Tanzania kuanzisha project mpya ya uundaji wa kikosi cha timu ya taifa.

Hapa simaanishi kama aipangeje timu, bali tuone mabadiliko ya kimfumo ambayo yatamsaidia kujua awatumie akina nani na awaage akina nani.

Naomba kutoa hoja.

Ahsante sana.
 
1. Je, akipendekeza tuanze kuwekeza kwa vijana wadogo ktk vilabu vyetu tutakuwa tayar? Kwa sasa waliowekeza sana ni Azam tu.

2. Mpira wa Tanzania hasa viongozi hawatazami kesho ya mafanikio ila wanatazama leo kwa maslahi yao. Endapo timu ikaanza kwa kufanya vibaya atavumiliwa?

3. Kama Kocha ana high profile, anaweza akaja bongo kwa kuangalia maslahi yake ya kimshahara huku akijua mtapuuzia mapendekezo yake, na wala hatoumia akiona mnaenda kinyume naye, hiki ndicho kimetokea kwa Simba na Benchika.
 
Hivi taifa linatafuta kocha wa kigeni kwa lengo gani hasa?
Lengo ni kushinda mashindano ya kimataifa au kujenga viwanja vya mpira, kuibua vipaji kuviendeleza na kuvikuza?

Kwa jinsi Herve Renard alivyo kwa hurka na tabia ya kulinda mafanikio binafsi sidhani kama anaweza kukubali mkataba wa kufundisha watanzania na mipango yetu ya zimamoto.

Tanzania inahitaji miaka 5-10 ya kutokushiriki mashindao ya kimataifa huku ikifundisha vijana wadogo wanye vipaji na matamanio ya kucheza mpira wa kisasa.
 
Kwasasa hatuhitaji Tena makocha wakigeni

Tupate wachezaji wakigeni kutoka mataifa tofauti tofauti duniani

Kama ,msumbiji tuwape uraia wapige kazi
 
View attachment 2877139
Habari za leo wadau,

Timu yetu ya Taifa yaani Taifa Stars imeanza harakati zake kwenye mashindano ya AFCON 2024 nchini Ivory Coast.

Tumeanza kwa kupoteza mbele ya timu bora Afrika na Wana Nusu Fainali wa Kombe la Dunia mwaka jana.

Pamoja na mambo mengine, lakini sehemu ambayo kama taifa, tumeshindwa kuwa na chaguo sahihi la makocha wetu.

Sitaki nimzungumzie Kocha wa sasa, bali ninatamani tusonge mbele kwa kuwa na Kocha sahihi kwa mtazamo wangu.

Kocha HERVE RENARD amekuwa nguli kwenye soka la Afrika kwa sasa. Akiwa Ivory Coast na Zambia kwa nyakati tofauti, ametwaa Kombe la AFCON na kuonesha uwezo mkubwa kwenye kuujua utamaduni wa waafrika na namna ya kuwatumia wachezaji.

Huyu ni Kocha sahihi ingawa sijajua kwa sasa yupo wapi.

Natamani nimuone akija Tanzania kuanzisha project mpya ya uundaji wa kikosi cha timu ya taifa.

Hapa simaanishi kama aipangeje timu, bali tuone mabadiliko ya kimfumo ambayo yatamsaidia kujua awatumie akina nani na awaage akina nani.

Naomba kutoa hoja.

Ahsante sana.
Hiyo Taifa Stars ina wachezaji? Tuwekeze kukuza vipaji tu, timu ya Taifa aachiwe Mgunda.
 
Sio kocha wa bimemo vya TFF....watakosana mpira bongo siasa tele ndani.....viongozi wa mpira njaa kali wakitoka wanataka ubunge.....hujaekewa kwa nini Tanga weee Tanga na Chigoma??
 
Herve ndiyo kocha pekee aliyeifunga Argentina WC 2022.

Sasahivi anafundisha timu ya taifa ya wanawake ya ufaransa .

Hataweza kufanya kazi katika mazingira ya ubabaishaji wa sasahivi hapo Tff.

Na anataka mshahara mkubwa Tff hawana uwezo au Nia ya kumlipa hicho kitita.
 
Mshahara wake mtauweza?

The coach of the French women’s team has made great financial efforts to accept the challenge offered by the French Football Federation until the 2024 Olympics.

The former defender should receive a salary similar to that of Corinne Deacon, around 400,000 euros per year. The Federation, which dismissed the latter on March 9, will also have to pay him 600,000 euros, the equivalent of the emoluments of his initial contract which ran until August 2024.
 
