Kiongozi wa wajane aolewa

Kiongozi wa wajane aolewa

Hata km angevaa shela lkn siyo nyeupe. Tatizo watu wengi huwa wanavaa shela bila kujua kwa nn wanavaa na wavae rangi gani. Shela nyeupe huvaliwa na binti anayeolewa akiwa bikra. Huwezi kuvaa shela nyeupe ukiwa unabariki Ndoa. Ni kuondoa thamani ya wale wanaostahili....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani Kama hyo ndio maana ya shela nyeupe, Kama ingekuwa kwa ajili ya mabikira basi wengi Sana wasingeruhusiwa kuvaa shela
Ninachojua shela Ni vazi la harusi aww bikira, au sio bikira, mzee au kijana
Tofauti na hapo basi makanisa yangetoa maelekezo ukiona hakuna maelekezo basi yeyote anavaa
Ila sisi ndio tunaanza kutunza miongozo mingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yanaenda yakibadilika zamani mabinti wengi waliolewa wakiwa bikira lakini Sasa hivi Ni tofauti , Sasa ingekuwa hawaruhusiwi kuvaa shela tungeona nguo nyeusi tu makanisani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yanabadilika / yanakwenda kasi sana! Uwapo duniani chochote kinaweza kutokea. Ni suala la muda tu.
 
Mambo yakwenda yakibadilika zamani mabinti wengi waliolewa wakiwa bikira lakini siku hizi hizo bikira zinatafutwa kwa tochi Sasa ingekuwa shela Ni kwa mabikira tu basi tungeona nguo nyeusi tu makanisani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaclkine Mengi arithi cheo
Haha Haha Mkuu umeua bendi. Tena eti alienda kukitambulisha huko kipindi fulani. Tusubiri kweli ale shavu la uongozi. Sijui naye atapiga 11 ndiyo apate wa kuzikana?

Ile jamani hakuna jambo jema kama kuwa na mwenza wa kuzeeka naye. Hivyo nafurahi mno wajane na waganii wakipata wenzao.
 
Paulo anatuambia; Tusimwite mwanamke yeyote "Mjane" hadi afikishe miaka 60. Huyo mlimchagua kuwa m/kiti sasa chagueni mwingine haraka lakini awe zaidi ya 60
Alikuwa aliendesha Chama kinyume Cha biblia Biblia inataka wajane vijana waolewe.Naunga mkono mjane yeyoye ambaye hajafikisha miaka sitini hastahili kuitwa mjane na hatakiwi kuwemo.
chama Cha wajane labda awe mwislamu.Wasabato hawajui biblia
 
Ni mimi labda kutokujua.
Lakini,
Sijaona sababu ya msingi yeye kuvaa shela tena.
Angeweza kuvaa vazi lingine zuri tu.
Mtu akifiwa anarudi.kuwa miss kikawaida siku ya mazishi inatakiwa hata Pete ya ndoa aliyovoshwa aitupe ndani ya jeneza na jina anatakiwa kubadili asiendelee Tena kitwa Mrs marehemu fulani .Jina la marehemu linatakiwa kuondolewa .Mfano mama Maria Nyerere alitakiwa jina la mumewe aliondoe.Ila kea kuwa Nyerere alipofariki mama Maria na zaidi ya miaka 60 Ni haki yake kuitwa mjane na kuitwa mama Nyerere sababu uwezekano wa kumpata bwana mwingine wa kumuoa haupo.

Ila akimpata kuvaa shela ruksa sababu naye Ni Miss Yaani missed husband
 
Back
Top Bottom