Ukiwakuta utasikia kuolewa ni utumwa.Kama kazi,fedha,nyumba,gari na biashasha(baadhi yao? ninayo.Tabu ya nini kuwa chini ya himaya ya mlevi/mnuka jasho/kwapa?
Kama ni mkuyenge akina Masasawe,Musherija,Mwita,Qwarima,Drooboy, na washenzi wengine wakijilengesha siku moja moja nampa maisha yanasonga.
Lakini mioyoni mwao ni fukuto la moyo.Wale wasio na maisha wao kutwa nzima kudanga kujaribu bahati na waosha rungu wanachapa kweli kweli na kusepa.
Tatizo linaweza kuwa;
1.Mapepe na kudanga kwingi
2.Majivuno/kiburi na selectives nyingi
3.Sura kama kipande cha lami
4.Sura nzuri kujiona matawi ya juu
5.Tamaa ya fedha na nyege nyegezi
6.Handaki/bwawa la Mtera
AGALIZO: KUNA WANAUME WENGINE NAO NI PASUA KICHWA HATA KWA KULUMANGIA HAWAFAI ASLANI,BORA MWANAMKE/MSICHANA/MAMA AKAE SINGO TU.
nk, nk, nk, nk-ongezeeni sababu zingine.
Sipotoshi na tusipotoshane.