Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,176
Kuna wengine wanataka kuzalishwa tu.Na wanasema waziwazi bila kificho.Kila mwanamke anatamani ndoa sema tu wengi wao wanaangukia kwenye usingo maza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wengine wanataka kuzalishwa tu.Na wanasema waziwazi bila kificho.Kila mwanamke anatamani ndoa sema tu wengi wao wanaangukia kwenye usingo maza
Ni mimi labda kutokujua.
Lakini,
Sijaona sababu ya msingi yeye kuvaa shela tena.
Angeweza kuvaa vazi lingine zuri tu.
Labda walianza kabla ya mumewe hajafaUnajuaje kama alianza kuburudika siku nyingi. Leo wameamua tu kuwafunga midomo wambea.
Na bwana harusi hii scarf ni TANU Youth League au Scout?
Ndoa ya kisabatho huwezi kufunga bila kupima na zaidi unaenda kwenye hosptali zao...na mashahidi juu mchungaji ,shemas patron na matroni ...hapo hakuna kudanganya..
Viongozi wa dini walikuwa wale wa zamani mkuu hawa wa kizazi kipya ni viongozi jina.Ndoa ya kisabatho huwezi kufunga bila kupima na zaidi unaenda kwenye hosptali zao...na mashahidi juu mchungaji ,shemas patron na matroni ...hapo hakuna kudanganya..
Ni wivu tu! Ww ni nani katika ndoa yao mpaka useme hajapendeza??!!! Acheni unafiki,Tena halijampendeza, yaani huyo bibi hapo kavaa gauni la blue kapendeza kuliko yeye.
Hebu waacheni wafanye wayatakayo,. Fanya ya kwako ambayo yatampendeza kila mtu kama rahisi kiivyoNa bwana harusi hii scarf ni TANU Youth League au Scout?