Kiongozi wa wajane aolewa

Kiongozi wa wajane aolewa

Ni mimi labda kutokujua.
Lakini,
Sijaona sababu ya msingi yeye kuvaa shela tena.
Angeweza kuvaa vazi lingine zuri tu.
Hata km angevaa shela lkn siyo nyeupe. Tatizo watu wengi huwa wanavaa shela bila kujua kwa nn wanavaa na wavae rangi gani. Shela nyeupe huvaliwa na binti anayeolewa akiwa bikra. Huwezi kuvaa shela nyeupe ukiwa unabariki Ndoa. Ni kuondoa thamani ya wale wanaostahili....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbavu, baada ya miezi 6 hilo fala litadai talaka ili wagawane mali alizoachiwa na marehemu mumewe, ux*eng&^e tu..
 
Ni mimi labda kutokujua.
Lakini,
Sijaona sababu ya msingi yeye kuvaa shela tena.
Angeweza kuvaa vazi lingine zuri tu.
Mabinti/mabibi wa siku hizi hawajui maana ya shela. Waacheni wavae tu chochote. Si unaona hata watoto wa kule chekchea nao wanavaa majoho na kofia za msomi mmbobevu!! Siku hizi we acha tu.
Mtu anapasha kiporo ati naye anaambiwa, Mfunue uone ka ni yeye. Huku wameakia kitanda kimoja leo hii asubuhi. Huku ni kulitusi vazi
 
Paulo anatuambia; Tusimwite mwanamke yeyote "Mjane" hadi afikishe miaka 60. Huyo mlimchagua kuwa m/kiti sasa chagueni mwingine haraka lakini awe zaidi ya 60
Sa kadad kanamiaka 25 jamaa ake kafa na ajali mnamuita mjane hali kuwa mnafahamu chochote kinaweza kutokea.
 
Back
Top Bottom