View attachment 2877139
Habari za leo wadau,

Timu yetu ya Taifa yaani Taifa Stars imeanza harakati zake kwenye mashindano ya AFCON 2024 nchini Ivory Coast.

Tumeanza kwa kupoteza mbele ya timu bora Afrika na Wana Nusu Fainali wa Kombe la Dunia mwaka jana.

Pamoja na mambo mengine, lakini sehemu ambayo kama taifa, tumeshindwa kuwa na chaguo sahihi la makocha wetu.

Sitaki nimzungumzie Kocha wa sasa, bali ninatamani tusonge mbele kwa kuwa na Kocha sahihi kwa mtazamo wangu.

Kocha HERVE RENARD amekuwa nguli kwenye soka la Afrika kwa sasa. Akiwa Ivory Coast na Zambia kwa nyakati tofauti, ametwaa Kombe la AFCON na kuonesha uwezo mkubwa kwenye kuujua utamaduni wa waafrika na namna ya kuwatumia wachezaji.

Huyu ni Kocha sahihi ingawa sijajua kwa sasa yupo wapi.

Natamani nimuone akija Tanzania kuanzisha project mpya ya uundaji wa kikosi cha timu ya taifa.

Hapa simaanishi kama aipangeje timu, bali tuone mabadiliko ya kimfumo ambayo yatamsaidia kujua awatumie akina nani na awaage akina nani.

Naomba kutoa hoja.

Ahsante sana.
Team yetu ya taifa haina shida ya kocha ina shida ya wachezaji hata tukileta kocha ni kazi bure tu wachezaji hawajui hata kutuliza mpira sasa kocha atawasaidia nn
 
View attachment 2877139
Habari za leo wadau,

Timu yetu ya Taifa yaani Taifa Stars imeanza harakati zake kwenye mashindano ya AFCON 2024 nchini Ivory Coast.

Tumeanza kwa kupoteza mbele ya timu bora Afrika na Wana Nusu Fainali wa Kombe la Dunia mwaka jana.

Pamoja na mambo mengine, lakini sehemu ambayo kama taifa, tumeshindwa kuwa na chaguo sahihi la makocha wetu.

Sitaki nimzungumzie Kocha wa sasa, bali ninatamani tusonge mbele kwa kuwa na Kocha sahihi kwa mtazamo wangu.

Kocha HERVE RENARD amekuwa nguli kwenye soka la Afrika kwa sasa. Akiwa Ivory Coast na Zambia kwa nyakati tofauti, ametwaa Kombe la AFCON na kuonesha uwezo mkubwa kwenye kuujua utamaduni wa waafrika na namna ya kuwatumia wachezaji.

Huyu ni Kocha sahihi ingawa sijajua kwa sasa yupo wapi.

Natamani nimuone akija Tanzania kuanzisha project mpya ya uundaji wa kikosi cha timu ya taifa.

Hapa simaanishi kama aipangeje timu, bali tuone mabadiliko ya kimfumo ambayo yatamsaidia kujua awatumie akina nani na awaage akina nani.

Naomba kutoa hoja.

Ahsante sana.
Makocha kama hawa huwezi kuwashuhudia wakiajiriwa na TFF! TFF huwa inapenda kuajiri makocha wa kuokoteza, ili iwe rahisi kwao kuwaburuza.

Kuna mwaka nasikia huyu jamaa aliomba kazi TFF, kilichotokea akapigwa chini; halafu hao TFF wakaliajiri garasa gani sijui!!

Jamaa alipoajiriwa timu ya Taifa ya Zambia, akaipa ubingwa waa Afcon! Na baadaye akatimkia zake Ivory Coast, ambako nako aliwapa ubingwa wa Afcon!!
 
Mnapenda shortcut, wekezeni kwa vijana ndio msingi mzuri, Kim Poulsen alipokuja na programme yake mkamwona mjinga, mkurugenzi was ufundi anachaguliwa ili kugawana posho, wenzetu walipofikia hawajafika kwa bahati mbaya Bali mipango na mikakati lakini nyie mnawaza kuandaa mapinduzi cup.
 
Herve ndiyo kocha pekee aliyeifunga Argentina WC 2022.

Sasahivi anafundisha timu ya taifa ya wanawake ya ufaransa .

Hataweza kufanya kazi katika mazingira ya ubabaishaji wa sasahivi hapo Tff.

Na anataka mshahara mkubwa Tff hawana uwezo au Nia ya kumlipa hicho kitita.
Kama anafundisha timu ya taifa ya wanawake wa france, hatuna uwezo wa kuwa nae.
 
Ngumu kumpata hadhi yake ishakuwa kubwa sana, huyo kafundisha mpaka ligue 1 ufaransa, mshahara wake pale saudiarabia alikuwa anakula kama bilioni 3 kasoro hivi kwa mwaka, na sasa hivi ni coach wa timu ya taifa ya wanawake ya ufaransa.
 
View attachment 2877139
Habari za leo wadau,

Timu yetu ya Taifa yaani Taifa Stars imeanza harakati zake kwenye mashindano ya AFCON 2024 nchini Ivory Coast.

Tumeanza kwa kupoteza mbele ya timu bora Afrika na Wana Nusu Fainali wa Kombe la Dunia mwaka jana.

Pamoja na mambo mengine, lakini sehemu ambayo kama taifa, tumeshindwa kuwa na chaguo sahihi la makocha wetu.

Sitaki nimzungumzie Kocha wa sasa, bali ninatamani tusonge mbele kwa kuwa na Kocha sahihi kwa mtazamo wangu.

Kocha HERVE RENARD amekuwa nguli kwenye soka la Afrika kwa sasa. Akiwa Ivory Coast na Zambia kwa nyakati tofauti, ametwaa Kombe la AFCON na kuonesha uwezo mkubwa kwenye kuujua utamaduni wa waafrika na namna ya kuwatumia wachezaji.

Huyu ni Kocha sahihi ingawa sijajua kwa sasa yupo wapi.

Natamani nimuone akija Tanzania kuanzisha project mpya ya uundaji wa kikosi cha timu ya taifa.

Hapa simaanishi kama aipangeje timu, bali tuone mabadiliko ya kimfumo ambayo yatamsaidia kujua awatumie akina nani na awaage akina nani.

Naomba kutoa hoja.

Ahsante sana.
Jana kwenye mechi ya Senegal na Cameroon tulikuwa naye uwanjani.Sasa hivi anafundisha Moja ya timu za taifa za wanawake nchini kwake Ufaransa.
 
1. Je, akipendekeza tuanze kuwekeza kwa vijana wadogo ktk vilabu vyetu tutakuwa tayar? Kwa sasa waliowekeza sana ni Azam tu.

2. Mpira wa Tanzania hasa viongozi hawatazami kesho ya mafanikio ila wanatazama leo kwa maslahi yao. Endapo timu ikaanza kwa kufanya vibaya atavumiliwa?

3. Kama Kocha ana high profile, anaweza akaja bongo kwa kuangalia maslahi yake ya kimshahara huku akijua mtapuuzia mapendekezo yake, na wala hatoumia akiona mnaenda kinyume naye, hiki ndicho kimetokea kwa Simba na Benchika.
Mbona watu wengi hapa Tanzania wameshawekeza kwa watoto wadogo kinachotakiwa ni kuwaweka hao wadau pamoja, swali fikirishi, Je namba 9 Bora mzawa tunaye? mtaje
 
View attachment 2877139
Habari za leo wadau,

Timu yetu ya Taifa yaani Taifa Stars imeanza harakati zake kwenye mashindano ya AFCON 2024 nchini Ivory Coast.

Tumeanza kwa kupoteza mbele ya timu bora Afrika na Wana Nusu Fainali wa Kombe la Dunia mwaka jana.

Pamoja na mambo mengine, lakini sehemu ambayo kama taifa, tumeshindwa kuwa na chaguo sahihi la makocha wetu.

Sitaki nimzungumzie Kocha wa sasa, bali ninatamani tusonge mbele kwa kuwa na Kocha sahihi kwa mtazamo wangu.

Kocha HERVE RENARD amekuwa nguli kwenye soka la Afrika kwa sasa. Akiwa Ivory Coast na Zambia kwa nyakati tofauti, ametwaa Kombe la AFCON na kuonesha uwezo mkubwa kwenye kuujua utamaduni wa waafrika na namna ya kuwatumia wachezaji.

Huyu ni Kocha sahihi ingawa sijajua kwa sasa yupo wapi.

Natamani nimuone akija Tanzania kuanzisha project mpya ya uundaji wa kikosi cha timu ya taifa.

Hapa simaanishi kama aipangeje timu, bali tuone mabadiliko ya kimfumo ambayo yatamsaidia kujua awatumie akina nani na awaage akina nani.

Naomba kutoa hoja.

Ahsante sana.
hatuwezi kumlipa
 
Ana misimamo huyu kocha sio wa kupelekwewa vi memo
Kwa sasa hivi ni Kocha wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Ufaransa.
 
Back
Top Bottom